Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mara ya kwanza leo nimeamka na tabasamu. Tabasamu lililoletwa na kile russia army walichokifanya kwenye miji ya Ukraine ikiwemo Kiev. Tangu ujio wa vunjo na kp kipanya44 kwenye huu uzi, kwa jinsi walivyokuwa wakiripoti hasara na vifo toka kwa jeshi la russia. Nilikuwa mnyonge lakini leo kwa kweni nina furaha kubwa kabisa na ningependa kuona hiyo miji ikipata kichapo kwa mfululizo kwa hata miezi miwili ili akili za zele zikae sawa.

Russia leo mmenifuragisha sana.
Ukapimwe mirembe
 
Kyiv, Lviv, Dnipro
Under missile attack
Sirens all over ukraine


Leo Urusi anatuweza leo

Twahitaji defences za uhakika kwa upesi
Huwa napenda comment zako sio matusi wala ushabiki ni mapenzi mazuri na ukweli. Binafsi naipenda Urussi kwa kuwa siipendi NaTo hususan huyu US kwa agenda zake ambazo ni immoral lkn nawapenda ulaya na hata Ukraine.
 
hayo ni matokeo chanya ya kamanda mpya wakuitwa Sergei Surovikin
We haven't started anything serious yet Khokhol wa October 8 na October 10 be like 👇

IMG_20221010_111940_232.jpg
 
Ripota wa habari wa BBC- Kiev wakati anaripoti asubuhi alikoswa na kitu chenye ncha kali aka hepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1255]The BBC correspondent in Kiev was interrupted by the sounds of missile strikes.

The presenter was reporting directly from the center of the Ukrainian capital when the arrivals began.

This morning, the sounds of explosions were heard in several districts of Kiev and other cities of Ukraine at once.

There are also reports of strikes on energy infrastructure facilities in the Lviv and Dnipropetrovsk regions.

Subscribe to @Sputnik
 
US EMBASSY IN KIEV:

"The U.S. Embassy urges US citizens to shelter in place and depart Ukraine now using privately available ground transportation options when it is safe to do so
Wameingia kwenye mapango si tulisikia wamepeleka air defence Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom