Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin amewabembeleza sana Sasa mkajiona vidume mkaanza kumchezea sharubu!
Sasa mnaanza kulialia ooh sijui UN,tulieni dawa iwaingie!
Si mlitaka amalize vita mapema?
Kwa hiyo hivyo viloket mlivyovirusha ndo mnaona kuwa mmeshinda tayari [emoji16]

Viloket vyenyewe vinapiga popote tu hata msituni,havina hata target [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sio Kyiv tu!
Miji yote mikubwa ya Ukraine imepigwa imeshambuliwa. Daraja la Kyiv limeshambuliwa na kinu cha kuzalisha umeme kimeshambuliwa na miji mengine hivyo hivyo!

Muda huu tunaocomment matokeo ni haya:

The number of missile hits in Ukraine at the moment:

47 in the Nikolaev region
60 were counted in Kyiv
15 in Lvov
27 in the Vinnitsa region
20 in Kharkov
15 in the Odessa region

Source: Ukrainian media (open source)

t.me/battleinsights
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Muda wa mapumziko umeisha Sasa ni muda wa kuibonda Ukraine kama ngoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20221010-104018.jpg
 
Ndio nasema ikishakuwa vita basi, civilian casualties is inevitable!Kinachotakiwa ni kuminimize hizo casualties,Kwa Hilo Russia kajitahidi sana!Tofauti na vita vya US ambavyo anafanya airstrikes halafu askari wa ardhini wanapita kufagia fagia tu!
Labda kuna kapoint hatujaelewana mkuu mfano russia hii vita kaingia bila kuchokozwa ,ingekua ukraine alianza uchokozi nisingelaumu sana ,ila jamaa kitendo cha kuvamia nchi iliyo huru tena na msafara mkubwa kwa nia ya kupora ,haikua busara.Russia siyo kwamba ana madhambi kuliko westen hapana ! Ila kwa maisha haya ya kustaarabiakaalichofanya ni kinyume kabisa may be ukraine angekua ndiye mchokoz ningesema fair ila that is too much
 
Sio Kyiv tu!
Miji yote mikubwa ya Ukraine imepigwa imeshambuliwa. Daraja la Kyiv limeshambuliwa na kinu cha kuzalisha umeme kimeshambuliwa na miji mengine hivyo hivyo!

Muda huu tunaocomment matokeo ni haya:

The number of missile hits in Ukraine at the moment:

47 in the Nikolaev region
60 were counted in Kyiv
15 in Lvov
27 in the Vinnitsa region
20 in Kharkov
15 in the Odessa region

Source: Ukrainian media (open source)

t.me/battleinsights
Hayo makombora yameua wanajeshi wangapi wa ukraine?
 
Back
Top Bottom