Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndoto za Alinacha na story za vijiweni hizi.
Urraaaah [emoji635]



It's been confirmed that the Rus laser system have destroy
Elon Musk Starlink satellites that were invaluable in[emoji1255]forces

[emoji1255]have been complaining

Rus have shown if they want to bring all the satellite off US,UK and other Western powers. However, if the need arises, they will
 
EU yote ni kidemokrasia, kama hao raia hawataki viongozi wao watawaondoa kwa njia ya kura.
Ufaransa uchaguzi umefanyika mwezi May na Macron alishinda kwa 66%.
Eu nako ni hao top leaders ndio wako na Ukraine, ila most of their citizens are against their policy towards this war
 
Wamarekani ndio waanzilishi wa Internet na Google unayotafutia vi-propoganda vyako vya Urusi kuwaletea wavivu hapa.
Makampuni makubwa 10 ya IT duniani hakuna la Russia hata moja. Microsoft , Oracle, IBM, Cisco na mengine mengi ni ya US.
Makampuni makubwa kwa Mujibu wa nani?
Unadhani duniani kote wanaishi kama tunavyoishi Bongo?
Russia japo sio kisiwa ila kuna namna flani wanajitegemea
 
EU yote ni kidemokrasia, kama hao raia hawataki viongozi wao watawaondoa kwa njia ya kura.
Ufaransa uchaguzi umefanyika mwezi May na Macron alishinda kwa 66%.
kama kweli EU yakidemokrasia tuambiane rais wao cjui ndio MKUU wao wa EU alipigiwa kura lini na wapi nanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia iko kwenye vita, SMO au opereshini?

Ukraine ni mwanachama wa NATO?

Vita imeisha na Ukraine imeshindwa vita??
Yoda ,naomba ukanushe hii kauli kutoka NATO kwamba, Ukraine ukishindwa, NATO ndio itakuwa imeshindwa,kwa hiyo Urusi inapigana vita na NATO,na sio Ukraine,sio?
[emoji116][emoji116][emoji116]


"The victory of Russia in the conflict in Ukraine will be the defeat of NATO. This cannot be allowed." — NATO Secretary General, Jens Stoltenberg

The same guy claimed in September that NATO was not at war with Russia. Masks continue falling like autumn leaves.
 
🤔🤔🤔
View attachment 2383870
Footage shows a Russian Armed Forces X-101 cruise missile hitting an electrical substation earlier this morning in the Lviv region— as part of Russia’s mass attack on Ukraine’s civilian infrastructure

Source: Ukrainian news agency Truxa Lviv
Hahah siamini Leo hii kuona makombora yanarushwa Kwny nchi ya wazungu mchana kweupe Kama vile wapelestina wanavyorushiwaga makombora 😄😄
 
Putin atabaki kwenye vitabu vya historia kama dikteta katili aliyewahi kusababisha maafa na umwagaji damu mkubwa zaidi Ulaya tangu kumalizika kwa vita vya pili vya dunia.
Putin atakuja kusomwa na kuimbwa sana [emoji2][emoji2][emoji2],atabaki kwenye kumbukumbu sana. Na hii ni ishara tosha ya kumpata mtawala mpya wa Dunia.
 
Joker Medvedev anawaonya US wasimpe Ukraine silaha kali za kushambulia ndani ya Russia halafu Mrusi wa buza anasema Ukraine wameshapewa silaha za teknolojia ya juu kabisa[emoji16]
Mkuu wanajua sana kwamba unataka kuwaingiza maji marefu ambayo yatawa angamiza. Wao ni propaganda tu kwenye nchi maskini kama zetu. Russia ni hatari sana kwa wanyonyaji.

Yani mkuu mimi naamini hao NATO wakiongozwa na USA wanafanya majaribio ya technology zao wanazoziamini na za juu kabisa hapo Ukraine na wanashangaa jinsi ambavyo Russia anazi neutralize ama kuziharibu kirahisi na kwa technology ambayo ni simple tu kwa Russia.
 
Hii taarifa inaweza kuwa ya propoganda tu, ila ni aibu kwa Urusi kuzidiwa ushawashi na Ujerumani pamoja na Japan.
Most Economically Influential Countries:

1.[emoji630] China
2.[emoji631] US
3.[emoji636] UK
4.[emoji629] Germany
5.[emoji627] Japan
6.[emoji635] Russia
7.[emoji1256] UAE
8.[emoji1210] Saudi Arabia
9.[emoji632] France
10.[emoji1063] Canada

15.[emoji1203] Qatar
16.[emoji1128] India
17.[emoji634] Italy
20.[emoji633] Spain
22.[emoji1054] Brazil
25.[emoji1250] Turkey
32.[emoji1166] Mexico

(U.S. News & World Report, 2022)
 
Hizi ni porojo na matangopori tu ya vijiwe vya kawaha uswazi.
Ndo hivo mkuu, kwenye ule ukanda wa Asia N.korea pekee ndo anauwezo wa kutumia anga la nchi jirani yeyote na wasimfanye kitu zaidi ya kulialia kwa bwana wao USA. Mfano ni huyo Japan juzi kati hapo.

Ila wao wajichanganye sasa watumie anga la N.korea cha moto watakiona, hata Makamu wa rais wa USA wakati ameenda South Korea angejichanganya tu akakatiza kwenye anga la N.Korea angekutana na moto wa kamanda Mashavu Kim asingeamini.
 
Estonia, Lithuania na Latvia, hizi mbwa zina kiherehere balaa......
lithuania tokea alipopigwa mkwala katika ishu ya kuzuia msafara wa russia kuingia kalingard ametulia kama maji ya mtungini.
Screenshot_20221012-000254_Twitter.jpg
 
Sio Marekani tena, mtasema yote[emoji16]
Amini usiamini vlodimiry Zelensky amekua Mwenyekiti wa NATO.
Anaamrisha TU.;

"Ongezeni makombora",wanongeza.

"Tuleteeni makombora ya kudungua makombora",wanapeleka.

"Ongezeni misaada ya fedha",wanongeza.

"Washeni satellite zenu",wanawasha.

Kwa kifupi Zelensky anaiongoza NATO Sasa hivi.

Isipokua maombi yake mawili yamegonga mwamba.

"Wekeni no fly zone"[emoji3517][emoji88][emoji3090],
[emoji54]Wakamtolea macho TU.

"Pigeni kwenye vikosi vya nyukilia",[emoji3090][emoji88][emoji3517]wakaitana chemba,wakamuona jamaa zuzu Nini?wakaona anataka kuwaingiza kwenye vichaka vya[emoji889][emoji889][emoji889][emoji889][emoji889]🪱[emoji219][emoji197][emoji881]
 
Hatari sana 😀🍻🍻🍻🍻
View attachment 2384087
😄😄 Ila nyimbo za warusi hua Zina mzuka wake,juzi video nimeiona makombora ya nuclear ya warussi yakipitishwa mbele ya ubalozi wa USA pale Moscow,aisee Kwny Ile video itabidi niutafute huo wimbo uliokua unapigwa Kwny background.

Una amsha amsha kishenzi.
 
Back
Top Bottom