nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,225
nipo mkuuUpo kamandq?
nipo mkuuUpo kamandq?
Rais Samia alisema ukosefu wa lishe bora usababisha akili kuwa duni, ukosefu wa nguvu za kiume etc. Watanzania wengi wanakumbwa na ukosefu wa lishe na kusababisha ukosefu wa fikra, tunakoenda ni shida sana. Wazungu wametuweza sana hivi vyakula badala ya kula vyakula vya asili unashobokea chips mayai/kiepe/zege kuku wa kisasa toka Brazil matunda toka South Africa na China , Brazil yenye chemical hivi vyakula vinaondosha uwezo wa akili na kusababisha majanga kwenye familia zetu.===
Bora umeanza kuiona hatari!
Nadhani, NATO anamlazimisha dubu ajibanze kwenye Kona na awe mdogo kama pilitoni!!! Sasa akiumuka kutoka kwenye Kona huyo tusilalamikiane.
Ila pro rusia mna moyo aisee pamoja na kichapo chote hamuondok jukwaani ,pumzikeni basi hata kidogo
Ila pro rusia mna moyo aisee pamoja na kichapo chote hamuondok jukwaani ,pumzikeni basi hata kidogo
Huyo jamaa mpuuze tu ni mzito mno na ana propaganda ambazo hata yeye haelewi anamaanisha niniKumbe hata huelewi formations za jeshi vitani.
Logistics ops ni tofauti kabisa na procurement.
Logistics is more of military planning.
Procurement is more of "acquisitions"
Na hayo ni Mambo mawili tofauti kabisa.
Sasa, Amry General anaye deal na military planning (logistics) anausikaje Tena na procurement of assets...
Ila pro rusia mna moyo aisee pamoja na kichapo chote hamuondok jukwaani ,pumzikeni basi hata kidog
Labda ww upo kremlin utuambie ? Laser weapon zinafanyajr kazi , range, deployment na vitu vingine?Mkuu Toka lini hujuma zikawa na matamko
Hapo treni haijahusika maana daraja la treni liko juu sanaDaraja linalounganisha Crimea na Russia bara Leo.imesabashwa na treni lililo beba mafuta kulipuka.View attachment 2380349
Oh arm chair general attacking my phone [emoji1787][emoji1787][emoji1787] seriously you have no ideaIsipofanya kazi kanunue simu nzuri acha kutumia simu zisizo na uwezo![]()
Glows spotted in Russia. What happens? Moscow keeps silent VIDEO/PHOTO
Latest Serbia news in English, latest Kosovo news in English, Serbian economy news, Serbian business news, Serbian politics news, Balkan regional news in Englishwww.google.com
Himars haijatumika hapoTazama video hapo zawadi ya Putin birthday HIMARS kiboko yao bado wanasema hazijasaidia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tazama video nyingine hii daraja limepigwa kitu kizito treni ya mafuta ndio ilikuwa inapeleka mzigo Crimea kudadeki mjinga anachapika kama mtoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki kichapo anachotembezewa urusi ni balaa tupu.., ngoja tusubir akina Jesus molokozi watakuja na ngonjera gani kuhusu KERCH BRIDGEHatuna roho mbaya tumewateka na msosi tunawapa fresh na matunda juuu kwao walikuwa wanakula biscuit mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza Putin anatumia asilimia 2 tu ya uwezo wa jeshi lake. Akiamua kutumia hata 50% tu Ukraine itakua majivukichapo wapi? putin anawaonea huruma tu hao ukraine akianza kazi msilalamike