Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo maswali unayouliza ni vigumu kupata majibu yake kwa sababu ya kutokuwa na taarifa za kujitosheleza.

Ishu hapa niliyokuwa nakujibu awali, ni swala la wewe kumuhusisha huyo Army General na maswali ya ununuzi wa Uniform.

Kwa kawaidi jeshini, kunapotokea Jambo ambalo haliko sawa, kwa mfano "Kama huo wizi wa uniform", Basi Kuna tume ya kuchunguza itaundwa (sometimes hata mtu mmoja tu anaweza kufanya huo uchunguzi na kutoa report).

Ila nilikuwa nataka kukuelewesha kwamba maswala ya kupiganisha Vita Military planning/(logistics planning ndio lugha sahihi) ni tofauti kabisa na procurement.
Sawasawa mkuu. Uko sahihi I was wrong
 
Hizo ndio faida za kuwapiga Ukraine kwa kuwadekeza, badala ya kuwapiga carpet bombings mwanzo mwisho wao wanawapiga kindugu ndugu.Akiendelea kuwachekea Yajayo yatamfurahisha Putin
Hahahaha unadhani Russia hataki kupiga hizo carpet bombing?! Ni kwamba hawezi,hana air superiority. Carpet bombing ni kwamba unaingiza Bomber kama Tu-160 ikiwa imejaa mabomu unayadondosha kwenye targets za adui. Sasa Russia hana air supremacy kule Ukraine,bomber zina Radar Cross Section kubwa na zinaruka altitude ya juu Sana ni rahisi kuonekana na High Frequency Radar (tena zikiwa mbali kabla hazijaingia anga la Ukraine) kama za S-300,NASAMS ambazo jeshi la Ukraine linaoperate, zitatunguliwa.
Zikisema zipite chini pia ndo rahisi zaidi kuonekana,zitakutana na Manpads, Gepards za Ujerumani,nk.
 
Hapana nataka waendelee kuwabembeleza Ukraine hivi hivi.
Ni angalizo tu,mkishushiwa kitu kizito,msije kulialia humu!
Mlikuwa mnapost video za askari wa Russia mliowaua,Russia yeye akawa anapiga kimya kimya!
Balaa lake mmekuja kuliona kwenye Miji aliyoiacha,mmekuta makaburi mnazikwa mpaka 400 kwenye shimo Moja!
Mkaanza kulialia ooh sijui war crimes,!

Style ya Russia inaitwa sensa utajifanyia mwenyewe!
 
Hahahaha

[emoji298]️Kremlin spokesman: No forecasts on when Crimean Bridge will be restored.

Russian dictator Vladimir Putin's spokesperson Dmitry Peskov said that “there are still no forecasts” for restoring the Crimean Bridge, Russian state news agency RIA Novosti reported.

The fire has already been eliminated, Russian state news agency TASS reported. Russian media also reported that all trains from Russia to Crimea had been canceled due to the fire, and the sale of train tickets to the peninsula had been suspended.
 
Tusubiri majibu au wasubiri majibu? Mm na ww hatupo vitani usijisahau, tupo hapa Tanganyika......
Urusi wakijibu still bado haiadili hilo shambulizi walilofanya Ukraine.
Tunasubiri majibu hata kama hatuko vitani!Maana hayo majibu yakija,tutakuwa hapa kujadili!So usitafute Chaka la kuficha Kichwa chako!
 
Duuuh supapawa hana hata uniform za watu wake laki3 anaotaka kwenda kuwapeleka kibra Ukraine hana [emoji23]

State Duma Defense Committee's head Andrey Kartapolov told a disappointed propagandist Vladimir Solovyov that aside from not having enough uniforms and equipment for its forces, Russia may not have enough munitions to destroy all of Ukraine's infrastructure.

 
Warusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310

Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
Tetesi za kishamba
 
Ifike mahali tuache kushikiwa akili na kusikiliza stori za akina rashid wavuta ganja yani kuna mtu anasema urusi anaweza pigana na dunia nzima hafu akashinda vita na kuna mtu anaamini, kwa dunia na sasa haipo nchi yenye nguvu ya aina hiyo, nyie pro russia kuna vitu mnatia aibu
Endelea na betting huku hupawezi
Screenshot_20221008-142605.png
 
Kumbe hata huelewi formations za jeshi vitani.

Logistics ops ni tofauti kabisa na procurement.

Logistics is more of military planning.
Procurement is more of "acquisitions"

Na hayo ni Mambo mawili tofauti kabisa.

Sasa, Amry General anaye deal na military planning (logistics) anausikaje Tena na procurement of assets...
Usipige kichwani utaua [emoji13][emoji13]
 
MUTU YA KAZI....
IMG_20221008_132905_596.jpg

General of the Russian Aerospace Forces, Sergey Surovikin, was put in charge of Russia’s “Special Military Operation” in Ukraine

Surovikin’s nickname within the Russian Armed Forces is Cannibal. He’s known as a tough MF@R, a hardliner

He’s currently in charge of southern group of the Russian Army & led several offensives which saw Ukrainian troops encircled and destroyed in LPR

He’s also largely accredited as the sole reason why the Syrian government was able to regain its territory from ISIS

He does not believe in retreats & does not favour surgical approach to strikes. In Syria, we noticed that his approach was rather “go big or go home” — huge aerial bombardments were his thing

He’s also rumoured to be next in-line to eventually retire Gerasimov as the Chief of the General Staff of the Russian Armed Forces

(Now confirmed)


t.me/battleinsights
 
Mambo yakigeuka na Russia akaitambua serikali ya Ukraine kama ya kigaidi,msije hapa kulalama!
Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.

Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.

Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.
 
Back
Top Bottom