Heater
Senior Member
- May 28, 2019
- 168
- 353
To me i think.... Russia hana siraha zenye advanced tech zaidi ya Hizi alizozitumia... xo kashamaliza, na kashajiridhisha kua battle field kwa siraha zake hawezi win.
Hizo refferenda alizofanya sasa n kujitafutia uhalali wa kutumia nuke(nuke War is unkwepekable)... tuombee tu pasiwe na mabadilishano makubwa ya nuke toka pande izi mbili