Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo maswali muulize US aliyekataa kumpa silaha Ukraine zinazoweza kupiga Moscow,nadhani wao wanajua sababu zaidi yangu Mimi!
Nways,hata Zelensky,anataka jumuiya ya kimataifa imtambue Putin kama gaidi,so ni sawa Kwa Zelensky kumuita Putin gaidi!Hivyo hivyo Kwa Putin,ameamua kutambua mashambulizi kwenye ardhi ya Urusi kama ugaidi!
Kwahiyo ni mtizamo wa kila upande!
Hayo nimekuuliza ili nipate uelewa zaidi kwa sababu tunapenda kupaisha mambo ambayo kiuhalisia ni vigumu kufanyika.

Kama huwezi kunielewesha basi tuangalieni kinachoendelea huko mpka yatapofika lakni kumkuzia mtu kitu ambacho hata yeye anawezakufanyiwa tuacheni.

Wengine wanakwambia urusi atapimpiga Ukraine vibaya sana sasa lakujiuliza yeye akiweza asipige apigwe yeye ndiyo operation ilivyo?

Urusi ameharibu kila aina ya miundo mbinu huko Ukraine sasa yeye maana yake asiguswe kwasbabu gani?


Mkuu hivi kwakuwa umezidi umri na kwa kila kitu nikutazame tu unipige mimi nisiwaze jinsi ya kukudhuru kwasababu unauwezo?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
(Hii kutoka Ukrainian Channel) [emoji30][emoji30][emoji30]

British intelligence warned the Office of the President about a massive rocket attack on Ukraine, as we understand this warning, before attacks on nuclear power plants / thermal power plants / UGS. By the number of explosions, we can conclude that our air defense failed and the only chance now is to simply avoid places where missile attacks can be launched.

#Resident UA
Kuna uhusiano wa kufeli air difference na ile mionzi ya kufubaza satellite? Russia ana nguvu flani imejificha

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli,lakini Leo kaanza kazi Kwa kupiga Kiev!Hizo heavy defense systems zimeshindwa kuzuia makombora kutua capital city!
Siyo makombora ni rocket bwashee na hizi rocket huwa zina air defence syetem yake ambayo israel ndio wanazo ,air diffence nyingine zinazuia makombora ,mfano huwez kulipua kiroket cha milion tatu kwa kutumia kombora la billion moja.pia hivi viroket vinaruka kwenye low attitude hivyo kuviditect ni ngumu.huwa vinaishia kuharibu majengo na magari na kuuwa raia wasiyo na hatia ,mrusi kwake haoni hasara kuuwa watu , ni ukatili mkubwa sqna unarusha roket kwenye mji wenye mkusanyiko wa watu ,ndio maana urusi hawana tofauti na hamas au hezbola maana wanatupia tuu maroket hawajal cha raia
 
Duh [emoji3526]

The number of missile hits in Ukraine at the moment:

47 in the Nikolaev region
60 were counted in Kyiv
15 in Lvov
27 in the Vinnitsa region
20 in Kharkov
15 in the Odessa region
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Mr Tyang sasa kama hali hiyo jamaa ndio kwanza anatest mitambo ase me na "log off Z" in Washawasha voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Hayo nimekuuliza ili nipate uelewa zaidi kwa sababu tunapenda kupaisha mambo ambayo kiuhalisia ni vigumu kufanyika.

Kama huwezi kunielewesha basi tuangalieni kinachoendelea huko mpka yatapofika lakni kumkuzia mtu kitu ambacho hata yeye anawezakufanyiwa tuacheni.

Wengine wanakwambia urusi atapimpiga Ukraine vibaya sana sasa lakujiuliza yeye akiweza asipige apigwe yeye ndiyo operation ilivyo?

Urusi ameharibu kila aina ya miundo mbinu huko Ukraine sasa yeye maana yake asiguswe kwasbabu gani?


