Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Warusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingine
russian-deputy-defence-minister-dmitry-bulgakov-780x470.jpg


Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine wameingia kiwewe baada Starlink kushindwa kufanya kazi baada ya Russia kujamm system za hiyo Satellite View attachment 2380305View attachment 2380306View attachment 2380307View attachment 2380308View attachment 2380309
Ngoja NATO wazitafute hizo EW sites kwa kutumia AWACS zao kisha anti radiation missiles zitumike
 
Ukitumia logic utaona hii Vita ilikuwa haina ulazima ila dikteta Putin alikurupuka tu.
Itakua ulikuja kushabikia Ukraine bila kujua chanzo cha vita, kama unatumia logic utakuja kujua ilikua kuna ulazima wa Russia kuwa na SMO hapo ukraine. Nenda kasome chanzo cha huo mgogoro kwenye vyanzo tofauti ukiwa na flexible mind utapata picha angalau
 
Warusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310

Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
Turkiye imekataa pitisha hizo gwanda
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Juzi Russia walitumia kwa mara ya kwanza Lethel weapon za kuchoma Satellite angani matokeo ya zoezi hilo yameacha vilio vya kimya kimya Ulaya na Jana Ukraine ndio wametoa mlio mkubwa baada Star link kushindwa kufanya kazi. Na baada kuona hivyo Biden jana kasema Hatari vita Nuke Toka Russia imefikia kiwango kuliko kile cha mwaka 1962 sasa ukiona Biden anaanza kuingia woga ujue kuna kitu kizito kimepiga kwenye mshono kimya kimya.
Screenshot_20221008-074241.jpg
Screenshot_20221008-074032.jpg
Screenshot_20221008-073954.jpg
Screenshot_20221008-074331.jpg
Screenshot_20221008-074044.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Juzi Russia walitumia kwa mara ya kwanza Lethel weapon za kuchoma Satellite angani matokeo ya zoezi hilo yameacha vilio vya kimya kimya Ulaya na Jana Ukraine ndio wametoa mlio mkubwa baada Star link kushindwa kufanya kazi. Na baada kuona hivyo Biden jana kasema Hatari a vita Nuke Toka Russia imefikia kiwango kuliko kile cha mwaka 1962 sasa ukiona Biden anaanza kuingia woga ujue kuna kitu kizito kimepiga kwenye mshono kimya kimya.View attachment 2380318View attachment 2380319View attachment 2380320View attachment 2380322View attachment 2380323

Naomba links za hii habari. Very interesting
 
Huyu Zoka namfollow siwezi kosa utetezi wake na Warusi wenzie. Mara nyingi taarifa zake huwa ni "Ukrainian aided with British mercenaries have captured..."
"NATO troops acting as as Ukrainian infrantrymen have..."
"NATO supplied weapons tried to ... but failed..."
"Nazis have destroyed our abandoned truck.."

Watu kama Zoka huwaaminisha mashabiki zao kwamba Ukraine sio kitu, credit zote hupewa Britain, US au NATO. Ni vizuri sana kuwafatilia hawa watu, tone zao na uandishi ndio uonesha hali ikoje uko frontline
Sasa pale Ukraine unafikiri ana nn? Ao ndo wanamfanya avimbe
 
Warusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310

Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
We jamaa una akili kichwani?? Yaan URUSI akose sare za majira ya baridi?? Wakati ana kambi kule northen Pole ambako kuna baridi kuliko sehemu yoyote duniani??
Kumbe we jamaa ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Huyu Zoka namfollow siwezi kosa utetezi wake na Warusi wenzie. Mara nyingi taarifa zake huwa ni "Ukrainian aided with British mercenaries have captured..."
"NATO troops acting as as Ukrainian infrantrymen have..."
"NATO supplied weapons tried to ... but failed..."
"Nazis have destroyed our abandoned truck.."

Watu kama Zoka huwaaminisha mashabiki zao kwamba Ukraine sio kitu, credit zote hupewa Britain, US au NATO. Ni vizuri sana kuwafatilia hawa watu, tone zao na uandishi ndio uonesha hali ikoje uko frontline
Na huo ndio ukweli. Bila support ya British/US, hao Ukraine wasingeweza kuendelea kufanya any resistance.

Je, hata kwenye jambo hili unataka kuleta ubishi wako?
 
Warusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310

Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
Kumbe hata huelewi formations za jeshi vitani.

Logistics ops ni tofauti kabisa na procurement.

Logistics is more of military planning.
Procurement is more of "acquisitions"

Na hayo ni Mambo mawili tofauti kabisa.

Sasa, Amry General anaye deal na military planning (logistics) anausikaje Tena na procurement of assets...
 
Je, ni wapi na lini umekatazwa kukopi habari na kuja ku paste hapa?

Je, yeye akikopi na ku paste hapa wewe unaumia Nini hasa?

Je, ni wapi na lini umekatazwa kukopi habari na kuja ku paste hapa?

Je, yeye akikopi na ku paste hapa wewe unaumia Nini hasa?
Naona uwezo wako wa kuelewa pengine una shida ?
Nimekuambia
1.Kila jukwaa Lina viwango vyake
Kuna majukwaa ya porojo na blah blah lakini sio hili this jf for Gt
2.Kila habari Ina chanzo chake cha uhakika
Leta habari na chanzo cha uhakika, sio mtu anakaa anaandika anasema ,Trumph said
3. Wasilisha kitu ambacho wewe mwenyewe unakielewa
Sio unacopy kitu hukielewi na huwezi kufafanua,
 
Back
Top Bottom