Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukimtoa kansela wao nadhani huyu mwanamke ataingia kwenye historia ya Ujerumani ya kuwa kiongozi mjinga aliyeuza uchumi wa nchi yao.

NATO kazi yake ilishaisha USSR ilipovunjika. Kazi iliyobaki ni kuulinda ukubwa wa US na kuidhibiti Ulaya. Kwa bahati mbaya Ujerumani imeangukia pabaya sana kwa viongozi walionao kwa sasa: Bomba la kusafirisha gesi limelipuliwa. Gesi ambayo aliyokuwa anaipata kidogo sana. Na aliyelipua ipo wazi ni US.

Haitoshi US anampora wawekezaji kwa sababu nishati ya gesi si yenye kutosheleza Ujerumani imepelekea gharama yake kuwa kubwa na licha ya kuwa kubwa lakini si yenye uwezo wa kuendesha mitambo mikubwa kiufanisi kwenye shughuli za uzalishaji.

Hili kwa US imekuwa ni fursa!Anawahamisha wawekezaji kutoka Ujerumani na anawapatia bei nafuu ya nishati ya gesi na matokeo yake makampuni makubwa yanaondoka Ujerumani na yameshaanza kuondoka. Na kibaya zaidi kura zilizoendeshwa kwenye vituo vya runinga kukusanya maoni ya raia ya kwamba ni nani aliyelipua bomba la usafirishaji wa gesi? Raia wa Ujerumani kwa takribani 90% wamejibu ni US.

Ajabu viongozi kama Christine hotuba zake zinawagharimu Ujerumani na mara nyengine zimekuwa zikitofautiana na za kansela wake. Nimegundua kwenye changamoto kubwa kama hizi zinazowakumba Ulaya kwa sasa nimejifunza ukiwa na viongozi wanawake jiandaeni kutoa matamko ya ujinga na maamuzi kuwa ya kijinga zaidi. Tofauti na wanaume wanazungumza na kurudi nyuma ijapokuwa nao maamuzi yao ni ya kijinga ila ya wanawake ni ya kijinga zaidi ukimtoa kansela wa Ujerumani mwana mama aliyepita; pekee ndiye mwenye akili.
Wonders shall never end ,yaani msukule kama wewe unayeishi shithole country kama Tanzania Una akili ya kudoubt decisions na leadership ya viongozi WA taifa la ujerumani , duh!

Kweli tatizo la afya ya akili ni kubwa nchi hii . Nimeamini kuwa 80percent ya watz Wana matatizo ya akili
 
Nakusubiri Mag3 nikuchape nao. Maana unatoa maboko sana.
Unasema Russia imeshughulikiwa nashindwa kukuelewa kabisa. Au unataka kujifurahisha nafsi yako tu.
Hapa tunaongea kwa evidences.
Hebu tuanze hapa:-

August 17, 20226:07 PM GMT+3Last Updated 2 months ago

EXCLUSIVE Russia sees 38% rise in energy export earnings this year - govt document​


Reuters
 
Nadhani hujanisoma. Why nasema kwanini russia asianze.
Wenzetu wana mifumo ya detection of any nuclear launch. From satellites to ground based comms.
Hamna mahali nimesema ati ikiwa launched na wenzako wana launch hapo hapo no

For the record tu ni kuwa US peke yake ana nuclear weapons nyingi kuliko nchi wananchama wa NATO, na hapa jumlisha european contries zilizopo NATO.

Sisem its impossible nasema itakuwa detected
Ndio maana nikakukumbusha mifumo mingi ya mashambulizi ya nuke ikiwemo ndege.

Hata katika silaha conventional huwezi kudetect rubani anaboneza kitufe muda gani ILA utaweza kuiona ndege na kuyadungua makombora.

KWA nuke kama rubani kafika eneo la tukio hata ukimdungua ni kama umejidungua mwenyewe . Hiyo ni mionzi itasambaa tu.


Hizo fikra kwamba USA ana capacity ya kujua kitufe kinabonezwa muda gani kutoka launchers zote huko ni kuabudu ambako ndio sifa ya mtanzania . Tunaabudu kirahisi sana kwa fix na porojo tu za kitaa
 
Inasikitisha mno, lakini kuna kingine chashangaza sana. Haya mataifa ya Europe viongozi wao wana nini? Mbona adui yao ni 'rafiki" yao na bahati mbaya sijui niseme nzuri huwa hajifichi anajiweka wazi na wao wanafanya kuhamisha lawama kwa asiehusika? Nini tatizo haswa?

