Siyo makombora ni rocket bwashee na hizi rocket huwa zina air defence syetem yake ambayo israel ndio wanazo ,air diffence nyingine zinazuia makombora ,mfano huwez kulipua kiroket cha milion tatu kwa kutumia kombora la billion moja.pia hivi viroket vinaruka kwenye low attitude hivyo kuviditect ni ngumu.huwa vinaishia kuharibu majengo na magari na kuuwa raia wasiyo na hatia ,mrusi kwake haoni hasara kuuwa watu , ni ukatili mkubwa sqna unarusha roket kwenye mji wenye mkusanyiko wa watu ,ndio maana urusi hawana tofauti na hamas au hezbola maana wanatupia tuu maroket hawajal cha raia