kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
NashukuruWe ni kvma
NashukuruWe ni kvma
Ameongeza idadi ya pro UkraineHaya ndio mambo PRO NATO wanayoshabikia halafu tukiwaita mapunga wanakasirika.View attachment 2381796
Russia anaonekana anazo kete nyingi sana kaziweka kibindoni basi tu katulia zake wanasema utu uzima dawa.US aliwekeza sana mifumo ya ulinzi Alaska kwa kuwa ni karibu na Russia. Alidhani Russia akianza kumshambulia makombora atayapitishia Alaska.
Russia ikawaza tofauti, ikaanzisha mfumo mwengine wa ku deal na US (nimeusahau). Kombora linapitia south pole linaweza kutokea Mexico na kushambulia US.
US mwenyewe akachoka! Akasema uongo! Putin alivyofanyiwa interview na Megan wa US akamjibu hiyo mifumo tunayo na imefanikiwa.
😂Tatizo mtu anakuqoute sio kwa lengo la kujenga hoja nzuri itakayoleta conversation iliyo bora bila kujali upande mtu anaosupport, sasa unakuta mtu anakukuote kwa kuweka nakadharau mwanzo ety ji update.
Hii itakuwa ya february sasa hivi frontline inavaa ribbon za blue na sio yellow kama zamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2381919
[emoji298]️Another batch of Ukrainian pacifist cooks surrendered, all against the war and want to go home to their mother. The one on the far right seemed to be looking for acorns.
Kaka Tatizo linakuja mtu unamwelezea ukweli halisi yeye anapinga, nikweli sometimes unatakiwa kumjibu kulingana na vile alivyokukurupukia, ikiwezekana unamuignore kabisa.Russia anaonekana anazo kete nyingi sana kaziweka kibindoni basi tu katulia zake wanasema utu uzima dawa.
😂
Sure, huyu wa leo nimeamua kumjibu but huwa nawakaushia saaana tu. Kuzungumza mtu juu ya jambo ambalo halijui af analazimisha kulijua ni habari nyingine.
Kibaya zaidi ukiangalia Muktadha wa kile alicho andika na kile nilichokua nazungumza na bro Jesus Mlokozi ni vitu viwili tofauti. Kule nimezungumza habari ya Casualties ya Raia hasa wa EU walio karibu na Russia ambao watakumbwa na sokomoko kabla dada yao US hajafanya chochote Moscow. Ye analeta habari za kuji'update 😂.
Hapo Russia City with highest Population ndani ya Russia ya kwanza Moscow kisha St Petersburg. Anagalia umbali wa hii miji kutoka France ama UK ama US (Nchi ambazo zinamiliki Nukes weapons ndani ya NATO).
Russia kuna 85 regions zinazo stretch from eastern Europe to far east jiran na Japan. Nahisi ndio nchi yenye mikoa/majimbo mengi zaidi duniani. Na population yake pia iko scattered kwenye majimbo hayo.
Kuhakikisha umetia casulaties kila kona si kazi ndogo hasa ukiangalia means of delivery kila mmoja alizonazo.
Upigane chumbani utegemee msaada wa jirani kutoka nyumba ya 7. Hivi hadi aje afike humu ndani utakuwa umebakizwa nini? Sasa hata ile ku'think rationale mtu hawezi. Na hawezi of course kama anakwambia 6,065 ni kubwa kuliko 6,257 mnajadiliana nini sasa hapo kama sio kupoteza mda.
Hawa jamaa utawawaweza basi?! [emoji16]Hii itakuwa ya february sasa hivi frontline inavaa ribbon za blue na sio yellow kama zamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona hii imeanza ujue ukraine hali si hali,Mungu awasaidie ukraine watetee haki yao.View attachment 2381919
⚡️Another batch of Ukrainian pacifist cooks surrendered, all against the war and want to go home to their mother. The one on the far right seemed to be looking for acorns.
Hiyo ya mwezi wa pili..,jamaa anajaribu kujifariji tu[emoji28]Ukiona hii imeanza ujue ukraine hali si hali,Mungu awasaidie ukraine watetee haki yao.
Habari njemaRussia seized Zaytsevo (DPR), destroyed 600+ Ukrianian troops, 12 tanks, 1 Mig-29, 1 Su-24
Haki ipi UKRAINE wavamizi wapigwe wauaweUkiona hii imeanza ujue ukraine hali si hali,Mungu awasaidie ukraine watetee haki yao.
Sio kirahisi hivo,maana kwa miezi 7 bado anahenya, hivyo huenda russia akashinda kwa mbinde sanaHaki ipi UKRAINE wavamizi wapigwe wauawe
PUT IN aendelee kuwanyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
RUSSIA inataka ushindi tuuuSio kirahisi hivo,maana kwa miezi 7 hii huenda russia akashinda kwa mbinde sana
Hebu nifahamishe ndugu nipate uelewa.
Huko kuna vita kati ya urusi na Ukraine.
Urusi alitoka anakoishi kwenda kufanya operation Ukraine inavyosemwa na wengi humu.
@Je hii operation ni ya kupigwa anaefanyiwa operation tu yeye hahitajiki kujilinda (kumpiga) anaefanyiwa operation??
@ Ukraine amehujumiwa miundo mbinu yake mingi ikiwemo hospital,barabara,makazi ya watu n.k hujuma hizi je zinaitwa kwa jina gani? sasa yeye hahitajiki kufanya chochote pale anapopata uwezo wa kumfanya/kumshambulia anaefanya operation?
Sasa kama urusi anashambulia kwa kutumia mabomu ya masafa marefu ili kuipiga Ukraine huyu Ukraine hastahili kufanya hivyo kwenye nchi ya urusi?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
1st thing 1st, hakuna vita kati ya Ukraine na urusi. Urusi anafanya operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine. Ni operesheni tu sio vita.
Though still Point yako nimeielewa.
Hata akishinda atakuwa kapata somo.Hiyo ya mwezi wa pili..,jamaa anajaribu kujifariji tu[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app