Mfano kwe hii clip nyingine ni State Secretary Blinken, msikilize vizuri [emoji101][emoji101][emoji101]

View attachment 2375174

Kwamba "It’s a tremendous opportunity to once and for all remove the dependence on Russian energy" zaidi anaenda mbali anasema hiyo itakuwa ni fursa kwa US companies katika kufanya biashara.

Yet bado wanawekwa bussy kupigana proxy war with Russia, Kweli?

Vile US alivyo na roho mbaya hajali kama Germany itakuwa out of competition kwenye soko kutokana na cost kubwa za uzalishaji wao wanalenga faida gani wao kama wao wanaipata.

Namnukuu tena Kissinger, "It's dangerous to be US's enemy but to be her friend is fatal".

Hivyo ndio United Shit States anavyo monopolise everything wajinga wasio elewa mambo yanaendaje wanaona kama kila kitu kinazaliwa na kubarikiwa kwa hao demons [emoji84][emoji84][emoji84] na bila wao hakuna kinachofanyika.
Unaandika garbage tupu .
Idiot
 
Tayari viongozi wengi tu huko ulaya wame step down. Uchumi huko ulaya unaporomoka. Wananchi huko ulaya wanandamana kila kukicha.
Wasipoandamana kwa hivi sasa ni wapi? Afadhali huko west wanaandamana na jioni wanarudi makwao kwa familia zao. Je huko Urusi kitu gani kinawapata waandamanaji?
Hebu niambie unposema wamemshughurikia Putin kisayansi hebu tuoneshe analytical result namna gani Russia imeshughulikiwa.
Kwanza jifunze kuandika, hii ni mara pili nakukumbusha, kama hujachelewa rudi shule. Kweli huoni Putin anavyoteseka. Toka February mwaka huu ni siku inakaribia 200 na hivi sasa inabidi awapeleke hadi mataahira vitani tena kwa nguvu.
1. Ruble inazidi kuimarika.
Hivi Ruble ni mdudu gani? Inaimarika wapi, huko huko Urusi au wapi? Tanzania? Acha utani. Hapo ulipokaa nikikushia Dola na Ruble utachagua ipi? Kati ya Euro na Ruble utachagua ipi. Acha unafiki we kijana. Kwa sasa Dola moja ni Ruble 60!
2. Tayari majimbo manne yameenda Russia.
Sawa kadai kayateka lakini nani nje ya Russia kayatambua? Hebu subiri, jikoni maji yanachemka. Tayari Russia imewekwa katika kundi la terrorist country na inazidi kulaaniwa na dunia nzima.
Halafu unatakiwa uelewe lengo la Russia ni:-
1. Kuondoa nguvu ya Kijeshi ya Ukrain
Na kweli amefanikiwa kuondoa nguvu ya kijeshi ya Ukraine...believe this and you will believe anything!
2. Kukomboa majimbo ya maeneo ya wanaozungumuza ki russia.
Na sisi tuvamie Kenya kukomboa majimbo yanayozungumza Kimasai? Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu.
Sasa nakutaka uje na maelezo ya maana.
Ngoja nicheke, unanitaka na wewe umekuwa Putin wa TZ? Je maelezo ya maana wewe hapo unao uwezo wa kuyaelewa?
 
Vita ya nuke haina mbabe wakuu hiyo mizigo ni tatizo...tunaposhabikia kwamba nuke za urusi zimeelekezwa kwenye miji mbalimbali ya NATO members swali linakuja je hao walengwa wao hawana hizo nuke?

Na kama wanazo je hawawezi kufight back,?

Je pro Russia mnafikiri Putin Yuko tayar kuona Moscow inafuka moshi?

Je pro NATO mnafikiri europe na USA wako tayari kuona their luxurious cities turn into ashes?

Siamini kama tunaweza kufika huku wakuu
 
Huo ndio uhalisia wa Russia, nilishangaa sana walivyokosa vyakula wakaanza kuiba kuku! Utashangaa zaidi ukisikia kwamba pesa za vyakula vya wanajeshi zimepitiwa na washikaji fulani wa putin.
Ukija kwenye karatasi sasa wee Russia inatisha, kuna vichwa panzi nimeona etii oooh sub ya mrusi haijulikani ilipo. Wakati katika mambo ya sub wajuzi wenyewe wanakwambia sub zao hazipigi kelele kulinganisha na za kirusi.
Waliiba mpaka nguo za ndani za wanawake , sijui walikuwa wanapeleka Urusi kuuza kama mitumba ? yaani Hamna jeshi pale Urusi kuna magenge ya panya road , the most undesciplined army that I have seen ,it's not even an army it's a cartel of thugs and drunks
 
Hapa duniani kuna blocks mbili tu zenye nguvu East na West na kila mmoja ana nguvu zake kwa namna yake ila wanategemeana sana na hizo blocks zina viongozi wake ambao ni U.S.A(U.K) hawa ni kitu kimoja na block nyingine ni (RUSSIA km kiongozi ndani ya russia kuna mataifa 84 makubwa ambayo unachukua marekani na europe nzima ndio unapata usawa na urusi ila watu hawajawahi kulijua hili huwa wengi wanahisi ni poli imejaa urussi).

hawapatani ila wanategemeana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao

Kwa nini marekani kila siku anataka west imegwe ni kwa sababu west ni wengi ikiwemo urussi peke yake inajitosheleza na wana dunia yao nzuri na teknolojia iliyojitosheleza kwa mambo mengi ila kuna upande husaidiwa pia West wana eneo kubwa na resource nyingi wanazo na wanajua kuzitumia.


Watu hawajui kama russia imezaa nchi nyingi sana kwa namna moja au nyingine ikiwepo ujerumani,belgium,kazastan,serbia,lithuania ziliunda ussr n.k

Hii vita mpango ulianza toka zamani sana ila mie nitaanzia mwaka 2014 ambapo vuguvugu lilitamalaki kuhusu ukraine zaidi kiasi urusi ilihofia usalama wake na kuona licha ya kuziachia nchi zote kwa uhuru ila east walizidi kuja huku wakivunja makubaliano kiasi wamefika karibu na makao makuu.


Huu mpango wa kuipunguza russia upo chini ya U.K na mtekelazaji ni U.S.A ndio sababu kuu ya hii vita ili watawale kirahisi ikiwa wanatembea na ajenda ya kupunguza idadi ya watu kwa namna yoyote ile.


Urusi inajua kuna ajenda gani ila kuna watu hawajui ila wanaenda na upepo wa media za east.

ili ujue plan ilikuwepo toka muda ndio utaelewa kwa nini kulitokea brexit yaani great britain kujiondoa EU yalikua mahesabu makali ya muda mrefu ila kulinda thamani ya Pound na uchumi wake lakini watu walipewa sababu zingine kabisa kama kulinda wahamiaji.

Pound haijawahi kushuka thamani ila Euro ina drop kila muda kwahiyo hii ni kua kuna mambo watu hawajui ila wakiona jambo kwa juu wanahisi limetokea ghafla.

Nihitimishe kwa kusema
Russia atabeba maeneo mengi kisha fanya hii kazi miaka Mingi tena kwa kupigana alijipanga kama walivyojipanga wenzake na kuvamia ukraine ulikua mpango wa muda mrefu kiasi walipata habari mapema ndio mpango wa kujiondoa kwa wingereza ulishupaliwa ila hizi athari za sasa zisiumize uchumi wa mabeberu wawili U.S.A NA U.K.
 
Nuclear ikishaachiwa haina solution , Uwe umelala au umeamka. Ishu hapa ni Dunia KUWEKA mambo sawa. Vijana wengi humu wanaichukulia US kama mungu wao anayeweza yote . Nadhani vijana watoke wakajifunze nuclear.


Hii ni silaha ambayo atakayeipiga hataeleweka na Dunia na atakayepigwa nayo na jirani zake hawatarudi kwenye hali zao. Ndio maana hakuna mshindi katika hii vita
Jibu hoja Acha kuandika mashudu hapa , umeulizwa huyo mjinga wenu akilipua hiyo miji hao Wengine wenye nukes Europe watakuwa wamemwangalia Tu ?
 
