Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kiongozi wa jamhuri ya Chechen na mshirika wa karibu wa raisi Putin baada ya mashambulizi ya juzi:​

"Tulikuonya, Zelenskyy, kwamba Urusi bado haijaanza, kwa hivyo acha kulalamika,"​

​

'We warned you’: Russian hawks gleeful over attacks on Ukraine​



Russian President Vladimir Putin has made no secret of the missile raids that hit cities in Ukraine being payback for the attack on a bridge in Russian-annexed Crimea.
Pro-Kremlin hawks in Russia have also praised the attacks, with Chechen leader Ramzan Kadyrov, a close ally of Putin, addressing Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy personally. “We warned you, Zelenskyy, that Russia hasn’t really started yet, so stop complaining,” he said.
A barrage of missiles rained down across Ukraine on Monday — killing at least 11 people, wounding dozens and hitting infrastructure all the way from Lviv in the west to Kharkiv in the east.
The raid is an apparent response to a blast that severely damaged the bridge linking the Crimean Peninsula to Russia. The explosion on Sunday — the day after Putin’s 70th birthday — is widely believed to be the work of Ukrainian intelligence.
 
Kuna wakati unasoma coment ya mdau wa hii thread inabidi ucheke tu!

Hivi bado kuna mtu anazani Ukraine+NATO wana uwezo wa kupigana vita na Russia?
Acheni kuadaika na propaganda za west.

Hii ni SMO tu na inaendeshwa kijamaa sana, unless Russia akiamua anaweza kupiga na kuikamata Ukraine yote ndani ya microseconds!! Hakuna cha USA wala NATO
 
Machalii wadogo tu, a.k.a. masharobaro wa kirusi, wanamtoa kamasi Superpower wetu wa mchongo Marekani kwenye fani ya IT...wanajidukulia kokote watakako😆🤣😇

Aisee kumbe USA walikuwa overrated sana kuliko uhalisia! Bora hata ma IT wetu wa Bongo wanaweza kulinda websites zetu muhimu zisidukuliwe...

View attachment 2383151View attachment 2383152
😂😂😂

Unaikumbuka hii pia?



Kwamba "Russia military is taking "chip" from dishwashers and refrigerators to fix their military hardwares because there're no semiconductors any more..." Wakampigia na makofi 😂.

Kama kawaida low IQ khokhols wa JF wasiochuja kila kinachopita sikioni kwao au machoni pao as long as "white people says" wakaibeba kama ilivyo ikawa ndio promo zao ya kuvimbia hapa jamvini.

Sasa nazani jana hiki Kijibibi kimeiona show ya "chips from dishwashers na refrigerators"... Na wasilie tunaomba watulizane tu. Silaha zimetuishia na huenda next time tutatumia chip za kwenye midoli kufix our military hardwares!

Slava Cocaine ☹️!
 
Crimea Bridge Repairs Underway, To Be Fixed By End Of Week

The Kerch Bridge’s support piers will be completely repaired by the end of the week, the Russian government has announced.

According to plans, the collapsed section of bridge’s repair process will be mapped out in the next three days.

The network’s lighting and markings have already been fixed, following the deadly terrorist attack reportedly perpetrated by the Kiev regime.
 
Haya sasa kumekucha

Happy b day kwa Kamanda Mpya naona leo anatimiza 56yrs old. Let's see how whole Ukropistan will celebrate general's b-day 😁

View attachment 2383114

We need some fireworks Mr. general 🤗...

#ZaChiniChini
Yasemekana huyu jamaa ukilinganisha na ma-general walio hifadhiwa mbaaaali kabisa na hizi OP za mara kwa mara huyu ni "mlokole"... Ati kuna wenye roho ngumu zaidi ya huyu.

Wanaenda mbali wanadai kama ni Game basi huyu ni level ya "Medium" (Standard)... Kuna "Hard" (difficult), then kuna harder than hard (Extremely difficult). Wanadai kua Mzee Putin anaenda ana wa-unfold tararibu.
Ila hii dunia ina miamba aisee!
 
Conflict Has Cost Ukraine $35 Billion Environmental Damage - Minister

Ukraine’s Minister of Environmental Protection Ruslan Strilets claims the ongoing conflict has cost his country around $35 billion in soil and air pollution with 2,000 cases of environmental damage reported.

As of August, around 30% of Ukraine’s protected natural areas have suffered bombing, pollution, burning or military maneuvers according to the ministry.

Strilets added that the US and European allies have helped improve Ukraine’s environmental legislation, which he hopes will help Kiev’s bid to become a full EU member.
 
