Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
ZIMBABWE IRAN na VENEZUELAUkimsoma na kumsikiliza vizuri Stephen Kotkin utaekewa capability anayozungumzia.
Na ametahadharisha West wawe nayo makini sana. West hasa US wanaweza ku project power mbali kabisa na nchi zao na wakabadilisha muelekeo wa mataifa mengine kwa njia chanya au hasi. Mfano angalia West walivyoharibu kabisa chumi za Zimbabwe, Iran na Venezuela.
Mbona wameshindwa kuiharibu RUSSIA navikwazo vyote 10000s
Kaonea hao madhaifu kama anaweza kuharibu chumi kihivyo azigeukie RUSSIA na UCHINA ziwe kama ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app