Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kizimba kinamsubiri mtu. ,Ni suala la muda tu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1665425991187.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna lolote kwasababu aliofanya sio LIBYA ni RUSSIA
Hakuna shida US anadeal na vijidagaa sio mapapa kama RUSSIA
Atalaani tu kwamaneno matupu nakashalaani
Hana lakufanya

us COWARD

Sent using Jamii Forums mobile app
Coward ni Russia ambaye analenga miundo mbinu ya kiraia na raia instead of combatants WA Ukraine wanaopukutisha Askari wake na vifaa kwenye battle field Hadi muda huu .
 
Hakuna lolote kwasababu aliofanya sio LIBYA ni RUSSIA
Hakuna shida US anadeal na vijidagaa sio mapapa kama RUSSIA
Atalaani tu kwamaneno matupu nakashalaani
Hana lakufanya

us COWARD

Sent using Jamii Forums mobile app
Coward ni Russia ambaye analenga miundo mbinu ya kiraia na raia instead of combatants WA Ukraine wanaopukutisha Askari wake na vifaa kwenye battle field Hadi muda huu .
 
Missiles zilizotua Ukraine zina thamani ya Tril 1.7 za Tz
Ndio maana urusi akiambiwa afanye mashambulizi kama alivyofanya Leo kwa siku tatu mfululizo huo uwezo Hana.., vikombora vyenyewe alikuwa amevitunza kama nguo za sikukuu, maana vikwazo vya west vimembana sana kuwa na silaha kama hizo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeangalia taarifa ya BBC ya saa ngapi? Maana saa 1 asubuhi ya leo Rais wa Ukraine alikuwa analalamika kuwa Urusi imelenga kumkamata yeye na familia yake kwanza. Vilevile, wamesema (BBC) majeshi ya Urusi yameteka Uwanja wa Ndege uliopo km 20 kutoka Mji Mkuu wa Kiev na yanatarajia kuingia Kiev muda wowote kutoka sasa.
Alafu ikawaje mkuu. Siku zaidi ya 200 zimepita
 
MWENYE KIBURI MWONESHE JEURI.

The European Union has prepared a draft resolution of the UN General Assembly, in which it called on all member countries and international organizations to de-escalate the situation through political dialogue and negotiations


The final text of the draft resolution of the UN General Assembly on the situation in Ukraine includes a call for negotiations, while all references to Crimea have been removed from it.

Crimea and Sevastopol were mentioned in the preamble, where it was stated that they were allegedly "temporarily occupied by Russia." This provision has disappeared from the final version of the text.
 
Warusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu na kuwatisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.

Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.

Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..

He will be fixed...time.
Akiwatwanga NYUKLIA itapendeza zaidi ya sana

NYUKLIA mbona hata US aliitumia mnaiogopea nn

PUT OUT tumia NYUKLIA wajinyonge hawa kina vitz [emoji23][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tuliaminishwa kwamba uchumi wa Russia ni very weak, sasa toka february 24 mpaka leo ni missiles za gharama kiasi gani zimetumika
Russia ametumia $6 billion mpaka leo, America na EU na NATO wameshatoa karibu $24 billion kwa Ukraine lakini Russia pamoja na kutumia gharama ndogo ameshachukua robo ya nchi ya Ukraine na kurudisha kwa mama yao Russia.
 
Back
Top Bottom