Wasipoandamana kwa hivi sasa ni wapi? Afadhali huko west wanaandamana na jioni wanarudi makwao kwa familia zao. Je huko Urusi kitu gani kinawapata waandamanaji?

Kwanza jifunze kuandika, hii ni mara pili nakukumbusha, kama hujachelewa rudi shule. Kweli huoni Putin anavyoteseka. Toka February mwaka huu ni siku inakaribia 200 na hivi sasa inabidi awapeleke hadi mataahira vitani tena kwa nguvu.

Hivi Ruble ni mdudu gani? Inaimarika wapi, huko huko Urusi au wapi? Tanzania? Acha utani. Hapo ulipokaa nikikushia Dola na Ruble utachagua ipi? Kati ya Euro na Ruble utachagua ipi. Acha unafiki we kijana. Kwa sasa Dola moja ni Ruble 60!

Sawa kadai kayateka lakini nani nje ya Russia kayatambua? Hebu subiri, jikoni maji yanachemka. Tayari Russia imewekwa katika kundi la terrorist country na inazidi kulaaniwa na dunia nzima.

Na kweli amefanikiwa kuondoa nguvu ya kijeshi ya Ukraine...believe this and you will believe anything!

Na sisi tuvamie Kenya kukomboa majimbo yanayozungumza Kimasai? Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu.

Ngoja nicheke, unanitaka na wewe umekuwa Putin wa TZ? Je maelezo ya maana wewe hapo unao uwezo wa kuyaelewa?
Mzee unaandika mashudu tu hapa. 😀 😀 😀
Umeishiwa uwezo wa kujadili. Unaandika andika tu ili mradi uonekane na wewe umo.
Nimekutaka ulete Analytical evidences unanijibu kama mwandishi wa hadithi za shigongo.

1. Nakutaka ulete impact ya kiuchumi kwa Russia uoneshe namna ipi imeshughulikiwa kisayansi.
2. Nataka ulete Impact hiyo unayoidai kuwa ni ya kisayansi namna Russia ilivyoshughulikiwa.
3. Niletee evidences za kitamaduni kuhusu kushughulikiwa kwa Russia.

Hayo matatu kwanza tunaanza nayo.
Lakini ninakupatia mambo yaliyofanyika mpaka sasa kwa Russia pamoja na kwamba nchi za NATO 30, G7, EU kuungana lakini Russia is still there na itaendelea kuimarika zaidi.

1. 13 May 2022 — Russia is the second-largest exporter of uranium to the EU, providing 20.2 percent of the Union's needs, after Niger (20.3 percent).

Russia sees 38% rise in energy export earnings this year: Report​

Russia is expected to pocket $337.5bn this year on energy exports alone, according to an economy ministry document seen by Reuters news agency.

Aljazeera
 
Wasipoandamana kwa hivi sasa ni wapi? Afadhali huko west wanaandamana na jioni wanarudi makwao kwa familia zao. Je huko Urusi kitu gani kinawapata waandamanaji?

Kwanza jifunze kuandika, hii ni mara pili nakukumbusha, kama hujachelewa rudi shule. Kweli huoni Putin anavyoteseka. Toka February mwaka huu ni siku inakaribia 200 na hivi sasa inabidi awapeleke hadi mataahira vitani tena kwa nguvu.

Hivi Ruble ni mdudu gani? Inaimarika wapi, huko huko Urusi au wapi? Tanzania? Acha utani. Hapo ulipokaa nikikushia Dola na Ruble utachagua ipi? Kati ya Euro na Ruble utachagua ipi. Acha unafiki we kijana. Kwa sasa Dola moja ni Ruble 60!

Sawa kadai kayateka lakini nani nje ya Russia kayatambua? Hebu subiri, jikoni maji yanachemka. Tayari Russia imewekwa katika kundi la terrorist country na inazidi kulaaniwa na dunia nzima.

Na kweli amefanikiwa kuondoa nguvu ya kijeshi ya Ukraine...believe this and you will believe anything!

Na sisi tuvamie Kenya kukomboa majimbo yanayozungumza Kimasai? Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu.

Ngoja nicheke, unanitaka na wewe umekuwa Putin wa TZ? Je maelezo ya maana wewe hapo unao uwezo wa kuyaelewa?
⚡️⚡️⚡️Some UK power plants may close due to a lack of gas. In doing so, huge pay for non-compliance.
Liz Truss may offer to send Putin fines payments, but this is unlikely to help⚡️⚡️⚡️
 
Kwamba order yoyote inatoka Russia Marekani anajua nadhani huko ni kuabudu SASA. Katika mifumo ya mawasiliano ya kimedani huwezi jua KILA kipande cha habari na execution za order za nuke ni fraction of a second.

Kama una average level ya uelewa utakiri kwamba tayari Putin muda mrefu alishaamuru vikosi vya nuke KUKAA katika mkao wa mapigano. Kwaiyo Amri hii haikuwa siri .

Amri nyingine hatuwezi kusikia zikitolewa hadharani yumkini Amri ya kusogea kwenye target imeshatolewa ndio maana baadhi ya submarine zimeenda kwenye maeneo ya ki strategia . Wanachoweza kujitahidi hao USA na wenziwe ni kuzifuatilia hizo nyambizi kujua zipo point gani lakini pana ugumu pia

Hata ukizigundua hizi nyambizi uamuzi wa kuzilipua ni ngumu sana kutokana na madhara yake KWA waliomo na wasiomo. KWA mtu matured atakubali kwamba hakuna taifa linapenda ama lipo tayari kubeba LAWAMA ya kuwa chanzo cha madhara ya milipuko ya nuke. Tukiwa wachanga tuna reason kiuchanga kwamba USA atalipua , UK atafanya hivi.

Kama Russia ana nuke war heads 2500 ni hatari kama KWA wataachia 100 tu kwenye targets . Tayari tunavyozungumza miji kadhaa ya NATO ipo kwenye target midomo ya nuke imeelekezwa huko BADO kuboneza tu

Naomba ndugu tujadili nuke katika hali ya ukomavu kwakuwa ni msiba wa Dunia nzima sio mechi ya SIMBA na Yanga
Mkuu, naomba nikumbushe kitu kuhusu mahusiano ya hawa jamaa watawala wa Dunia.

Wanachama wote watano wa kudumu wa UN ambao ni Russia, US, UK, France na China pamoja na kelele zote mnazozisikia, bado wao wazungumza au kufanya mawasiliano.

Katika diplomasia za kimataifa hili suala ni muhimu sana na lasaidia kuwepo na mawasiliano ya nyuma ya pazia.

Moja ya mawasiliano hayo ni yale ambayo hufanywa wakati wa mgogoro kama wa sasa kwamba kusiwepo na kukosea mahesbau (miscalculation) na hii huitwa Red Phone line au Hotline.

Hivyo hata katika hili ni lazima nchi za Nordic yaani Sweden na Denmark ni lazima zilipewa tahadhari ya operation maalum katika eneo ambalo bomba la gesi limetobolewa kwa mabomu ya UAV (Unmanned Aerial Vehicle) hivyo kuzuia kuwepo na athari kubwa.

Hivyohivyo hadi sasa mawasiliano baina ya Marekani na Russia kuhusu hili la nyuklia yapo mezani (kupitia wanadiplomasia) na kila hatua yafuatwa ingawa Russia tayari walikwishatoa amri ya vifaa kuwa kwenye hali ya tahadhari yaani "Alert State".

Hivyohivyo kwenye suala la yule bibi Pelosi kwenda Taiwan, China walifunga baadhi ya njia maalum za mawasiliano ya kidiplomasia na khasa ya maraisi na Biden akawa akesha kumtafuta Xi wazungumze lakini akashindwa.

Nchi moja kususia nchi zingine inawezekana kwa kuamua kufunga njia maalum za mawasiliano.

Hizi simu nyekundu ni njia ambazo hutumiwa na maofisa waandamizi wa juu kabisa katika nchi ambao raisi wa nchi ni lazima awasikilize.

Moja ya ujumbe kwenye njia hii ni ule ulotumika wakati wa mgogoro wa Cuba kati ya US na Russia, ujumbe wa US ulosema "THE QUICK BROWN FOX JUMPED OVER LAZYDOG'S BACK 12345 ......"

Russia (wakti ule USSR) walijibu lakini ilibidi wabadilishe ujumbe maana hawakueleweka uzuri.

