Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duuuh supapawa hata uniform za watu wake laki3 anaotaka kwenda kuwapeleka kibra Ukraine hana [emoji23]

State Duma Defense Committee's head Andrey Kartapolov told a disappointed propagandist Vladimir Solovyov that aside from not having enough uniforms and equipment for its forces, Russia may not have enough munitions to destroy all of Ukraine's infrastructure.


Hivi mkuu unaelewa English kweli wewe.

Huyo Defense Committee Head amekuwa "Disappointed" na propaganda na fake news, Sasa wewe unailetaje hapa hiyo comment ya mtu kuwa disappointed Kama ndio habari ya kwamba Russian Army hawana Uniforms.

Unapofanya hivi unakuwa unajidhalilisha.
 
Una gari wewe? Vituko hivi...

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Akili za kimasikini hizi, kwa hiyo unaona kumiliki gari ni bonge issue..., mpaka huamini kama kweli jamaa ana gari?

Umejidhalilisha..,una akili kama mwendazake, kujivunia umasikini kucha kutwa kuita watanzania eti ni wanyonge.., huku mazezeta yakipiga makofi na kushangilia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.

Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.

Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.
Kwahiyo ww ndio mwerevu kuliko hao wakuu wa Ukraine? Ngozi nyeusi bwana shida tupu.
 
Ni angalizo tu,mkishushiwa kitu kizito,msije kulialia humu!
Mlikuwa mnapost video za askari wa Russia mliowaua,Russia yeye akawa anapiga kimya kimya!
Balaa lake mmekuja kuliona kwenye Miji aliyoiacha,mmekuta makaburi mnazikwa mpaka 400 kwenye shimo Moja!
Mkaanza kulialia ooh sijui war crimes,!

Style ya Russia inaitwa sensa utajifanyia mwenyewe!
Hebu Kunyer kwanza,ukishatoa gesi vzr rudi tena hapa.
 
Hizo ndio faida za kuwapiga Ukraine kwa kuwadekeza, badala ya kuwapiga carpet bombings mwanzo mwisho wao wanawapiga kindugu ndugu.Akiendelea kuwachekea Yajayo yatamfurahisha Putin
Carpet bombing sio solution ,solution ni Russia kuondoka Ukraine na kuachia territories za Ukraine inazozishikilia ,Hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi shinda war of invasion , USA kapiga Sana ruthless carpet bombings Kule Vietnam lakini at the end alishindwa kudominate territory na akaondoka .

Na hizo carpet bombings hawezi Fanya Maana Russia ni so poor kwenye aerial dominance hapo Ukraine , lundo la ndege zake zinabondwa kila siku , na carpet bombing unahitaji ndege kubwa ambazo ni rahisi Sana kutunguliwa hata akitumia fighter jets nazo zinabondwa vile vile
 
Kwa hiyo Ile ya Lyman ambapo wanajeshi wa Russia walivyokua wamezidiwa wakaomba waondoke wakakatàliwa mateka wakawa wengi ni mbinu ya kivita ndugu mwanajeshi

Waswahili kwa kejeri hatujambo sana - ebu tufafanulie uliwahi kusikia wapi adui akimwambia mshindani mwenzake kwamba eeh bwana eeh ebu subiri kidogo niondoe wanajeshi wangu niwapeleke sehemu salama kabla ujaanza kushambulia - hii ndio impression tunayo letewa hapa!!
 
Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.

Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.

Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.
Hiyo mbinu hatari ulipue treni yako imebeba mafuta ya frontline [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MUTU YA KAZI....
View attachment 2380700
General of the Russian Aerospace Forces, Sergey Surovikin, was put in charge of Russia’s “Special Military Operation” in Ukraine

Surovikin’s nickname within the Russian Armed Forces is Cannibal. He’s known as a tough MF@R, a hardliner

He’s currently in charge of southern group of the Russian Army & led several offensives which saw Ukrainian troops encircled and destroyed in LPR

He’s also largely accredited as the sole reason why the Syrian government was able to regain its territory from ISIS

He does not believe in retreats & does not favour surgical approach to strikes. In Syria, we noticed that his approach was rather “go big or go home” — huge aerial bombardments were his thing

He’s also rumoured to be next in-line to eventually retire Gerasimov as the Chief of the General Staff of the Russian Armed Forces

(Now confirmed)


t.me/battleinsights

Kweli kabisa Urusi iachane na masuala ya kupigana vita kindugu ndugu - Putins armed forces should start going BIG or pack up and GO HOME, period.
 
