Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Na vilevile kuna uwezekano wa wewe kuwa na uwezo mdogo Sana wa akili.Naona uwezo wako wa kuelewa pengine una shida ?
Nimekuambia
1.Kila jukwaa Lina viwango vyake
Kuna majukwaa ya porojo na blah blah lakini sio hili this jf for Gt
2.Kila habari Ina chanzo chake cha uhakika
Leta habari na chanzo cha uhakika, sio mtu anakaa anaandika anasema ,Trumph said
3. Wasilisha kitu ambacho wewe mwenyewe unakielewa
Sio unacopy kitu hukielewi na huwezi kufafanua,