Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hilo ndo tatizo la urusi, anapoteza resources nyingi kwa vitu hambavyo havina impact katika malengo yake..,hapo ukiangalia Wala hakuna Cha maana alichoharibu kwenye hayo mashambulizi,,sana sana utasikia kashambulia majengo ya makazi na kuua raia kadhaa.., wakati wenzake wanachakaza ammunition depot..,command post.., silaha za thamani na strategic areas..,huku asikari wake wakiuwawa kama kumbikumbi [emoji16]

Ukiangalia resources alizotumia na hivyo vijimbo hambavyo na vyenyewe ameviteka kwa sehemu tu hata haviendani[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hayo utajua wewe,kilichofanyika ni kuwakumbusha Kiev kuwa wasijaribu kushambulia maeneo ya Russia kwani uwezo wa kuigeuza Kiev majivu upo!
Hivi hizo air defense systems alizopewa Ukraine,zimeshindwa kabisa kuzuia mabomu hayo kutua Kiev?
😆😆, Zelensky arudie tena kushambulia maeneo ya Russia!
 
Breaking News

🇷🇺🇺🇦❗Adviser to the head of the Ministry of Internal Affairs of Ukraine Gerashchenko said that one of the rockets that hit Kiev fell on Volodymyrska Street, where the SBU office is located, Zelensky's office is located nearby
 
Kamanda Mpya Pasua kichwa [emoji30]

View attachment 2382288

[emoji635][emoji1255] [emoji298] The new commander of the SMO started the working week with a bang. Explosion in the center of Kiev.. Explosions are also reported in Dnepropetrovsk.
Bado ana nyege huyo ngoja vijana wa zelensiky wamtoe hizo nyege..,hapo ndo atatulia na kufanya kazi kwa weredi zaidi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
US aliwekeza sana mifumo ya ulinzi Alaska kwa kuwa ni karibu na Russia. Alidhani Russia akianza kumshambulia makombora atayapitishia Alaska.

Russia ikawaza tofauti, ikaanzisha mfumo mwengine wa ku deal na US (nimeusahau). Kombora linapitia south pole linaweza kutokea Mexico na kushambulia US.

US mwenyewe akachoka! Akasema uongo! Putin alivyofanyiwa interview na Megan wa US akamjibu hiyo mifumo tunayo na imefanikiwa.
Nonesense , kombora lipitie south pole mpaka lifike Mexico unajua linakuwa limepitia territories ngapi ? Au unaandika ujinga ujinga Tu hapa , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,hivi Una uelewa hata WA Rajani ya dunia iillivyo ?
 
Kamanda Mpya Pasua kichwa 😩

View attachment 2382288

🇷🇺🇺🇦 ⚡ The new commander of the SMO started the working week with a bang. Explosion in the center of Kiev.. Explosions are also reported in Dnepropetrovsk.
😄😄 Utasikia tu US ikisema tumemuwekea vikwazo vya Kuingia US kamanda mbabe na familia yake 😄😄,hamna Kitu watamfanya Zaidi ya kulia Lia tu.
 
terrorist attack by Ukrainian special services and foreign accomplices. Everyone understands that this is not just a statement, but preparation for something major that will follow, but this will be more important.
Options:
  • announcement of an ultimatum to Ukraine
  • official declaration of war on Ukraine
  • raising stakes and launching full
-scale strikes on Ukraine's critical infrastructure.
- will announce the goals of decision
-making centers in Ukraine, which will begin to destroy.

They will call on all civilians to leave these facilities and the territory nearby. All these options are very bad for the Ukrainian people. For the Office of the President and the "directors" of the terrorist attack, they are not terrible, they most likely achieved this.
Nyie wapumbav , terrorism ,yaani Ukraine afanye terrorism ndani ya nchi yake , hivyo vichwa vyenu sijui huwa mmejaza matope ya wapi aisee
 
Hayo utajua wewe,kilichofanyika ni kuwakumbusha Kiev kuwa wasijaribu kushambulia maeneo ya Russia kwani uwezo wa kuigeuza Kiev majivu upo!
Hivi hizo air defense systems alizopewa Ukraine,zimeshindwa kabisa kuzuia mabomu hayo kutua Kiev?
😆😆, Zelensky arudie tena kushambulia maeneo ya Russia!
Haya ndo majibu ya Rusia kuvamiwa nchi yake aliyojiongezea na wavamizi kutoka Ukraine. Ngoja tuone kishindo chake.
 
Eeeenhe mwana kulitafuta naona kalipata

🇷🇺🇺🇦⚡ New explosions are heard in Kiev! In Lvov and Khmelnytsky, the light has disappeared in some areas. In Zhytomyr they write that there is no electricity throughout the city.

💥Explosions reported in Ternopil and Zhytomir (west Ukr) 12 missies are reported in Dnepropetrovsk.
 
Hilo ndo tatizo la urusi, anapoteza resources nyingi kwa vitu hambavyo havina impact katika malengo yake..,hapo ukiangalia Wala hakuna Cha maana alichoharibu kwenye hayo mashambulizi,,sana sana utasikia kashambulia majengo ya makazi na kuua raia kadhaa.., wakati wenzake wanachakaza ammunition depot..,command post.., silaha za thamani na strategic areas..,huku asikari wake wakiuwawa kama kumbikumbi [emoji16]

Ukiangalia resources alizotumia na hivyo vijimbo hambavyo na vyenyewe ameviteka kwa sehemu tu hata haviendani[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kivita yupo sahihi kabisa
Anakiwasha pale ambapo ndio makao makuu tarajia jeshi kurudi kulinda pale na washirika wake
Anawachanganya maboya atakiwasha happ mpaka wajisahau kisha anapiga maeneo muhimu na vikos ambavyo wanahitaji kuviangamiza
 
Kwauchache nlosikia pale DW

Wanasema jamaa katili alipigana kule CHECHNIA miaka kumi kwenye ile CTO akawamenya haswaaa

Akaja hapo kwa IS kule SYRIA pia akawamenya haswaa

Sasa kapelekwa UKRAINE nna imani napo atawamenya haswaaa

Acha tungojeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine sio wanamgambo WA ISIS au Chechnya ambao walikuwa hawana aerial support ,hawana vifaru ,ndege za kivita , drones na heavy defensive weapons za kutungua ndege ,drones ,vifaru na hata kujilinda dhidi ya missiles .
Mnapofanya comparison ya hizo battles na war in Ukraine mnaonekana ni watu wasioelewa hata mnachozungumza unless iwe ni kujaza servers Tu humu .
You don't know wtf you are talking about
 
Back
Top Bottom