Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Birthday Boy!
 

Attachments

  • 1665220844629.jpg
    1665220844629.jpg
    143 KB · Views: 16
Birthday Boy!

Kwenye milango ya kuingia daraja la Crimea kuna ukaguzi wa mionzi(x-ray) wa mfumo wa complexes ST-6035 wa Idara ya Usalama ya Wizara ya Usafiri ya Urusi,ambayo uangalia magari kama yana milipuko na ningumu kupitisha Milipuko. swali linabakia je daraja la Crimea limelipuliwa vipi?
IMG_8402.jpg

IMG_8401.jpg

IMG_8400.jpg
 
tumia akili angalia picha fungua ubongo.
jinsi barabara ya chini ilivyo pasuka.
pamoja na io reli ya juu.

mlipuaji ni profession kabisa wa hivyo vitu.
vibom vya kujitoa muhanga haviwez kusambaratisha daraja ambalo HIMARS zilishindwa.
Sasa Unajua Lori Hilo lilibeba kiasi gani Cha mlipuko?Kwani mabomu ya kujitoa muhanga ya limit?Yes,aliyeweka mabomu hayo kwenye gari ni professional,ila yawezekana aliyejitoa muhanga Kwa kubeba hayo mabomu Kwa Lori sio professional!
In either case,Russia wamelitambua tukio Hilo kama la kigaidi!Tusubiri majibu yake!
 
Sasa Unajua Lori Hilo lilibeba kiasi gani Cha mlipuko?Kwani mabomu ya kujitoa muhanga ya limit?Yes,aliyeweka mabomu hayo kwenye gari ni professional,ila yawezekana aliyejitoa muhanga Kwa kubeba hayo mabomu Kwa Lori sio professional!
In either case,Russia wamelitambua tukio Hilo kama la kigaidi!Tusubiri majibu yake!
Mwanzoni wa Ukraine wa Buza walisema hilo daraja limepigwa na Himars.
 
Kumbe hata huelewi formations za jeshi vitani.

Logistics ops ni tofauti kabisa na procurement.

Logistics is more of military planning.
Procurement is more of "acquisitions"

Na hayo ni Mambo mawili tofauti kabisa.

Sasa, Amry General anaye deal na military planning (logistics) anausikaje Tena na procurement of assets...
Kwahiyo hizo uniforms zilinunuliwa ila hazikufika kuhifahiwa kwenye vituo au hazikukunuliwa walisajili mzigo hewa. Zilisomeka ziko reception points na hazipo kama huyu MP aliyeibua mjadala alivyosema, wakifanya procurement ya silaha wanazifanyia distribution unless kama kila kituo kinanunua chenyewe. Sasa nani analaumiwa hapo katika hili
IMG_20221008_130904.jpg
 
We jamaa una akili kichwani?? Yaan URUSI akose sare za majira ya baridi?? Wakati ana kambi kule northen Pole ambako kuna baridi kuliko sehemu yoyote duniani??
Kumbe we jamaa ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Tuseme sina akili. MP aliyeibua huo mzozo angejibiwa hizo uniforms zaidi ya milioni moja ziko wapi. Au watachukua hizo walizonazo wanajeshi wa Arctic na mpakani na Finland ndio wapeleke Ukraine?

Au unamaanisha Urusi hawana storage ya zana za kivita. Zilizopo kwenye matumizi ndio hizo hizo pekee walizonazo.

Au unamaanisha winter uniforms zinatumika Northern pole pekee na sio kwingine.
 
Kwahiyo hizo uniforms zilinunuliwa ila hazikufika kuhifahiwa kwenye vituo au hazikukunuliwa walisajili mzigo hewa. Zilisomeka ziko reception points na hazipo kama huyu MP aliyeibua mjadala alivyosema, wakifanya procurement ya silaha wanazifanyia distribution unless kama kila kituo kinanunua chenyewe. Sasa nani analaumiwa hapo katika hiliView attachment 2380622
Hayo maswali unayouliza ni vigumu kupata majibu yake kwa sababu ya kutokuwa na taarifa za kujitosheleza.

Ishu hapa niliyokuwa nakujibu awali, ni swala la wewe kumuhusisha huyo Army General na maswali ya ununuzi wa Uniform.

Kwa kawaidi jeshini, kunapotokea Jambo ambalo haliko sawa, kwa mfano "Kama huo wizi wa uniform", Basi Kuna tume ya kuchunguza itaundwa (sometimes hata mtu mmoja tu anaweza kufanya huo uchunguzi na kutoa report).

Ila nilikuwa nataka kukuelewesha kwamba maswala ya kupiganisha Vita Military planning/(logistics planning ndio lugha sahihi) ni tofauti kabisa na procurement.
 
Hizo ndio faida za kuwapiga Ukraine kwa kuwadekeza, badala ya kuwapiga carpet bombings mwanzo mwisho wao wanawapiga kindugu ndugu.Akiendelea kuwachekea Yajayo yatamfurahisha Putin
Carpet bombing unawafanyia ISIS wasio na air defence. Russia haina air dominance kwenye anga la Ukraine, ikipeleka bombers ambazo ni rahisi kuzishambulia kuliko fighters ni disaster kwa air force yao. Sanasana Su-34 striker ndio inajitahidi kuingia ila zikija hizo Tu-22 zinashushwa haraka iwezekanavyo. Kwanza haziwezi pita anga la chini hivyo zitaonekana zikiwa mbali kabisa na zilivyo na radar cross section kubwa
 
Back
Top Bottom