MWAMBA AKICHAGUA VIFAA 🍻🍻🍻
View attachment 2382410
View attachment 2382411
📹 Ukrainian media has published footage allegedly showing the bridge in Kiev being hit by missile
Yaani Russia ni mweupe hivyo hana defence systems za kuzuia makombora hadi ardhi yake inashambuliwa?Ni sawa,unaweza ukaamua ukajibu lakini jiandae yatakayokukuta!Ndio hivyo,Ukraine anapata majibu Kwa kushambulia ardhi ya Russia!
tulia vizuri ipenyeSiyo makombora ni rocket bwashee na hizi rocket huwa zina air defence syetem yake ambayo israel ndio wanazo ,air diffence nyingine zinazuia makombora ,mfano huwez kulipua kiroket cha milion tatu kwa kutumia kombora la billion moja.pia hivi viroket vinaruka kwenye low attitude hivyo kuviditect ni ngumu.huwa vinaishia kuharibu majengo na magari na kuuwa raia wasiyo na hatia ,mrusi kwake haoni hasara kuuwa watu , ni ukatili mkubwa sqna unarusha roket kwenye mji wenye mkusanyiko wa watu ,ndio maana urusi hawana tofauti na hamas au hezbola maana wanatupia tuu maroket hawajal cha raia
poleni ndugu zanguKyiv, Lviv, Dnipro
Under missile attack
Sirens all over ukraine
Leo Urusi anatuweza leo
Twahitaji defences za uhakika kwa upesi
We ni PIMBI we unadhani URUSI hakuchokozwa?? Basi huelewi masuala ya kimataifa kama unahisi URUSI alivamia bila sababu za msingi wa kuchokozwa.Labda kuna kapoint hatujaelewana mkuu mfano russia hii vita kaingia bila kuchokozwa ,ingekua ukraine alianza uchokozi nisingelaumu sana ,ila jamaa kitendo cha kuvamia nchi iliyo huru tena na msafara mkubwa kwa nia ya kupora ,haikua busara.Russia siyo kwamba ana madhambi kuliko westen hapana ! Ila kwa maisha haya ya kustaarabiakaalichofanya ni kinyume kabisa may be ukraine angekua ndiye mchokoz ningesema fair ila that is too much
[emoji12][emoji1][emoji1][emoji1] kuua raia wa Russia na kuvuja madaraja ni raha? Pumbuvu zenu mfyyyyyhii sasa ishakuwa vita kamili, mrusi awe tayari - kitendo cha kuua watu mitaani ni ugaidi kama ugaidi mwingine duniani...
Kitendo hiki ni kuidharau UN - atakipata anachokitafuta.
Kwamba nchi huru kutaka kujiunga na jumuia za kimataifa kama NATO ni kosa hadi kufikia kushambuliwa?We ni PIMBI we unadhani URUSI hakuchokozwa?? Basi huelewi masuala ya kimataifa kama unahisi URUSI alivamia bila sababu za msingi wa kuchokozwa.
Imeua wanajeshi wangapi wa ukraine
kaa kwa kutulia ipenye, kamanda mpya , nguvu mpyaImeua wanajeshi wangapi wa ukraine
Ukiona KYIV inashambuliwa basi jiongeze akili kidogo, hao WARUSI wanatumia mbinu ya kuitekenya KYIV kisha Ukraine anatumia nguvu kuilinda Kyiv na hapo ndipo Warusi wanaporudi kuwafua hao mnaosema wanakomboa Miji.Miji naona wanaendelea kukomboa, kwa taarifa nilizoziona kuna tukilomita kadhaa tumekombolewa sehemu. Labda taarifa mpya itolewe baada ya hii milipuko.
Hamna kitu mwone kichwa, kama Yai.From Kadyrov...
Huyu anaonekana ni so tough eeh? Naona na Head of Chechnya nae anasifia uteuzi wake.
View attachment 2380950
👉 Army General Sergei Surovikin has been appointed Commander of the Joint Group of Forces in the area of the special military operation.
I personally know and know Sergei Vladimirovich well for almost 15 years. I can definitely say about him that he is a real general and warrior, an experienced, strong-willed and far-sighted commander, for whom such concepts as patriotism, honor and dignity always stand above all else.
It is my pleasure to welcome and welcome this appointment. The combined group of troops is now in safe hands. I am sure that Sergey Surovikin will improve the situation in the NVO zone for the better. Well, we, of course, will help him in solving his tasks.
I wish Sergei Vladimirovich good luck and success in his service for the benefit of the Fatherland - Russia!