Haki ambayo ni ardhi yao ambayo urusi wameikwapua kwa nguvu.Haki ipi hio?
Nyinyi ndio mmeturudisha nyuma sana kimaisha....kwa kuamini magazeti ya uhuru, mzalendo na mfanyakazi......Source: Russian mainstream media
USAID wanagawa vilainishi,aende tu akachukue mkuu.Punga lingine hili apa!
Ashakaribia mzee, na bila shaka leo mapema tayari moto ushaanza kuwaka huko Zaporizhzhia..anakaribishwa sana ukraine,
[emoji23][emoji16][emoji23]Za ndani huko kabisa View attachment 2380943
Tuko vizuri kivipi? Hapa nimezungumzia mtu kubeza kuhusu source za wengine. Habari kama huamini unaipotezea sio kukomaa na ubishi wa kijinga.
Fikiria mtu anabeza Al jazeera halafu badala aje na counter news ambayo ina ukweli kulingana na yeye anaishia tu kutoa maneno kwamba Propaganda huo ni uwendawazim.
Haya majeshi Yana sera tofauti kabisa wenyewe wanaitwa military doctrine hivyo kwa upande wa Urusi General anaongoza akiwa mstari wa mbele na sio kuamrisha NCO pekee huku yeye akinywa kahawa
Kwauchache nlosikia pale DWMmmmmh na it look like a "real show" inakaribia kuanza. Baada ya jamaa kua officially announced. United Shit nae hayuko nyuma. Nataman kuijua CV ya huyo jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117] The United States has raised the readiness of its Armed Forces in Europe to the 2nd level of danger.
This level was announced in 1962 during the Cuban Missile Crisis and in 1991 during Operation Desert Storm.
The next (maximum) level is DEFCON 1, which means maximum combat readiness in anticipation of a large-scale conflict.
View attachment 2380958
Funny fact!
Conflicts is in Ukraine ila US na jeshi lake anakosa utulivu, yet some fox here wanawaza "Its Ukraine vs Russia"...
Hizi sasa ndio sera za US. Sera za vitisho.
Wanaubiri "Democracy" lakini nchi isipofata matakwa yao inakuwa ni adui mkubwa Sana kwao na hapo hapo ndio wanaubiri Mambo ya nchi kujiamulia Mambo yake. Pure controversial...
basi hata viongozi wa juu wa Russia hawako salama kabisamoja ya structure zinalindwa sana ni Daraja nilipata ajali jana, yaani kama Ukraine, au some elements ndani ya Russia wenyewe wanaweza kufanya jambo kama lile, basi hata viongozi wa juu wa Russia hawako salama kabisa
Tatizo watu mnafuatilia hii operation kwa kile kinacholetwa kwenye huu uzi tu ndo maana mpo out dated kwa matukio mengi sana, hamjui SMO ilipo toka na ilipo.Ukraine sio banana republic kama Syria ambapo alikuwa anapamvana na magenge ya wavaa kobaz wasio na silaha nzito .
Kama comparison yako hii ya huyu "bald head " wenu alichofanya Syria ndio inakupa nguvu ya kudhani atasucceed Ukraine ,then you are dead wrong
Duh Ila bro Hii simulation imekaa kimchongo [emoji23]!
Russia ina idadi ya watu mil 140+, europe mil 700+, North America (USA na Canada) wapo kama mil 370 hivi combined. Na maana ya NATO Population ipo over 1 billion, karibu mara 10 zaidi ya Russia.
Russia ana makombora mengi zaidi kuliko wao wote wakijichanga. Bila kusahau idadi ya watu (Makaazi) Russia wapo scattered ukilinganisha na Europe waliokusanyana kama nzi sehem moja.
Halafu simulation inakwambia Russia watakufa wengi zaidi kuliko Europe na west kwa ujumla [emoji23] (NATO).
Kwingine kote, mengine yoooote simpingi ila hilo tu nimemeza mate kwanza! Its like Pwani ishambuliane na Jiji la Dar kwa kutumia weapons of Mass destructions. Kieneo pwani ni kubwa maradufu kuliko Dar ila wakazi wa Dar wapo wengi mara dufu kuliko Pwani.
