Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa anawatuma wenzake front line huku akiendelea kujificha kwenye andaki kama nguchiro [emoji2][emoji1787]
1663764489838.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Inasemekana hapo yupo anatest mitambo tu, Mission yake itaanza rasmi msimu wa baridi ukishaanza.

Na inasemekana Mwamba mission zake za OP huwa havushi miezi mitatu ashamaliza kazi na kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.

Inasemekana target zake nyingi huwa decision centers ndo maana unaona kaanza na kyiv center walipo decision makers wengi. Anaamini Mwili ni kichwa nasiyo Mkia, hivo huwa anaanza kupiga kichwa kwanza ndo anamalizia mkia.

Inasemekana huwa anatembeza moto kwa kutumia bombers na missile nzito kiasi cha kwamba hadi opponents wake huenda kwenye commanding center yake kuomba yaishe. (Mfano hai ni Makamanda wa USA huko Syria).

Call him General Sergei Vladimirovich Surovikin
#The hero of Russian federation [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
i like this.
si wajua kucheza na maneno
 
Usicheze mbali utujulishe matokeo.
Russia wanafahamu bomu la pale darajani Kerch lilitegwa na majasusi wa Ukraine, vikosi vya kigaidi vya Russia na vikosi vya kijasusi vya nchi za magharibi.

Hivyo kama wakumbuka Medvedev alisema Crimea ikishambuliwa basi hiyo siku itakuwa ni "judgmnet day".

Hii ya mashambulizi pale Kyiv ni Russia kuwaonyesha Ukraine kuwa wana uwezo wa kuishambulia na kuimaliza Ukraine wakati wowote.

Makombora yote yalopigwa jana Ukraine hayakuweza kutambuliwa na ADSs.

Yalikwenda kimyakimya kwenye sehemu lengwa.

Baada ya mashambulizi haya tegemea mashambulizi zaidi dhidi ya Ukraine na khasa sehemu ambazo mizigo ya silaha yapitia.
 
Back
Top Bottom