triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Wewe umequote media gani!? Hebu onesha hapa kwenye hiyo taarifa ya mejenerali wa urusi kufa vitani ulivyoileta hapa uliileta kama quote kutoka media gani!?Ushahidi upi zaidi ya media tunazoziquote? Au ww untk ushahidi wa kutoka wapi zaidi ya media??? Au ww mwenzetu huwa unatuwekea ushahidi gani zaidi ya kuquote media au website mbalimbali?
Sioni nukuu ya media yeyote kwenye post zako za nyuma kuhusu hilo. Tafadhali nioneshe kama ipo. Nachokumbuka Baada ya kukuuliza ushahidi ukasema kama sikubali sawa na kama nakubali sawa. Au sio wewe uliosema hivyo!?
Lengo la mtu kuomba chanzo cha taarifa ni kutaka kujua ukweli, nothing more. Haina maana anabisha. Ungenipa source ningetulia wala usingeniona tena nalirudia jambo hilo hilo. Mambo mengi kuhusu vita hii mimi nayapatia hapa kutoka kwa wachangiaji. Mtu akileta taarifa nikiwa interested nayo nahitaji kufuatilia nijue asili yake so lzm niombe chanzo chake.
Nikiona hakuna chanzo cha maana basi naiterm hiyo habari kuwa uongo na propaganda. Kama habari uliyoileta wewe hapo