Nakama sijakosea ama sijasahau kuupiga ubaloz wa taifa fulanì nikama kuipiga nchi husika
Hata UN inaungana nawewe kama utaingia vitani nanchi husika
NATO wakaipige LIBYA kwa RUSSIA hawana zaidi ya VIKWAZO
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapeleke zote Tu lakini kipigo Kipo pale pale tuMarekani yasema itapeleka silaha za aina yote hata kubwa zaidi..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]mwafaaa yooHivi wazee Russia si wanasema makombora ya Russia yanaua raia huko Ukraine?Kwanini NATO/US wasiweke NO FLY ZONE Kama walivyomfanyia Ghaddafi na wengineo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
NATO mwafaaaaaaa
DaaahVile watu wakijua ni makombora yanarushwa kumbe GENERAL S.V SUROVIKIN ye anajua anarusha mafataki ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa bado ajaingia kazini nyie mshaanza kulialia
[emoji16][emoji23][emoji16]Umechanganyikiwa wewe hii wiki usipopelekwa Mirembe tutakukuta jalalani unaokota makopo,
Inaweza sana MKUUWataalam naomba mnieleweshe. Jana moja ya maeneo yaliyolambishwa mchanga ni ubalozi wa Ujerumani mjini Kyiv. Navojua ubalozi inakuwa ni ardhi ya nchi husika ndani ya nchi ubalozi ulipo so kama ubalozi wa Ujerumani umegongeshwa maana yake Ujerumani imegongeshwa jana. Je article 5 ya NATO hapa haiwezi kuingia kazini kumlinda Ujerumani?
Kwan sio MAGAIDI kweliLengo la Putin ni kuweka miji yote ya Ukraine GIZA nene, ili watu wateseke na baridi... kosa lao kubwa ni kuwashuku kwamba wamehujumu daraja lake.
View attachment 2383690
Badala yake wanawaambia raia wao watoke Ukraine kwa njia wanazo zijua wao ambazo zitakuwa salama.Hivi wazee Russia si wanasema makombora ya Russia yanaua raia huko Ukraine?Kwanini NATO/US wasiweke NO FLY ZONE Kama walivyomfanyia Ghaddafi na wengineo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
NATO mwafaaaaaaa
Lol!Lengo la Putin ni kuweka miji yote ya Ukraine GIZA nene, ili watu wateseke na baridi... kosa lao kubwa ni kuwashuku kwamba wamehujumu daraja lake.
View attachment 2383690
Duniani hapa wanaomiliki anga ni watatu tu Russia, USA na N.korea, sisi wengine Anga nila Mungu. Hivyo basi Moldova waache kulia lia Russia akiwa anatumia anga lake.The Minister of Foreign Affairs of Moldova, Niku Popescu, claims that this morning three Russian cruise missiles cut through the airspace of Moldova and struck Ukraine.
😀😀😀🙌Sio kuwashuku wamehujumu daraja lazima wapate dozi
,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Duniani hapa wanaomiliki anga ni watatu tu Russia, USA na N.korea, sisi wengine Anga nila Mungu. Hivyo basi Moldova waache kulia lia Russia akiwa anatumia anga lake.
Wanasema makombora ya Urusi hayana shabaha. Yamepigaje hiyo plant?.Lengo la Putin ni kuweka miji yote ya Ukraine GIZA nene, ili watu wateseke na baridi... kosa lao kubwa ni kuwashuku kwamba wamehujumu daraja lake.
View attachment 2383690