Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Zelensky was urgently evacuated to a secret bunker in western Ukraine according to media reports,

The President of Ukraine, amid rocket attacks on the capital and other major cities, was urgently taken out of Kiev and sent to one of the secret bomb shelters in western Ukraine[emoji845]

Walisema atiiiiii hatoki Kiyv sasa imekuaje tena anakimbia [emoji1]
Wakadai kuna mifumo ya marekani inalinda anga la Kiev
 
Litambue barza zima la usalama la Russia:

Baraza hilo lajumuisha wawakilishi wa taifa zima la Russia ambao huweza kuitwa mara moja na raisi Putin akihitaji kufanya hivyo.

Lakini wajumbe wachache ambao huwateua yeye wapo 11 akiwemo raisi Putini mwenyewe kama mwenyekiti.

Wajumbe 12 wa baraza ni kama wafuatao:

1. Dmitr Medvedev - makamu mwenyekiti

2. Mikhail Mishustin Waziri Mkuu

3. Sergei Naryshkin- Mkurugenzi wa ujasusi wa nje SVR

4. Spika wa bunge la Duma

5. Katibu mkuu ofisi ya raisi

6. Mwakilishi maalum wa raisi masuala ya mazingira, tabia nchi na usafirishaji.

7. Nikolai Patrushev- Katibu wa baraza

8. Sergei Shoigu- waziri wa ulinzi

9. Sergei Lavrov- waziri wa mambo ya Nje.

10. Waziri wa mambo ya ndani.

11. Aleksandr Bortnikov ambae ni mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa.

12. Bi Valentina Matviyenko ambae ni mwenyekiti wa wawakilishi wote wa baraza la usalama.
Huyu bibi nitamsoma nikimkumbuka
Cjui anauzakharova au vp !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 5108828-2a05bf5c801ae98f29607f45e59a1fd7.mp4
    2.7 MB
Kombora la Urusi latunguliwa na igla Manpad

Serikali ya Ujerumani yathibitisha jengo lililo na ofisi zao kulipigwa Kyiv

Ukraine yaapa Kisasi, wachangishana zaidi ya 1.2tril ndani ya saa 1 kununua silaha
Hela za kupewa hazijawasaidia hizo za mchango zitawafikisha wapi.. Ama kweli kenge hadi damu zitoke masikioni
 
Dah wa kupuliza hatimae jamaa yako katabasam 😂😂😂

IMG_20221010_153357_102.jpg
 
Hii habari ya Belarus kutangaza vita na Ukraine sijaiona kwenye chanzo chochote Cha habari, sijui comred kaiokota wapi[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

10 Oct, 2022 10:55



Belarus announces troop deal with Russia


President Lukashenko orders the hosting and deployment of “thousands” of Russian soldiers in response to ‘Western aggression’



Military personnel in Russia-Belarus joint exercises. © Sputnik/Victor Tolochko

Russia and Belarus have begun forming a joint force, which will include several thousand Russian troops, Belarusian President Alexander Lukashenko announced on Monday during a security meeting. He said the move comes in response to increased aggression from Kiev and the West.

The Belarusian leader said that the plan was decided on when he held a face-to-face meeting with Vladimir Putin on the sidelines of an informal CIS summit in St. Petersburg last week. “In response to the aggravation on the western border of the Union State [of Russia and Belarus], we agreed to deploy a regional grouping of the Russian Federation and the Republic of Belarus,” Lukashenko said.

He noted that since most of Russia’s troops are currently busy with the ongoing conflict in Ukraine, the core of this joint force will consist of the Armed Forces of the Republic of Belarus, but there will nevertheless be “more than one thousand Russian soldiers.” Lukashenko added that the formation of this group has been under way for the past two days.

He also claimed that Kiev is currently planning to carry out attacks against Belarus and is being pushed to do so by the West.

“Kiev is not just discussing, but is planning an attack on the territory of Belarus. Of course, the Ukrainians absolutely don’t need this. Why would they open a second front on our southern borders? What for? This is complete madness from a military point of view,” Lukashenko said.

“But, nevertheless, the process has begun. They are being pushed by their masters to start a war against Belarus to pull us into the conflict. To simultaneously deal with both Russia and Belarus,” he said.

According to Lukashenko, Minsk has already been warned through “unofficial channels” that an attack on Belarus from the territory of Ukraine is imminent. He claims that Kiev is threatening to carry out a series of attacks on Belarus and has already amassed up to 15,000 troops near the border.

The Belarusian leader said that Kiev had threatened him with a “Crimean Bridge 2,” referring to the recent attack on the bridge connecting mainland Russia with the Crimean peninsula, blamed by Moscow on Ukrainian special services.

“My response to this was simple,” Lukashenko said. “Tell the President of Ukraine and other lunatics that the Crimean Bridge will seem like flowers to them if they touch even one meter of our territory with their filthy hands.”

Kiev has officially denied threatening an attack on Belarus, dismissing it as a ploy by Moscow to “stage a provocation.”
 
Hawakujua maana ya operation, operation ni kuingiza jeshi na asiue hata mbu Ila ukizuia anakuua ,vita ikitangazwa mapigano mpaka serikali itolewe sasa tunasubiri hapo zelesky achague kutorokea uhamishoni au kufia katika ardhi ya mababu zake
Umeelezea kwa ufasaha zaidi,wakuelewa tumeelewa,viva Putin
 
Says a man from Tz......
Unadhani yeye ni Mjinga au hana washauri.....
Hakuna wa kumpindua Rais mwenye Support ya Russia tuliona kwa Bashar Al Assad.
Hakuna wa kumpindua Rais mwenye Support ya Russia tuliona kwa Bashar Al Assad

Namuongezea tu na tukaona pia kwa NIKOLAS MADURO

Yaani kiufupi jamaa yuko kwenye mikono salama sana ya KREMLIN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona Lukashenko katangaza vita ujue pressure aliyopewa na Putin ni kubwa mno. Hata hivyo bado ni risk kwa Putin kulazimisha Belarus iingie vitani. Hapo anahatarisha serikali ya Lukashenko iliyoko rehani ambayo Putin mwenyewe ndio anailinda. Kupotea kwa Luka linakuwa pigo kwa Putin. Watafanya calculations zao vizuri ila makosa yapo. Mbona hata kabla ya hii vita intelligence service ya Russia ilimhakikishia Putin kwamba Ukraine ni wanyonge na watajisalimisha kama walivyofanya Crimea
intelligence service ya Russia ilimhakikishia Putin kwamba Ukraine ni wanyonge na watajisalimisha kama walivyofanya Crimea


Mmmh!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom