Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Mmekaririshwa mpaka akili zenu zimeganda hivyo hivyo!Unaambiwa Russia imepigwa targets muhimu 8 ikiwemo Kambi ya mafunzo na military facility,pia key infrastructure zimetandikwa!Pia Kuna mengine yamepiga maeneo ya usalama wa taifa wa Ukraine!Sasa kulipua majengo ya makazi ya watu na kuua raia ndo u special wake ulipojikita?
Yaani huyu ndo hatodumu hata muda kwenye hiyo nafasi maana ataitia hasara kubwa Russia ya kurusha ovyo makombora pasipo kufifisha nguvu ya jeshi la Ukraine.
Mmeishiwa kuoneshwa video tu hizo za mabomu yaliyokuwa intercepted na kuangukia Barabaran!
Tafuteni basi hayo mabomu mengine yametua wapi na wawape video!