Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unatia huruma aisee!
Ikikuuma ichomoe mkuu..,nazidi kukuletea zaidi [emoji16][emoji28][emoji1787]..,hapa ni dikteta wenu akitaka kuliwa[emoji16]
1663765317045.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tuliwaonya mapema hamkutaka kusikia. Ile Ukraine kukomboa maeneo na majeshi ya Urusi kuretreat ilikuwa ni game inapangwa. Saizi tunawabebesha majukumu mengi kwa pamoja ili tupate wasaa mzuri wa kuyateka vizuri majimbo 4. Huwezi kukomaa Kherson wakati Kyiv inawaka moto
😄😄 Mpk Ni nimekumbuka lyrics za Hit em ya 2pack aliposema 'nigga, we warned ya. We'll bomb on you motherfu**rs! We do our job!

😄😄
 
Putin we jishaue tu kulipua watu mjini.... dawa hayo ipo jikoni usifikiri unaweza kuipeleka Dunia namna unavyotaka wewe.

View attachment 2382495
Wanamgambo wanakimbia kama wapo kwenye Marathon Putin piga hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo yatakuwa mabaya sana kwetu, tusiposaidiwa leo, tutakuwa na hali mbaya.
Belarus kaingilia mchezo, kasema NATO wana mpango wa kumtoa.
Hadi sasa hatujasikia kutoka upande wa NATO, zaidi ni military assets ziko airbone

Ukrain wamefanya kosa kulipua daraja la Crimea maana kampa sababu Urusi kufanya chochote sasa kwa kisingizio cha Crimea bridge…it was a fatal mistake sijui nani alimshauri Zelensky hii approach.
 
Litambue barza zima la usalama la Russia:

Baraza hilo lajumuisha wawakilishi wa taifa zima la Russia ambao huweza kuitwa mara moja na raisi Putin akihitaji kufanya hivyo.

Lakini wajumbe wachache ambao huwateua yeye wapo 11 akiwemo raisi Putini mwenyewe kama mwenyekiti.

Wajumbe 12 wa baraza ni kama wafuatao:

1. Dmitr Medvedev - makamu mwenyekiti

2. Mikhail Mishustin Waziri Mkuu

3. Sergei Naryshkin- Mkurugenzi wa ujasusi wa nje SVR

4. Spika wa bunge la Duma

5. Katibu mkuu ofisi ya raisi

6. Mwakilishi maalum wa raisi masuala ya mazingira, tabia nchi na usafirishaji.

7. Nikolai Patrushev- Katibu wa baraza

8. Sergei Shoigu- waziri wa ulinzi

9. Sergei Lavrov- waziri wa mambo ya Nje.

10. Waziri wa mambo ya ndani.

11. Aleksandr Bortnikov ambae ni mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa.

12. Bi Valentina Matviyenko ambae ni mwenyekiti wa wawakilishi wote wa baraza la usalama.
 
Litambue barza zima la usalama la Russia:

Baraza hiulo lajumuisha wawakilishi wa taifa zima la Russia ambao huweza kuitwa mara moja na raisi Putin akihitaji kufanya hivyo.

Lakini wajumbe wachache ambao huwateua yeye wapo 11 akiwemo raisi Putini mwenyewe kama mwenyekiti.

Wajumbe 12 wa baraza ni kama wafuatao:

1. Dmitr Medvedev - makamu mwenyekiti

2. Mikhail Mishustin Waziri Mkuu

3. Sergei Naryshkin- Mkurugenzi wa ujasusi wa nje SVR

4. Spika wa bunge la Duma

5. Katibu mkuu ofisi ya raisi

6. Mwakilishi maalum wa raisi masuala ya mazingira, tabia nchi na usafirishaji.

7. Nikolai Patrushev- Katibu wa baraza

8. Sergei Shoigu- waziri wa ulinzi

9. Sergei Lavrov- waziri wa mambo ya Nje.

10. Waziri wa mambo ya ndani.

11. Aleksandr Bortnikov ambae ni mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa.

12. Bi Valebtina Matviyenko ambae ni mwenyekiti wa wawakilishi wote wa baraza la usalama.
balaza linalopiga Raia wasio na hatia balaza gani ndugu ? huu ni ugaidi kama ugaidi mwingine wa kujitoa muhanga.
 
Back
Top Bottom