Naendelea kusimama na Mwamba Vladimir Putin, hata kama kuna mawimbi kama tunayoyashuhudia kwa sasa, naamini ni sehemu ya gharama ya kuikomboa dunia kutoka kwenye minyororo ya Marekani.

Hakuna uhuru usiyokuwa na gharama, tusiogope kupoteza maisha pale tunapoamini tunachokipigania.

Urusi ikisema inaondoa majeshi kwenye mikoa ile iliyoiteka na kusalimu amri inaweza ikawa ndo kosa kubwa kuliko yoyote katika historia yao. Marekani na washirika wake wanaweza kuichakaza sana zaidi ya Zimbabwe. Ila mpaka sasa tunaona kiwango cha heshima inayoandamana na hofu kubwa kwa Urusi. Hii ni kwasababu mtu dhaifu haogopwi wala haeshimiwi.

Nature ya binadamu hata wanyama, ili uheshimiwe lazima uwe na uwezo wa kujitetea la sivyo utafunuliwa marinda.

Ndo maana yule boya, rais wa mwisho wa USSR alivyokufa juzi mataifa ya Magharibi na Marekani yalimuomboleza huku yakimchukia Putin.

Yule ng’ombe alikuwa kama Mandela kwa Afrika Kusini, aliifanya Urisi kuwa dhaifu mbele ya Marekani na washirika wake. Urusi ikapigwa kila kona mpaka alivyopatikaka jemedari Putin. Amerejesha heshima ya Urusi kimataifa. Kwa vyovyote, Marekani na washirika wake hawawezi kumfurahia Putin hata siku moja.

Samora Machel aliwahi kusema, “Siku mkiona ninapendwa na kusifiwa na wazungu, mjuwe nimewauza (wananchi wa Msumbiji)”. Ndiyo maana pamoja na akili, diplomasia na heshima aliyokuwa nayo Nyerere au Nkrumah, hawakuweza kujengewa sanamu barani Ulaya ila Mandela ambaye aliongoza Omkotowasizwe ndani ya ANC iliyoitwa kikundi cha kigaidi, baada ya kuiuza Afrika Kusini alikuja kupendwa na Wazungu na kujengewa mnara London huku akipata heshima ya kinafiki Ulaya. Hii ni kwasababu Mandela aliwaruhusu makaburu kuhodhi uchumi wa nchi yake huku yeye akiwa na uhuru wa bendera tu, kina Nyerere hawakuwaruhusu wazungu kuhodhi uchumi wetu matokeo yake hawakupewa heshima kama Mandela.

Putin must be supported by conscious and people who are against dominance of other races.

Africans who truly understand the history and take their time to asses political, economical, cultural and social affairs in their entirety, will understand the need and responsibility to stand with Russia as it stages the much needed war against all the mentioned evils of the West and America.
 
Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.

Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.

Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.
Imenikumbusha Russia walivyoacha baadhi ya maeneo ya majimbo yaliyojiunga. Wanajeshi wa Ukraine wameingia kwa wingi na kupiga picha wamekomboa maeneo.

Matokeo yake wameingia ndani zaidi Russia satellite wakai jam na jeshi la Ukraine hawajui cha kufanya na wameiingia ndani zaidi. Kilichobaki wanauliwa na kukimbia kwa sababu bila satellite ni kama unapigana gizani.

Nina wasiwasi Russia itakuwa inatafuta justification nchini mwake ili taratibu za kisheria nchini mwao zipate baraka za raia pale mamlaka zitakapoibatiza serikali ya Ukraine kama serikali ya kigaidi. Na itakuwa imeondoa maana kwa baadhi ya raia waliyoandamana kupinga partial mobilization.

Ni kama baadhi ya raia walioandamana mwanzo kupinga SMO kwa kuona Ukraine ni ndugu! Matokeo yake baada ya sreikali ya Russia kuonesha documents za maabara za Ukraine kuingia mkataba na USA kujenga maabara za silaha dhidi ya Russia mipakani, walioanamana walibaki kimya na hawakuwa na namna zaidi ya kukubaliana na serikali.

Kwa namna ya hali yoyote mazingira yanaonesha Ukraine itakuja kufanywa kitu kibaya mnoo kitakachoacha mdomo wazi ulimwenguni hasa bara Ulaya na Amerika.

Hili suala litatokea lini? Hatujui! Anayejua ni Russia pekee!
 
Huko kherson ukraine imeanza kukimbia maeneo walio dai kuyakomboa
img_2_1664740004585.jpg
img_4_1664740018587.jpg
img_6_1664740033270.jpg
img_7_1664740038596.jpg
 
Back
Top Bottom