Then kuwe na shambulio of mass destruction Pwani wadanje wengi kuliko Dar wakati yenyewe Pwani imejaa mapori tu. Ilhali kiuhalisia shambulio mojaa tu ubungo linaweza kuondoka na Idadi ya watu sawa na Idadi ya watu wote waliopo Pwani.
Tukiangalia UK alone ambayo itafutika dk chache ina wakazi nusu ya waliopo Urusi yote. Germany huyu alie jiran hapo ana wakazi 83Mil, karibu theluthi mbili ya wakaazi wa Urusi. Hatuja waweka France, Spain, Portugal na Poland maeneo ambayo yanaweza fikiwa chini ya dk 7.
Yah kuna wengine watashangaa chini ya dk 7 kivipi, ndio ni chini ya dk 7 na hizo means of delivery Russia anazo. Kama the farthest point kutoka Russia. I mean UK kwa speed ya Samart 2 yenye mach 27 (mara 27 ya speed ya sauti) ikitokea Kaliningrad inahit london kwa dk 3 how about hawa majiran kama Poland, Germany na hao chawa wadogo wadogo (zile former Soviet countries) mmmh?
Ok kingine aliye na Nuclear weapons ndani ya Europe ukimtoa Russia ni UK na France. Hawa wawili pa1 wana posses less than 10% ya mzigo alio nao Russia. So shambulio la Nukes litafanywa kwa kiasi kikubwa kutoka kwa dada yao US endapo kama Vita ya Nukes ikitokea.
Je how about Means of delivery zikoje kwa US? Umbali kutoka kwake hadi sehem ya kuweka madhara kwa Russia ukoje? Nani atamuwahi nani? Hadi yeye aje afikishe madhara kwenye ardhi ya Russia hiyo Europe iliyokaa kama Pua na mdomo kutoka Moscow itakuwa imebakishwa nini?
Anyway tuliache hilo... Kila mtu ana mtizamo, nae wake aliyetoa simulation wacha tuupokee!
Boss, kama ukipewa uongozi wa Ukraine sasa hivi, utachukua maamuzi gani kwa ajili ya nchi kuhusu hali iliyopo?[emoji23][emoji16][emoji23]
Naona mnaanza kuutetea UGAIDI hadharani sasa
Alichokifanya huyo bwana hapo nakinachofanywa na
ALSHABAB
ISIS na mfano wa hayo tofauti yake ipi MKUU!!?
Sijajua muitikio wa RUSSIA ila kwa hili UKRAINE wamefeil
Acha tuone maana RUSSIA wamesema rasmi kama ni UGAIDI
Wakitangaza CTO itapendeza zaidi week hii inayoisha nlisema RUSSIA watangaze CTO ili mambo yawe vyema
Pengne kikao chakesho cha PUT IN kina jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisarussia akichukua odessa itakua pigo kubwa sana kwa ukraine na wamagharibi, yaani urusi itakua imeunganika moja kwa moja na ukraine na transnistria by land hapa putin atakua ni wazi amewin pakubwa mno, vita ya odessa itakuwa na balaa sana aisee
Kupigana na mvamiziBoss, kama ukipewa uongozi wa Ukraine sasa hivi, utachukua maamuzi gani kwa ajili ya nchi kuhusu hali iliyopo?
Hivi nyie mnaongelea kutokea vijiji gani...Mwamba kaingia Ukraine tangu june na hakuna asiejua kipigo walichopokea Ukraine kutokea mwezi june mpaka August na hakuna asiejua kama huo moto ndo matokeo ya Ukraine kupoteza zaidi ya 15% ya ardhi yake.
Media propagandaNaona mnajaribu kujipoza maumivu.., kipigo Kiko palepale.., luhansik lilikuwa Jimbo pekee hambalo Russia alikuwa analidhibiti kwa asilimia 95 wakati wa kile kiinimacho anachoita referendum..,Sasa kwa Hali inavyokwenda Ukraine punde watakomboa nusu ya Hilo Jimbo
Kheson Ukraine wanazidi kukomboa maeneo tu Kila kukicha
Huko Donetsk urusi hashikilii hata nusu ya Jimbo
Zapozhia ni nusu kwa nusu
Kweli hii ilikuwa referendum ya makaratasi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hatari sana 🙆🏿♂️🤔