Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_8096.jpg

hawa jamaa wanaliogopa jeshi la ukraine kuliko raia wake.

haya makombora zaid ya 80+ yangepiga vikosi vilivyo mstar wa mbele wa mapambano kwenye miji ya kherson ambapo jeshi la ukraine [emoji1255] linasonga mbele ningewaona wa maana sana.

shame on Russians.
 
Hawakujua maana ya operation, operation ni kuingiza jeshi na asiue hata mbu Ila ukizuia anakuua ,vita ikitangazwa mapigano mpaka serikali itolewe sasa tunasubiri hapo zelesky achague kutorokea uhamishoni au kufia katika ardhi ya mababu zake
Mkuu, nina wasiwasi sana na leo usiku huko Kyiv. Russia wamezima umeme, Je wanataka kufanya nini usiku? Daaah....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2382483

Kadyrov: [emoji117] “Zelensky complains about arrivals in Kyiv and other cities.
And what did you, sucker-Zelensky, think: you can, but others can’t?

That is, for eight years it was possible to bomb civilians, destroy the infrastructure of the cities of the LDNR, cover a nuclear power plant with shells, blow up bridges, fire at important objects, but when it came to your head, suddenly it became impossible for anyone?

We warned you, Zelensky, that Russia hasn’t really started yet, so stop complaining like some cheap stuff, but better, run before it arrives. Run, Zelensky, run without looking back towards the West. Now I am 100% satisfied with the SMO”
so stop complaining like some cheap stuff, but better, run before it arrives. Run, Zelensky, run without looking back towards the West

Asije kusema hakuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakujua maana ya operation, operation ni kuingiza jeshi na asiue hata mbu Ila ukizuia anakuua ,vita ikitangazwa mapigano mpaka serikali itolewe sasa tunasubiri hapo zelesky achague kutorokea uhamishoni au kufia katika ardhi ya mababu zake
maneno tu ya kujifariji baada ya mambo kuwa mazito,,Urusi amepoteza wanajeshi wangapi ,na silaha kiasi gani hadi sasa??ameshatimua majenerali wangapi hadi leo??tena kwa sasa Ukraine ameshapata zana bora sana toka NATO,ndio maana na yeye sasa anaweza kushambulia.
 
Mnaanza kulialia sasa eeeh
Haya ndio matunda yakuripua daraja halaf wale wapuuzi wakaanza kuvimba
Sasa daraja lile litawagharimu sana

UKRAINE ndio mfadhili MKUU waugaidi nyuma ya US

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvunja daraja ni ugaidi na anaye vunja barabara,hospital, majengo ya makazi ya watu ni nani?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana hapo yupo anatest mitambo tu, Mission yake itaanza rasmi msimu wa baridi ukishaanza.

Na inasemekana Mwamba mission zake za OP huwa havushi miezi mitatu ashamaliza kazi na kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.

Inasemekana target zake nyingi huwa decision centers ndo maana unaona kaanza na kyiv center walipo decision makers wengi. Anaamini Mwili ni kichwa nasiyo Mkia, hivo huwa anaanza kupiga kichwa kwanza ndo anamalizia mkia.

Inasemekana huwa anatembeza moto kwa kutumia bombers na missile nzito kiasi cha kwamba hadi opponents wake huenda kwenye commanding center yake kuomba yaishe. (Mfano hai ni Makamanda wa USA huko Syria).

Call him General Sergei Vladimirovich Surovikin
#The hero of Russian federation [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏🤣🤣😂😂😂🤣😂😅😅
 
Back
Top Bottom