⚡️
Air Alert Over Kiev: Local media reports sirens in multiple regions of Ukraine

Russia has launched missile strikes on military infrastructure and storage sites in Zaporozhye, with 16 explosions reported by a local official
 
[emoji95][emoji95][emoji95]

Kutoka Ukrainian Channel!

[emoji116]

Now the Office of the President has begun to demand more air defense from Western partners, they even connected all the mayors who write letters (blogs) to the West to issue more air defense. Trukhanov is one of these mayors.

For example, two weeks ago we insided that he asked Bankova to strengthen air defense in Odessa, but he was told that there was no such possibility.

We got inside about the problem of the lack of air defense a month ago, pointing out that the Office of the President knows about it, but does not speak publicly. We also pointed out that partners are in no hurry to give air defense systems to Ukraine.

If someone thinks that now Ukraine will be given a sufficient amount of air defense, he is deeply mistaken. They will give just enough so that Ukraine does not give up, but continues to “butt” with the Russian Federation, which is valuable for its own devastation, death and chaos.
 
Ukrainian TG Channel Posts vile wanapeana moyo!

[emoji116]

Colleagues, we wrote yesterday that all strikes are demonstrative and warning, which showed everyone the weakness of Ukrainian air defense. The Kremlin decided to demonstrate its capabilities, but Bankovaya had been expecting this massive missile strike for a long time and were prepared for it informationally. The United States will provide Ukraine with modern air defense systems
 
[emoji95][emoji95][emoji95]

Kutoka Ukrainian Channel!

[emoji116]

Now the Office of the President has begun to demand more air defense from Western partners, they even connected all the mayors who write letters (blogs) to the West to issue more air defense. Trukhanov is one of these mayors.

For example, two weeks ago we insided that he asked Bankova to strengthen air defense in Odessa, but he was told that there was no such possibility.

We got inside about the problem of the lack of air defense a month ago, pointing out that the Office of the President knows about it, but does not speak publicly. We also pointed out that partners are in no hurry to give air defense systems to Ukraine.

If someone thinks that now Ukraine will be given a sufficient amount of air defense, he is deeply mistaken. They will give just enough so that Ukraine does not give up, but continues to “butt” with the Russian Federation, which is valuable for its own devastation, death and chaos.
20221010_204348.jpg
 
Pro Russia wameamka sasa [emoji1787]
Ukifatilia huu mzozo utaona kabisa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla wanao support Russia ni wengi zaidi kuliko pro Ukraine.

Nimejaribu kufatilia Facebook na Twitter (angalia comments za watu kwenye post za BBC kuhusu huu mzozo utanielewa) hili liko wazi kabisa hata hapa Jamii forum sema tu kwa Tanzania kuna baadhi ya watu wanaweka kaudini, ukimshabikia Putin unaonekana mvaa kobazi [emoji1787] lakini ukweli kwa mzozo huu Waafrika wengi tupo upande wa Putin [emoji7]
Sio waafrica tu mjomba...kwa ufupi dunia nzima wapo upate wa putin..ukiaaondoa EU tuu..the rest are pro putin
 
Pro Russia wameamka sasa [emoji1787]
Ukifatilia huu mzozo utaona kabisa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla wanao support Russia ni wengi zaidi kuliko pro Ukraine.

Nimejaribu kufatilia Facebook na Twitter (angalia comments za watu kwenye post za BBC kuhusu huu mzozo utanielewa) hili liko wazi kabisa hata hapa Jamii forum sema tu kwa Tanzania kuna baadhi ya watu wanaweka kaudini, ukimshabikia Putin unaonekana mvaa kobazi [emoji1787] lakini ukweli kwa mzozo huu Waafrika wengi tupo upande wa Putin [emoji7]
Sio waafrica tu mjomba...kwa ufupi dunia nzima wapo upate wa putin..ukiaaondoa EU tuu..the rest are pro putin
 
Kuna wakati unasoma coment ya mdau wa hii thread inabidi ucheke tu!

Hivi bado kuna mtu anazani Ukraine+NATO wana uwezo wa kupigana vita na Russia?
Acheni kuadaika na propaganda za west.

Hii ni SMO tu na inaendeshwa kijamaa sana, unless Russia akiamua anaweza kupiga na kuikamata Ukraine yote ndani ya microseconds!! Hakuna cha USA wala NATO
Putin ''MI PEKE YANGU, NYI WOTE''!
 
Back
Top Bottom