Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hilo ndo tatizo la urusi, anapoteza resources nyingi kwa vitu hambavyo havina impact katika malengo yake..,hapo ukiangalia Wala hakuna Cha maana alichoharibu kwenye hayo mashambulizi,,sana sana utasikia kashambulia majengo ya makazi na kuua raia kadhaa.., wakati wenzake wanachakaza ammunition depot..,command post.., silaha za thamani na strategic areas..,huku asikari wake wakiuwawa kama kumbikumbi [emoji16]

Ukiangalia resources alizotumia na hivyo vijimbo hambavyo na vyenyewe ameviteka kwa sehemu tu hata haviendani[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tulia dawa iingie
 
Capture.PNG
 
Kwa jinsi ulivyoandika inaonekana moyo umekuuma? Pole sana..

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Labda kuna kapoint hatujaelewana mkuu mfano russia hii vita kaingia bila kuchokozwa ,ingekua ukraine alianza uchokozi nisingelaumu sana ,ila jamaa kitendo cha kuvamia nchi iliyo huru tena na msafara mkubwa kwa nia ya kupora ,haikua busara.Russia siyo kwamba ana madhambi kuliko westen hapana ! Ila kwa maisha haya ya kustaarabiakaalichofanya ni kinyume kabisa may be ukraine angekua ndiye mchokoz ningesema fair ila that is too much
Mkuu Inamaana huelewi mgogoro wa Ukraine na Russia ni wa muda mrefu?Hujui majadiliano yalishafanyika sana mpaka kuingia makubaliano ya Minsk?Hujui namna gani watu wenye asili ya Russia walivyokuwa wakiuwawa huko DPR na LPR?
Kesho China akiivamia Taiwan,atalaumiwa China!Meanwhile mchochea vita yupo na hakuna anayemnyoshea kidole!
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20221010-105016.jpg

Oct 10 (Reuters) – Russian troops are coming closer to the strategically important eastern town of Bakhmut, having advanced up to 2 km (1.24 miles)towards the town over the last week, a British intelligence update said on Monday.

“Russia continues to give high priority to its own offensive operations in the central Donbas sector, especially near the town of Bakhmut,” the UK Ministry of Defence tweeted in a regular bulletin.

In a video address on Saturday, Ukraine’s President Volodymyr Zelenskiy said that Ukrainian troops were involved in very tough fighting near Bakhmut.

Bakhmut sits on a…

Continue Reading

News Source: Russian troops moving closer to eastern Ukrainian town of Bakhmut, UK says
 
Nimeshachoka na hii SMO ya huyu shuwani Putin , Atangaze vita tujue Moja kama atabonyeza kitufe cha Nyuki tujue .
Relax relax mkuu, vita hivi vya kisasa having outright winner na mifano ipo mingi tu, Afghanistan 🇦🇫 jamaa wa Teleban wameshinda conventional war ila vita bado ipo, Libya, Iraq, Palestine etc etc, ila tuelewe hii vita inaathiri zaidi upande wetu kuliko ambao wapo physical vitani, tuombe Russia aheshimu mipaka yake ili amani itamalaki, Tanzania itaumia zaidi once nchi za Nordic zitakapojiunga na NATO, maana watakua na collective decisions na hii itatuumiza mno sisi, hizi nchi zinachangia zaidi ya 10%ya budget yetu, Amani iwepo na president Putin atulie pale Moscow, hata win chochote ni shida tu
 
Kyiv, Lviv, Dnipro
Under missile attack
Sirens all over ukraine

Leo Urusi anatuweza leo

Twahitaji defences za uhakika kwa upesi
Haha[emoji12][emoji12] yaani na akili zako kuna nchi hapo wa kuipiga urusi? Mbabe anayeweza kutunishiana misuli tena kwa mbali ni USA

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Wewe mzibua vyoo WA mazense unaandika rubbish ,pumbaf harufu ya kinyesi kwenye vyoo vya wahindi imekuharibu akili mpaka huwezi kuandika bila kutukana watu ,
Mbw@ Koko wewe
Matako yanawasha? Subiri doz...[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom