Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh!!!

[emoji635][emoji1255][emoji298]Officially: strikes on energy infrastructure facilities in Lviv region recorded, - Kazatsky

[emoji635][emoji1255][emoji779]️The third series of explosions begins in Kiev. According to Readovka subscribers from Kiev, in these minutes the third series of arrivals on both sides of the Dnieper is recorded.
 
Kyiv inapigika sana leo....

Nadhani ni wakati sasa Marekani atoe zile atacms ili tuweze shambulia ndani ya Urusi kabisa, haiwezekani kwa huu uhuni waufanyao

Au tupewe air defences

Najua baada ya haya mashambulizi lazima tutapewa vifaa vya maana
Tusali na kumuomba mungu huyu kamanda mtoa roho atatumaliza bwashee

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine sio wanamgambo WA ISIS au Chechnya ambao walikuwa hawana aerial support ,hawana vifaru ,ndege za kivita , drones na heavy defensive weapons za kutungua ndege ,drones ,vifaru na hata kujilinda dhidi ya missiles .
Mnapofanya comparison ya hizo battles na war in Ukraine mnaonekana ni watu wasioelewa hata mnachozungumza unless iwe ni kujaza servers Tu humu .
You don't know wtf you are talking about
Ni kweli,lakini Leo kaanza kazi Kwa kupiga Kiev!Hizo heavy defense systems zimeshindwa kuzuia makombora kutua capital city!
 
Shaheed drone pia zinatupiga kutokea Belarus...
Bombers zinatupelekea moto

Zelensky kawaasa watu waendelee bakia kwenye bankers

Miji mingi ya Ukraine inapokea kichapo kisicho cha kawaida...

Wacha tuone mwisho wa hili litakuwaje

Je ndo itakuwa mwisho wa kupigwa daraja la Crimea

Au Putin anajaribu kutuzuia kusonga mbele?
 
Kyiv inapigika sana leo....

Nadhani ni wakati sasa Marekani atoe zile atacms ili tuweze shambulia ndani ya Urusi kabisa, haiwezekani kwa huu uhuni waufanyao

Au tupewe air defences

Najua baada ya haya mashambulizi lazima tutapewa vifaa vya maana
Kuna haja ya kumaliza hii vita kwa mbabe halisi kufanya maamuzi ya kibabe. Ukraine na washirika wake wafanye tukio la maana au Urusi afanye tukio la maana mnyonge akubali yaishe.
 
Makombora yake hayana accuracy ataishia kupiga barabara na apartments kufurahisha wafuasi ila nikicheki ile video yale makombora mawili yaliyopiga lile daraja ni hatari sana sijui yametokea wapi sio kwa kasi ile hata mrusi ameshindwa kutambua anasingizia ugaidi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajifariji Kwa kujidanganya,mmeanza kujilipua Kwa kujitoa muhanga😆😆!Taarifa iliyotolewa ni kuwa ni mabomu yaliyokuwa kwenye Lori ndio yalilipuka na surveillance camera zikanasa tukio na wote tumeona!Sasa hiyo ya makombora sijui umeipata Toka chanzo gani!
Endelea kuishi kwenye ulimwengu wa peke Yako na Kichwa chako!
 
(Hii kutoka Ukrainian Channel) [emoji30][emoji30][emoji30]

British intelligence warned the Office of the President about a massive rocket attack on Ukraine, as we understand this warning, before attacks on nuclear power plants / thermal power plants / UGS. By the number of explosions, we can conclude that our air defense failed and the only chance now is to simply avoid places where missile attacks can be launched.

#Resident UA
 
Mashambulizi ya leo ni kama ya siku ya kwanza ya uvamizi...

Ila uzuri hana accuracy yeye anapiga popote tu.

Air defences zahitajika sana
Bomu Moja limetua kwenye idara ya usalama ya Ukraine!Putin amesema Jana kuwa ugaidi katika daraja umefanywa na security service of Ukraine (SBU) na ndiko bomu Moja limetua!
 
Back
Top Bottom