Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Wewe mzee huniwezi kwenye mijadara.Wasipoandamana kwa hivi sasa ni wapi? Afadhali huko west wanaandamana na jioni wanarudi makwao kwa familia zao. Je huko Urusi kitu gani kinawapata waandamanaji?
Kwanza jifunze kuandika, hii ni mara pili nakukumbusha, kama hujachelewa rudi shule. Kweli huoni Putin anavyoteseka. Toka February mwaka huu ni siku inakaribia 200 na hivi sasa inabidi awapeleke hadi mataahira vitani tena kwa nguvu.
Hivi Ruble ni mdudu gani? Inaimarika wapi, huko huko Urusi au wapi? Tanzania? Acha utani. Hapo ulipokaa nikikushia Dola na Ruble utachagua ipi? Kati ya Euro na Ruble utachagua ipi. Acha unafiki we kijana. Kwa sasa Dola moja ni Ruble 60!
Sawa kadai kayateka lakini nani nje ya Russia kayatambua? Hebu subiri, jikoni maji yanachemka. Tayari Russia imewekwa katika kundi la terrorist country na inazidi kulaaniwa na dunia nzima.
Na kweli amefanikiwa kuondoa nguvu ya kijeshi ya Ukraine...believe this and you will believe anything!
Na sisi tuvamie Kenya kukomboa majimbo yanayozungumza Kimasai? Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu.
Ngoja nicheke, unanitaka na wewe umekuwa Putin wa TZ? Je maelezo ya maana wewe hapo unao uwezo wa kuyaelewa?
Twende kwa Evidences acha kuchamba