Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaweza kuelezea chanzo cha Urusi kuingia vitani mkuu bila kuwa na upendeleo,au ushabiki? Hebu tuongee kama wanaume tuweke pembeni hisia za mihemko,kama ukishindwa useme hapa kuna pande mbili,pro NATO na pro Russians. Wataleta michango ya kujenga. Karibu
Nakuhakikishia 90% ya pro nato humu hilo swali hawana jibu lake, Feb 24, 2022 wameamka asubuhi na kuanza kushabikia upande wa ukraine bila kujua sababu ya Russia kuingia Ukraine.
 
Tetesi zilizopo tunatoka kwenye SMO Kwa Muda tunaingia kwenye CTM Counter Terrorism Missions.

Serikali ya Zele na migambo wake tunaasume ni magaidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah ! Kwa hiyo Ukraine wale ni migambo au sio ? Ila warusi wa ushirombo [emoji85][emoji85][emoji85][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aisee
Ukraine kapiga daraja tu leo ndio majibu yake hayo, akijaribu kushambulia maeneo mengine ndani ya Russia unahisi nini kitampata?
 
Very soon huyu jamaa atabakia kwenye vitabu vya historia...trust me...

Dunia hii ina intelligencia yake kubwa mno...kichaa mmoja hawezi kuamua upumbavu wa kutuletea vita kuu ya tatu sababu ya ujinga wake.

Vita vya nuclear inaweza kuirudisha nyuma dunia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watakaosalia

He will be fixed soon.
Kwako wewe Dunia ni US na hao west aliowashika akili!
 
intelligence service ya Russia ilimhakikishia Putin kwamba Ukraine ni wanyonge na watajisalimisha kama walivyofanya Crimea


Mmmh!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani zile kelele za Nazis walizianzisha kina nani. Na hiyo confidence yenu ya siku tatu kumaliza operation unadhani nani aliianzisha kule Russia. Kazi ya SVR RF
 
Very soon huyu jamaa atabakia kwenye vitabu vya historia...trust me...

Dunia hii ina intelligencia yake kubwa mno...kichaa mmoja hawezi kuamua upumbavu wa kutuletea vita kuu ya tatu sababu ya ujinga wake.

Vita vya nuclear inaweza kuirudisha nyuma dunia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watakaosalia

He will be fixed soon.
Watakaomfix ni nani? Ni NATO hawa ambao hawataki direct conflict na Russia kwa kuogopa kwamba kila nchi itakayohusika itakua destructed?
IMG_20221010_210553_911.jpg
 
Ukraine wakipata defence systems tu mchezo kwisha kama leo wamedaka makombora 43/84
Drone 11/24
Kwanza makombora yaliyoipiga siyo 84 kwani zaidi ya hapo.....Halafu kwamba hao waukraine wanaposema eti wamedondosha makombora 43 is just a silly bravado.....Hao jamaa na hata vyombo vya habari vya magharibi propaganda imeanza kuwashinda....wanaonesha maafa kwenye barabara, vyuo na sijui nini lakini hawaoneshi vituo vya kijeshi vilivyopigwa, miundombinu kama umeme, maji iliyoharibiwa.
 
Niache machache kuhusu mashambulizi ya Russia dhidi ya Kyiv.

1. Russia imefanya mashambulizi ambayo yaitwa "devastating" dhidi ya serikali ya Kyiv nchini Ukraine. Mashambulizi yakivunjavunja miundombinu ya kijeshi, mawasiliano na madaraja.

2. Miji 8 yote imepata kipigo mashambulizi yakianzia mji wa Dnipro hadi Kyiv kwenyewe. Miji mingine ni ya Kharkiv, Sumy, Kirovohrad, Frankivsk, Zhytomry, Khymelyntisk na Ternopil.

3. Jenerali mpya amepewa jukumu la kupanga mashambulizi na kuongoza majeshi ya Russia ni yule aliepanga mashambulizi kule Syria.

4. Watu 11 wamekufa na wengine 84 kujeruhiwa.

5. Mashambulizi haya bado hayajatoa picha halisi kuwa ni kujibu shambulizi la bomu lilofanywa kwenye daraja mjini Crimea ambapo Russia yadai ni mpango wa Ukraine na majeshi ya kigeni au nimwanzo wa mashambulizi zaidi dhidi ya Ukraine khasa ndani zaidi.

6. Umoja wa Ulaya umelaani vikali kauli ya raisi wa Belarus Alexander Lukashenko ambae ametoa amari ya majeshi ya Belarus kujiandaa na vita wakati wowote.

7. Taarifa za kijasusi zadai Russia sasa hivi wajiandaa na vita ya mtaa kwa mtaa au "Urban Warfare" (kumbuka ile partial mobilization) ambayo itakuwa tofauti na operesheni yake maalum ya sasa iitwayo kwa lugha ya kivita "Asymmetrical warfare" ambayo mwenye silaha nzito dhidi yako aweza kuzitumia kwa mbinu tofauti.
 
Back
Top Bottom