Ha ha hatare, Happy B day to you Bro!
Huu mwezi October kumbe upo notable kwa walio wengi tunao fanana, to mention but few...
[emoji95]Nianze na mie mwenyewe October 1.
[emoji95]Mbabe wa Chechnya, Kadyrov October 5.
[emoji95] Prezda wa wapenda usawa, V Putin October 7.
[emoji95] Bro wa hiari, mkorofi wa kimya kimya
Galip Vrl ilikuwa jana October 10.
[emoji95] Then leo wewe
BUSH BIN LADEN na the General Armageddon Surovikin mpo ndani ya October 11.
#OctoberBornSpecies [emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana bro!
Kuna ujinga na upumbavu sasa huo sijui tuuweke kundi lipi. Kama dishwashers na refrigerators zingeweza kurepair military equipments vizuri kila kona watu si wangemiliki Iskanders na Samart 2 [emoji3]? Wala kusingekua na haja ya kuweka budget of billions kwa ajili hiyo.
Lakini hata hivyo cheap mind attract alike, wenye ufanano wa fikra waliona ni neno haswa na hadi kesho wana amini hivyo.