Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji779]️New explosions reported in Ukrainian cities Kiev, Poltava and Kremenchug — media
Subscribe to RT
Subscribe to RT
Vitani pombe. Na hata madawa ya kulevya Ni Jambo la kawaida kabisa.Vijana wa super pawer wa mchongo wanakunywa mbege,wanashinda kuhimili mziki wa front line.., matokeo yake super pawer wa mchongo anakimbilia kushambulia majengo ya watu,[emoji16][emoji16]View attachment 2382548
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halafu Israel Huwa anajibu vipi?Urusi haijaingia Kyiv, walichofanya leo ni kama wale wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon wanavyovurumisha makombora kwenye miji ya Israel
Asante studio 🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪Kuna wanaodai kwamba wakati Urusi anatangaza hii SMO alidai ingemchukua siku 3 kuimaliza Ukraine. Sina ushahidi wa hili ila kwa kilichotokea leo nadhani ni kweli Urusi ana uwezo wa kuikalisha Ukraine nzima kwa siku 3. Moto wa leo haukuwa wa kawaida kwa tafsiri zote za kijeshi iwe kwa pro Russia au pro NATO. Mwamba Sergey Surovikin kawaonyesha kuwa alie kuzidi kakuzidi tu usiingizwe mkenge na wahuni kumchokoza utaumia
Hii jana tazama convoy ya missile launchers zilivyokaangwa aisee ni msafara mkubwa
Kwasababu yakurusharusha hovyo hivyo vikombora vyake jana?Putin akiamua hata leo kuimaliza uk anamaliza nimejifunza leo uwezo wake
Mkuu shusha zile nondo zako za ubovu wa silaha za Russia na ubovu wa mbinu zao kivita. Ujue mkuu wewe una utaalamu na uzoefu wa juu kwenye mambo ya kivita na mbinu za kivita.Au sio. Ndoto zako ziliisha wapi