Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
RUSSIA katengwa na DUNIA halaf hana washirika[emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
RUSSIA katengwa na DUNIA halaf hana washirika[emoji16][emoji23][emoji16]
Note kwa wachangiaji wote...!
Ndugu zangu kabla hamjafikia hatua ya kutukanana, mkumbuke kua kuna "Ignore' option mnaweza kuitumia kama aliye mbele yako taarifa zake zinakukera au hazja-fit matamanio yako.
Kutukana hasa matusi kwa wazazi wenu ambao hawajui hata mnabishania nini ni upumbavu wa hali ya juu. Kutukana hakuongezi busara wala maarifa.
You gah two options, either tujibu kistaarabu au kuacha kabisa inapobidi. We aren't forced, we aren't obliged by any kureply kwa kila anayequote vile venye umepost.
Hata kama tupo nyuma ya keyboard, Heshima ni kitu cha bure!
Ushauri wangu wa jana naurudia na leo, If you are too emotional achana na hizi mambo za Siasa. Politics is war, of course hata vita ni siasa pia. The less you know the easy for you to be manipulated.
So either tutulie au tuangalie mambo mengine ya kufanya ila si kutukanana matusi yanayohusu wazazi wetu.
Inakera!
Watu wangekuwa na reasons beyond outside the box Kama huyu jamaa tungekuwa mbali sana, September 11, ilikuwa justification ya USA kwenda Iraq, Afghanistan ilikuwa kama chambo tu, target ilikuwa kwenda kuiba mafuta Iraq. September 11 wahusika wakuu ni member wa saudia pamoja na CIA, hivyo Crimea bridge itakuwa justification ya Russia kutembeza kichapo Cha mbwa Koko uko Ukraine. Sehemu zilizochukuliwa na Russia Zina utajiri mwingi wa madini ya chuma, mbolea, kilimo, nuclear power plant ambayo ni kubwa barani ulaya etc. Hivyo kilichobaki Ukraine kwa utajiri ni kidogo sana. USA walikuwa wamewekeza Sana kwenye kilimo, steel plants etc vyote vimeenda upande wa Russia.Personal Analysis as Usual..!
Nianze kwa kusema kua katika vitu vigumu kuvifatilia na kuvielewa kwa picha ya "nje" Ni military technique za kivita. Wengi tumetizama sana Movies so we expect some actions to be in our wishful thinking way.
Lakini yet haiko hivyo, this isn't a movie, au "Call on Duty" Game. Everything and every action are recorded later miaka ijayo wajukuu ama vizazi na vizazi vitajifunza kupitia history ya yanayo endelea leo.
At first even I, kama wengine nimeshtushwa na kusononeka pia na ile taarifa ya Crimean bridge lakini later nikaona ni better ku'settle emotions pembeni nirudi kutazama kinachoendelea kwa umakini.
So baada ya pita pita zangu kuangalia kuna machache haya niliyong'amua nimeona ni'share nanyi... Mnielewe vizuri hapa, all of these nitakayoeleza are based on personal analysis ya situation, kila mtu ana fikra zake I guess.
Nianzie nyuma kidogo,
October 5, ones of Ukrainian Channel (Ila hawa ni Patriots sio Propagandists) ilipost hii kitu!
Russian President Putin signed federal constitutional laws on the admission of the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions into Russia.
The stakes have finally been raised.
The first chapter of the Ukrainian crisis is over.
As a result, the Russian Federation receives 4 regions, in return it receives a "sanctions bouquet", Ukraine received a destroyed country and economy, in return Zelensky achieved his popularity in the world and a photo in Time magazine.
Chapter II has begun. Everyone is interested in what's next.
Remember hii ilikuwa ni siku moja baada ya State Duma kupitisha yale Majimbo manne ya Ukraine kuingia Russia baada ya referendums!
Kwa kile nachofaham katika Operations nyingi ambazo Mataifa hufanya kwa mataifa mengine huwa wanahitaji "Justification" ama tuseme "Public opinions" kama walivyo fanya wahuni wa Sept 11 kujiingiza Afghanistan na jina la 'Counter terrorism Operation".
Ukiangalia muktadha wa daraja na kilichotokea Sept 11 kuna vitu kama vinafanana hivi.
👣 Sehem ilipotokea tukio hakuna damage kubwa, lile daraja kama mmeliona lina up and down. Eneo kulipotokea mlipuko ni kijieneo kidogo ambacho kitachukua mda mfupi sana kurekebishwa.
Lakini ajabu mkiangalia kieneo kilicholipuka ni as if kumetokea mafuriko daraja likayumba, see a picture below!
View attachment 2380800
If it were really aimed katika kuharibu daraja, mlipuko ungekuwa poa kama ungelipuka eneo la juu ambapo ungesambaratisha eneo kubwa la daraja kiasi kwamba inge-take years kuli-rejesha.
