Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Badala yake wanawaambia raia wao watoke Ukraine kwa njia wanazo zijua wao ambazo zitakuwa salama.

Kweli muungano wa kijeshi wa nchi zaidi ya 30 ndo wakuwatelekeza raia wake dhidi ya ka nchi kamoja tu ka Russia, ka nchi kenyewe ni masikini hakana hata chakula cha kulisha wana jeshi wake huko Ukraine. Hii ni aibu sana kwakweli.

Pongezi ziende kwa Mwamba wa Vita General Surovikin kwa kutuonesha uoga na udhaifu wa NATO.

Mkuu wanajua sana kwamba unataka kuwaingiza maji marefu ambayo yatawa angamiza. Wao ni propaganda tu kwenye nchi maskini kama zetu. Russia ni hatari sana kwa wanyonyaji.

Yani mkuu mimi naamini hao NATO wakiongozwa na USA wanafanya majaribio ya technology zao wanazoziamini na za juu kabisa hapo Ukraine na wanashangaa jinsi ambavyo Russia anazi neutralize ama kuziharibu kirahisi na kwa technology ambayo ni simple tu kwa Russia.
 
Kwa kauli hii ni dhahili NATO walikuwa na agenda zao nyuma ya Pazia pale Ukraine dhidi za urusi, Uzur Putin alizijua ndiyo maana akaamua kuichapa Ukraine. Hustoria isije ikapindishwa huko mbele kusema eti chanzo cha vita ya 3 alikuwa mrusi ila ni NATO ambaye aivuruge URUSI ila mwisho wa siku alishtukiwa.
bahati nzuri hata wakipindisha historia wao wataandika vitabu vyao na sisi tutaandika vya kwetu dunia pana sana hii
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20221011-201741.jpg
 
Wataalam naomba mnieleweshe. Jana moja ya maeneo yaliyolambishwa mchanga ni ubalozi wa Ujerumani mjini Kyiv. Navojua ubalozi inakuwa ni ardhi ya nchi husika ndani ya nchi ubalozi ulipo so kama ubalozi wa Ujerumani umegongeshwa maana yake Ujerumani imegongeshwa jana. Je article 5 ya NATO hapa haiwezi kuingia kazini kumlinda Ujerumani?
Nikweli ni ardhi ya ujeruman, mwana NATO lakini tunarudi kule kule kwenye hadithi zetu za darasa la tatu;

NANI ATAMUFUNGA PAKA [emoji635][emoji635] KENGELE?
 
Most Economically Influential Countries:

1.🇨🇳 China
2.🇺🇸 US
3.🇬🇧 UK
4.🇩🇪 Germany
5.🇯🇵 Japan
6.🇷🇺 Russia
7.🇦🇪 UAE
8.🇸🇦 Saudi Arabia
9.🇫🇷 France
10.🇨🇦 Canada

15.🇶🇦 Qatar
16.🇮🇳 India
17.🇮🇹 Italy
20.🇪🇸 Spain
22.🇧🇷 Brazil
25.🇹🇷 Turkey
32.🇲🇽 Mexico

(U.S. News & World Report, 2022)
 
⚡️The US is not seeking conflict with Russia and will not send troops to Ukraine, the White House has said.

Biden has made this very clear, the USA also does not want the conflict in Ukraine to acquire a nuclear dimension and sees no reason to do so, the White House added.⚡
 
Baada ya idiot kuchapwa kidogo ndio unaaza kupata akili sio?
Subirini kwanza general wetu asherekee birthday yake kwanza ☺️☺️
Mkuu hujanisoma ni kuwa sasa hivi ukraineameshatumiwa moderd air defense syestem ila nachojua russia kwa kuakafel atatuma hypersonic missile ambazo haziwez kuzuiwa na radayoyote hapo sasa ndio vita kamili itaanza nikueleze tuu marekani kamwe hatokubal hii vita ashindwe ndio maana nakuambia vita bado sana hii
 
Back
Top Bottom