Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1256][emoji635]Cooperation between Russia and the UAE is aimed at creating stability in the global energy markets.

The main thing from Putin's meeting with the President of the United Arab Emirates:

Russia and the UAE are actively working within OPEC+, Abu Dhabi's decisions are not directed against anyone.

The Presidents of the Russian Federation and the UAE will also discuss issues related to the situation in Syria.

Subscribe to @Sputnik
 
View attachment 2383603

[emoji779]️Putin Meets with UAE President Mohammed Bin Zayed Al-Nahyan in St Petersburg

The Russian leader stressed at the meeting that relations with the UAE remain extremely important, despite the complexity of relationships in the world.

"I know about your concern about the development of the situation and the crisis that is taking place," Putin said.

Wengine huwekwa hapa

View attachment 2383606

Putin ni Rais poa sana mataifa yanayojielewa wanamjua hanaga shida ila hawa west wanamchezea sharubu
 
✅⚡⚡⚡A criminal case will be opened in Russia against the Estonian Foreign Minister.
The Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation will make such a statement to the Prosecutor General's Office, Maria Zakharova said
The reason is the provocative statements of Estonian Foreign Minister Urmas Reinsalu, who justified the terrorist attack on the Crimean Bridge⚡⚡⚡
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji779]️90% of Western Ukrainian City Without Power — Reports

According to local media, Lvov’s trams and trolleybuses are unable to run and over 80% of the city’s traffic lights do not work.

There is also no hot water following Russian strikes targeting major Ukrainian infrastructure.

Subscribe to RTView attachment 2383069
Nililoliona ama kulihisi kwauchache kupitia haya mashambulizi ya jana

Jamaa anajua kama winter ipo njiani hapo december na wanajua kama UKRAINE wanauza umeme kwabaadhi yamataifa ya NATO na EU nawashirika wao pia hapo EU

Kwahio ilikua lazma miundomsingi yaumeme ya UKRAINE igeuzwe majivu ili UKRAINE watumie ule umeme wanaouza nje kujitosheleza wenyewe

Halaf huku NATO na EU wawasaidie mashoga zao kukabiliana na uchache utakaotokana na kukosekana kwa ule umeme wa UKRAINE

Hapa wakiwasaidia wanazidi kupunguza zile akiba(hakiba) zao walopanga kutumia kipindi cha baridi kali winter

Wakiacha kusaidiana tayari wanajenga mpasuke baina ya NATO na EU member maana wataona kumbe kwenye shida kila mmoja anadeal na taifa lake sio ushirika tena kama wakati waraha

Haya maoni na mawazo yangu tu nikijumlisha na maneno aloyasema PM wa UK lizz kwamba wanatakiwa waungane kwenye kipindi hiki kigumu acc DW

Bado naamini kama sio EU basi NATO au zote zinaenda kutuacha kupitia hii SVO ila acha tuzidi kuona

Pia tusisahau wale wenye mafuta yao wamekata 2M pipa per day kiukweli paref sana africa tujiandae

Eidha tuogope muogope vikwazo muzidi kuteketea ama mukubali kukabiliana navyo muwaudhi US na UK Aids

UKRAINE UTAWALA WAKIGAIDI

kavulata RUSSIA ananafasi zakuziangusha serikali zaulaya naukumbuka ule uzi

Mwisho:-tuupe muda nafas yake ila haya maoni yangu tuheshimiane[emoji34][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaodai kwamba wakati Urusi anatangaza hii SMO alidai ingemchukua siku 3 kuimaliza Ukraine. Sina ushahidi wa hili ila kwa kilichotokea leo nadhani ni kweli Urusi ana uwezo wa kuikalisha Ukraine nzima kwa siku 3. Moto wa leo haukuwa wa kawaida kwa tafsiri zote za kijeshi iwe kwa pro Russia au pro NATO. Mwamba Sergey Surovikin kawaonyesha kuwa alie kuzidi kakuzidi tu usiingizwe mkenge na wahuni kumchokoza utaumia
Madai haya hayapo naukiwaomba ushahidi wanapotea kama alivyopotea ndugu yangu bwana T14 Armata baada ya kuomba ushahidi juu ya hili

Nakama ataamua hata siku tatu zinaweza zikawa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji845][emoji631][emoji777][emoji1210]The US is ready to review relations with Saudi Arabia - The White House[emoji845]
20221011_175026.jpg
 
Mkuu shusha zile nondo zako za ubovu wa silaha za Russia na ubovu wa mbinu zao kivita. Ujue mkuu wewe una utaalamu na uzoefu wa juu kwenye mambo ya kivita na mbinu za kivita.

Pia tunaomba maoni yako, ni nini Nato watafanya mara baada ya Ukraine kupigwa na mabomu usiku kucha, tena hadi ubalozi wa Mnato mwenzao Germany kuguswa.

Maoni yako yatasomwa na sie pro Nato, tunaweza kupeleka maelekezo yako mstari wa mbele kwa wanajeshi wetu pale Ukraine... karibu mkuu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Nakama sijakosea ama sijasahau kuupiga ubaloz wa taifa fulanì nikama kuipiga nchi husika

Hata UN inaungana nawewe kama utaingia vitani nanchi husika

NATO wakaipige LIBYA kwa RUSSIA hawana zaidi ya VIKWAZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba has called on Africa to back Kiev in an upcoming UN General Assembly vote to condemn last month’s referendums that resulted in four new regions joining Russia. The diplomat published his ‘Message to African Nations’ on the ministry’s website on Monday.

“Africa’s support is needed now more than ever,” Kuleba wrote, revealing he was cutting short a lobbying tour of African capitals to return home following Russian missile strikes on Kiev and other cities. “African nations [must] stand by international law, territorial integrity, and peace,” not only by condemning the strikes on Kiev, Odessa, Dnepr, Kharkov, Rovno, Lviv, and Ivano-Frankovsk, but also by opposing with a UN vote Moscow’s “annexation” of the formerly Ukrainian territories, his message demanded.
===
Jamaa kweli wanashida ya kumbukumbu. Wakati Mgogoro unaanza Wa Ukraine walinyanyasa waafrika kwa kuwafanya vitimbwi kwenye treini za kuondoa raia wa kigeni nchini humo. Mpaka Russia alivyoingilia kati kuja kuwaondoa . Hatujasahau.
Kila anaelia anashika kichwa chake

Wao walkua wapi wakat GADAFI anauliwa MBWA hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la Putin ni kuweka miji yote ya Ukraine GIZA nene, ili watu wateseke na baridi... kosa lao kubwa ni kuwashuku kwamba wamehujumu daraja lake.

View attachment 2383690
Wote waliopost picha za aina hii na kusherehekea leo hii wanapost taarifa za kutia huruma.

Ustaarabu wa Russia kwenye hii operation yao waliuchukulia kama udhaifu, jana wameonjeshwa kidogo kama ingetokea vita kamili jinsi ingepigwa wameanza kulia, HIMARS hazisikiki tena
IMG_20221011_180414.jpg
20221011_175427.jpg
20221011_180732.jpg
 
Back
Top Bottom