Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Personal Analysis as Usual..!
Nianze kwa kusema kua katika vitu vigumu kuvifatilia na kuvielewa kwa picha ya "nje" Ni military technique za kivita. Wengi tumetizama sana Movies so we expect some actions to be in our wishful thinking way.
Lakini yet haiko hivyo, this isn't a movie, au "Call on Duty" Game. Everything and every action are recorded later miaka ijayo wajukuu ama vizazi na vizazi vitajifunza kupitia history ya yanayo endelea leo.
At first even I, kama wengine nimeshtushwa na kusononeka pia na ile taarifa ya Crimean bridge lakini later nikaona ni better ku'settle emotions pembeni nirudi kutazama kinachoendelea kwa umakini.
So baada ya pita pita zangu kuangalia kuna machache haya niliyong'amua nimeona ni'share nanyi... Mnielewe vizuri hapa, all of these nitakayoeleza are based on personal analysis ya situation, kila mtu ana fikra zake I guess.
Nianzie nyuma kidogo,
October 5, ones of Ukrainian Channel (Ila hawa ni Patriots sio Propagandists) ilipost hii kitu!
Russian President Putin signed federal constitutional laws on the admission of the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions into Russia.
The stakes have finally been raised.
The first chapter of the Ukrainian crisis is over.
As a result, the Russian Federation receives 4 regions, in return it receives a "sanctions bouquet", Ukraine received a destroyed country and economy, in return Zelensky achieved his popularity in the world and a photo in Time magazine.
Chapter II has begun. Everyone is interested in what's next.
Remember hii ilikuwa ni siku moja baada ya State Duma kupitisha yale Majimbo manne ya Ukraine kuingia Russia baada ya referendums!
Kwa kile nachofaham katika Operations nyingi ambazo Mataifa hufanya kwa mataifa mengine huwa wanahitaji "Justification" ama tuseme "Public opinions" kama walivyo fanya wahuni wa Sept 11 kujiingiza Afghanistan na jina la 'Counter terrorism Operation".
Ukiangalia muktadha wa daraja na kilichotokea Sept 11 kuna vitu kama vinafanana hivi.
👣 Sehem ilipotokea tukio hakuna damage kubwa, lile daraja kama mmeliona lina up and down. Eneo kulipotokea mlipuko ni kijieneo kidogo ambacho kitachukua mda mfupi sana kurekebishwa.
Lakini ajabu mkiangalia kieneo kilicholipuka ni as if kumetokea mafuriko daraja likayumba, see a picture below!
If it were really aimed katika kuharibu daraja, mlipuko ungekuwa poa kama ungelipuka eneo la juu ambapo ungesambaratisha eneo kubwa la daraja kiasi kwamba inge-take years kuli-rejesha.
A best part for destruction ya hili daraja ingekuwa hapa...
We have heard, eneo lililo haribiwa limeleta damage of approximately kama 250 to 300 Millions rubles, hizi ni kama 3.5 hadi 4.5 millions dolali. Mie na wewe tuulizane is that damage worth hii reputation aliyopokea Ukraine ya kua framed kama Terrorists regime?
Kingine cha kustaajabisha Reli pembezoni mwa daraja ambapo kumelipuka tank la mafuta bado ipo intact, na inategemea kuendelea na shughuli zake jioni ya leo. That means all railway logistics to Crimea zitaendelea as usual.
Na nieleweke vizuri, I don't rule out involvement ya Ukraine kwenye hili. Either wamehusika au hawajahusika wanajua wenyewe. Nachojaribu kuwaeleza ni kuwaza nje ya box.
Crimean bridge sio military target bali ni Civilian Infrastructures, Mashambulizi eneo hilo ni an act of terrorism. So ile hype ya Ukraine regime kuishadadia (again hapa nieleweke either wamehusika au hawajahusika) ni kujidhihirisha au kuishuhudisha dunia kua West wanafadhili ugaidi. (Nazi regime) na kuipa heko Russia kua wana kila sababu ya kuondoa "threat" pembezoni mwao. Hii ndio tunaita "Justification" ambayo itafanya maamuzi (endapo kama yakichukuliwa) kua supported na Publics opinions.
Naendelea kwenye post nyingine mbele, ili isiwe ndefu sana.