Mkuu hivi kwakuwa umezidi umri na kwa kila kitu nikutazame tu unipige mimi nisiwaze jinsi ya kukudhuru kwasababu unauwezo?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ni sawa,unaweza ukaamua ukajibu lakini jiandae yatakayokukuta!Ndio hivyo,Ukraine anapata majibu Kwa kushambulia ardhi ya Russia!
 
Mji mkuu wa Ukraine, Kiev unapigwa mabomu na Russia.
Ni ya kawaida au ni ya nuke.Twasubiri matokeo
1665387108310.png
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kiev Leo imepata salamu za milipuko mikubwa ya mfulilizo toka Russia, Vilio na mayowe toka kwa Meya wa Mji huo vimesikika baada kukoswakoswa na kombora [emoji1787]
Screenshot_20221010-102225.jpg




CONTRIBUTE TODAY

Multiple Blasts Rock Kyiv City Center

By AFP

Updated: 17 minutes ago


A series of loud explosions rocked Ukraine's capital Kyiv early Monday morning, a day after Moscow blamed Ukraine for a deadly blast on a bridge linking Crimea to Russia.

The explosions hit Kyiv around 8:15 a.m. and an AFP journalist in the city saw numerous ambulances appearing to head toward the scene of the blasts.

"Several explosions in the Shevchenkivskyi district – in the center of the capital," Kyiv mayor Vitaliy Klitschko said on social media.

Videos posted on social media showed black smoke rising above several areas in the city.

Russia's last strike on Kyiv took place on June 26.

The explosions came a day after Moscow blamed Ukraine for an explosion on a bridge linking Crimea to Russia, leaving three people dead.

"The authors, perpetrators and sponsors are the Ukrainian secret services," Russian President Vladimir Putin said of Saturday's Crimea bridge bombing, which he described as a "terrorist act."

Putin was speaking during a meeting with the head of the investigation committee he has set up to look into the bombing, Russian news agencies reported.

The Russian leader is gearing up for a meeting with his Security Council later Monday, the Kremlin told local news agencies.

"Tomorrow the president has a planned meeting with the permanent members of the Security Council," Kremlin spokesman Dmitry Peskov said.

The blast that hit the bridge sparked celebrations from Ukrainians and others on social media.

But Ukrainian President Volodymyr Zelensky, in his nightly address on Saturday, did not directly mention the incident, and officials in Kyiv have made no direct claim of responsibility.

On Saturday, Russia said some road and rail traffic had resumed over the strategic link, a symbol of the Kremlin's 2014 annexation of Crimea.

The 19-kilometer bridge is a vital supply link between Russia and the annexed Crimean peninsula.

Some military analysts argue that the blast could have a major impact if Moscow sees the need to shift already hard-pressed troops to Crimea from other regions – or if it prompts a rush by residents to leave.

Mick Ryan, a retired Australian military officer now with the Center for Strategic and International Studies in Washington, said that, even if Kyiv was not behind the blast, it was a big win for Ukraine.

"It is a demonstration to Russians, and the rest of the world, that Russia's military cannot protect any of the provinces it recently annexed," he said on Twitter.

Read more about: Ukraine war


[emoji2398] The Moscow Times, all rights reserved.
 
Siyo makombora ni rocket bwashee na hizi rocket huwa zina air defence syetem yake ambayo israel ndio wanazo ,air diffence nyingine zinazuia makombora ,mfano huwez kulipua kiroket cha milion tatu kwa kutumia kombora la billion moja.pia hivi viroket vinaruka kwenye low attitude hivyo kuviditect ni ngumu.huwa vinaishia kuharibu majengo na magari na kuuwa raia wasiyo na hatia ,mrusi kwake haoni hasara kuuwa watu , ni ukatili mkubwa sqna unarusha roket kwenye mji wenye mkusanyiko wa watu ,ndio maana urusi hawana tofauti na hamas au hezbola maana wanatupia tuu maroket hawajal cha raia
Mrusi hana tofauti na mjahidina, kuua kwake watu wasio na hatia kuvunja madaraja haoni taabu.
 
Back
Top Bottom