Mr Tyang
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 1,727
- 6,807
Inasemekana hapo yupo anatest mitambo tu, Mission yake itaanza rasmi msimu wa baridi ukishaanza.Kamanda Mpya Pasua kichwa [emoji30]
View attachment 2382288
[emoji635][emoji1255] [emoji298] The new commander of the SMO started the working week with a bang. Explosion in the center of Kiev.. Explosions are also reported in Dnepropetrovsk.
Na inasemekana Mwamba mission zake za OP huwa havushi miezi mitatu ashamaliza kazi na kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.
Inasemekana target zake nyingi huwa decision centers ndo maana unaona kaanza na kyiv center walipo decision makers wengi. Anaamini Mwili ni kichwa nasiyo Mkia, hivo huwa anaanza kupiga kichwa kwanza ndo anamalizia mkia.
Inasemekana huwa anatembeza moto kwa kutumia bombers na missile nzito kiasi cha kwamba hadi opponents wake huenda kwenye commanding center yake kuomba yaishe. (Mfano hai ni Makamanda wa USA huko Syria).
Call him General Sergei Vladimirovich Surovikin
#The hero of Russian federation [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]