A best part for destruction ya hili daraja ingekuwa hapa...
View attachment 2380803
We have heard, eneo lililo haribiwa limeleta damage of approximately kama 250 to 300 Millions rubles, hizi ni kama 3.5 hadi 4.5 millions dolali. Mie na wewe tuulizane is that damage worth hii reputation aliyopokea Ukraine ya kua framed kama Terrorists regime?
Kingine cha kustaajabisha Reli pembezoni mwa daraja ambapo kumelipuka tank la mafuta bado ipo intact, na inategemea kuendelea na shughuli zake jioni ya leo. That means all railway logistics to Crimea zitaendelea as usual.
Na nieleweke vizuri, I don't rule out involvement ya Ukraine kwenye hili. Either wamehusika au hawajahusika wanajua wenyewe. Nachojaribu kuwaeleza ni kuwaza nje ya box.
Crimean bridge sio military target bali ni Civilian Infrastructures, Mashambulizi eneo hilo ni an act of terrorism. So ile hype ya Ukraine regime kuishadadia (again hapa nieleweke either wamehusika au hawajahusika) ni kujidhihirisha au kuishuhudisha dunia kua West wanafadhili ugaidi. (Nazi regime) na kuipa heko Russia kua wana kila sababu ya kuondoa "threat" pembezoni mwao. Hii ndio tunaita "Justification" ambayo itafanya maamuzi (endapo kama yakichukuliwa) kua supported na Publics opinions.
Naendelea kwenye post nyingine mbele, ili isiwe ndefu sana.
Surely bro!Watu wangekuwa na reasons beyond outside the box Kama huyu jamaa tungekuwa mbali sana, September 11, ilikuwa justification ya USA kwenda Iraq, Afghanistan ilikuwa kama chambo tu, target ilikuwa kwenda kuiba mafuta Iraq. September 11 wahusika wakuu ni member wa saudia pamoja na CIA, hivyo Crimea bridge itakuwa justification ya Russia kutembeza kichapo Cha mbwa Koko uko Ukraine. Sehemu zilizochukuliwa na Russia Zina utajiri mwingi wa madini ya chuma, mbolea, kilimo, nuclear power plant ambayo ni kubwa barani ulaya etc. Hivyo kilichobaki Ukraine kwa utajiri ni kidogo sana. USA walikuwa wamewekeza Sana kwenye kilimo, steel plants etc vyote vimeenda upande wa Russia.
PUT IN akili kubwaikumbukwe MBS wa saudia negotiated the release of Azov fighters and exchange of Ukraine-Russia POWS wengi tulihoji why russian got a raw deal kwa hio exchange kumbe makumbwa was behind the curtains. putin akili kumbwa
View attachment 2378655
Hizi sasa ndio sera za US. Sera za vitisho.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
"Let them count on Putin."
The US Treasury called the decision of OPEC+ to reduce oil production "useless and unreasonable".
And Democrats Tom Malinowski, Sean Kasten and Susan Wild, members of the House of Representatives, proposed withdrawing American troops from the UAE and Saudi Arabia, along with missile defense systems that ensure the safety of oil fields.
They believe that Middle Eastern countries have chosen Russia's side in the conflict, so the United States should stop helping them.
Subscribe to @SputnikView attachment 2381408
SMO inaendelea vyema sana ndani na nje ta UKRAINE"You report: Saudi Arabia and Russia — blah, blah, blah."
Prince Abdel-Aziz bin Salman at the OPEC+ press conference accused Reuters of lying.
"You wrote, they say, Russia is doing this and that. But in fact, when the material came out, I had not yet communicated with anyone from Russia.
Then you wrote again that Saudi Arabia and Russia, blah blah blah, are trying to negotiate a price of $100. But that's not true."
Subscribe to @Sputnik
Wiki kadhaa nyuma hapo nilisema hapa hapa[emoji41][emoji41][emoji41]
View attachment 2378877
[emoji3544] Medvedev - Next is Odessa
“Ukraine’s NATO application is nothing but Kiev’s request to hasten the start of World War 3.”
"The Genocide of 9 million Russians was averted. Next up is Odessa, the Russian city with a large Russian population."
- Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Security Council of Russia
[emoji23] That Medvedev has rebranded this way is so beyond hilarious and this graphic. Russians must be laughing harder still.