Hivyo, vitisho vya sasa vya Putin kutumia silaha za maangamizi na Marekani kujibu kwetu sisi ni kitu kingine na kati yao ni vitu vingine tofauti.
 
1664788324155.png
 
Ndio maana nikakukumbusha mifumo mingi ya mashambulizi ya nuke ikiwemo ndege.

Hata katika silaha conventional huwezi kudetect rubani anaboneza kitufe muda gani ILA utaweza kuiona ndege na kuyadungua makombora.

KWA nuke kama rubani kafika eneo la tukio hata ukimdungua ni kama umejidungua mwenyewe . Hiyo ni mionzi itasambaa tu.


Hizo fikra kwamba USA ana capacity ya kujua kitufe kinabonezwa muda gani kutoka launchers zote huko ni kuabudu ambako ndio sifa ya mtanzania . Tunaabudu kirahisi sana kwa fix na porojo tu za kitaa
Narudia pale pale. Detection haifanyiki kwa ndege tu.
Hiyo concept mpaka rubani awe eneo husika ndio adungue hiyo ni tactics imepitwa na muda.
Watu wako mbele zaidi.

Kuna detection ya launched au incoming missile na missile ambazo zimetengezwa maalumu kwa ajili ya kudungua missile zingine.
Kwenye vita si kila kitu kina fanikiwa 100%.

Si muabudu mtu yoyote wala upande wowote. Tuongelea technical capabilities. No politcs hapa
Sisemi kuwa america ana best gadgets out there, namaanisha hawatokuwa wamezubaa au kukaa kijinga mpaka wapigwe.
So is russia pia
 
Vita ya nuke haina mbabe wakuu hiyo mizigo ni tatizo...tunaposhabikia kwamba nuke za urusi zimeelekezwa kwenye miji mbalimbali ya NATO members swali linakuja je hao walengwa wao hawana hizo nuke?

Na kama wanazo je hawawezi kufight back,?

Je pro Russia mnafikiri Putin Yuko tayar kuona Moscow inafuka moshi?

Je pro NATO mnafikiri europe na USA wako tayari kuona their luxurious cities turn into ashes?

Siamini kama tunaweza kufika huku wakuu
Swali zuri sana. Both sides hazitaki kurudishwa zama za mawe. Lakin nani atamfunga paka kengele?
 
Sio RAHISI hivyo wala haiwezekani . Kwamba the moment unaboneza kitufe mwenzio anaboneza . Achene fikra za chini kiasi hiki .too low. Mifumo ya urushaji hayo makombora ipo mingi na complex . Labda atokee mtu athibitishe kwamba kuna technology ya ku jam mifumo yote ya urushaji makombora wa adui vinginevyo zitakuwa stori za zamani za Springs alipomkosa Mohamed Ally basi ngumi yake ilipindisha Chuma. America hegemony ni tatizo sana kwa nchi zetu hasa vijana kuanzia 1990 Huyu USA asimame mwenyewe sio kumobilise mataifa mia kisha anashanga hilo taifa kumobilise raia wake
Zipo silaha za kuharibu tena sio kujam kudestroy jumla vifaa vya mawasiliano na electronics equipment nchi nzima US silaha hizo anazo.

Unajua lolote labda kuhusu EMP weapons labda ? Au mmekalili Tu nuclear mnafikiri nuclear zinarushwa kama nyungo za wachawi ?
Sasa Kwa taarifa yako EMP weapons ni deadly zaidi ya hiyo nuclear mnayoongelea Maana hii ikipigwa sehemu , ni kuanzia mifumo ya nishati ya umeme imeharibika jumla , mifumo ya maji taka , vifaa vya mawasiliano ,vifaa vya kijeshi vyote vinahatibiwa , kiufupi kila electronic device or equipment ambayo ina electronic components ndani katika range husika inakuwa useless ,hii ni total destruction na disaster.

Kiufupi hata vyombo vya usafiri havitumiki tena ndio Maana unaambiwa hii ni deadly zaidi ya nuclear.

Yaani nchi inarudishwa Zama za mawe in seconds. Sasa kama mnadhani huyo mjinga wenu akitaka kulaunch hizo attacks hao Wengine watakuwa wamemwangalia Tu bila deterrence strategy.
 
Back
Top Bottom