Naona mnajaribu kujipoza maumivu.., kipigo Kiko palepale.., luhansik lilikuwa Jimbo pekee hambalo Russia alikuwa analidhibiti kwa asilimia 95 wakati wa kile kiinimacho anachoita referendum..,Sasa kwa Hali inavyokwenda Ukraine punde watakomboa nusu ya Hilo JimboWatu wangekuwa na reasons beyond outside the box Kama huyu jamaa tungekuwa mbali sana, September 11, ilikuwa justification ya USA kwenda Iraq, Afghanistan ilikuwa kama chambo tu, target ilikuwa kwenda kuiba mafuta Iraq. September 11 wahusika wakuu ni member wa saudia pamoja na CIA, hivyo Crimea bridge itakuwa justification ya Russia kutembeza kichapo Cha mbwa Koko uko Ukraine. Sehemu zilizochukuliwa na Russia Zina utajiri mwingi wa madini ya chuma, mbolea, kilimo, nuclear power plant ambayo ni kubwa barani ulaya etc. Hivyo kilichobaki Ukraine kwa utajiri ni kidogo sana. USA walikuwa wamewekeza Sana kwenye kilimo, steel plants etc vyote vimeenda upande wa Russia.
Hivi Urusi, USA, Ukraine wakipigana mabomu ya nuclear, sisi huku Tz tutapata madhara ya mlipuko? Na sisi tutalipukiwa?
Huyo anakwenda kuwa mbolea hivi punde tu,NAOMBA TUJIKUMBUSHE KIDOGO MOTO ALIO UWASHA JAMAA HUKO SYRIA NDANI YA MIEZI MITATU TU AKAWAFURUSHA MAGAIDI NA USA KWENYE UWANJA WA VITA.
Mnamo 2015 Urusi ilipeleka Syria kikosi cha askari takribani 65000 tu baada ya kuombwa msaada wa kijeshi na serikali ya Syria iliyokuwa ikipambana na vikosi vya kigaidi vilivyokuwa vinaongozwa na USA&mashoga zake,. Wakati Russia inaingilia operation hiyo (millitary operation intervention) ilikuta vikosi vya serikali ya Syria vipo hoi bin tabani na serikali ishapoteza majimbo mengi dhidi ya ant-government troops backed up by USA and NATO. Ndipo ilipoanza mipango ya kuimarisha vikosi vya serikali ya Syria na kuanza kuwasha moto dhidi ya hao magaidi wa USA. Na hapo ndo USA na ulaya yote ilipomtambua huyu mbabe wa Vita General SV.
KIAJE GEN. SV ALIKUWA MWIBA KWA USA NA MAGAIDI WAKE?
Mnamo June 2017 Russia ili upgrade moto na kumteua mwamba wa operation za kijeshi Gen.Sergei Vladimirovich Surovikin kuwa kamanda in charge wa operation ya Syria, na hapo ndo moto wa kisoviet ulianza kuwashwa na huyu mwamba, mpaka kufikia Sept 2017 (yaani miezi mitatu tu ya ukamanda wake) tayari alikuwa ashafanikiwa kurudisha zaidi ya asilimia 50% ya majimbo yaliyokuwa yamechukuliwa na magaidi, na rasmi Russia ikatangazwa kama mshindi wa hiyo operation dhidi ya vikosi vya magaidi na USA kupitia huyu mwamba wa Vita. Ilipofika mwezi October 2017 mwamba akapewa ukamanda wa jeshi la Anga (Commander of the Aerospace Forces) baada ya kumaliza kilicho mpeleka Syria. Mnamo june mwaka huu Mwamba alipelekwa Ukraine kwenda kuongoza vikosi vya russia kusini mwa Ukraine ambapo alivipelekea moto vikosi vya Ukraine Donbas kutoka kusini mwa Ukraine na mafanikio makubwa ya SMO huko Kusini mwa Ukraine na Donbas kwa ujumla.
Hizi ni baadhi ya tuzo za kijeshi alizo wahi kutunukiwa huyu mwamba wa operation za kijeshi
la Vita)
☆ THE HERO OF THE RUSSIAN FEDERATION IN DECEMBER 2017☆ (Baada ya kuwachakaza USA na magaidi wao Syria)
☆Order of the Red Star☆
☆The Order of Military Merit☆
☆The Order of Courage three times☆(Mwamba ndo mtabe wa vibe ya vita)
MWAMBA NAE NI KARBA YA KINA PUTIN TU SIYO MTU WA KUCHEKA WALA KUTABASAMU, 24/7 NI WAMBUZI TU.
Huyo ndo Mbabe wa Vita vya ardhini na Angani Gen. Sergei Vladimirovich Surovikin ambae tutashuhudia siku si nyingi Ukraine inalia na kusaga meno kwasababu ya hasira na vibe la huyu Mwamba anapokuwa kwenye OP ya kijeshi.
View attachment 2381540
Hapana hapana hapana wataumizana wao kwa mabomuHivi Urusi, USA, Ukraine wakipigana mabomu ya nuclear, sisi huku Tz tutapata madhara ya mlipuko? Na sisi tutalipukiwa?
Hebu nifahamishe ndugu nipate uelewa.Hiyo ni Kwa mujibu wako,ila Kwa mujibu wa Russia Hilo ni tukio la kigaidi!