Kwa hiyo Putin akikasirika ndiyo analipua masoko, maduka nkKabla ya kulipua anatakiwa kuomba ruhusa moscow ili Putin asikasirike kama hivi.
Unamaanisha hawa wavaa kobas auoperation imeanza rasmi waulizeni IS syria walichofanywa na putin
Mkuu hii ni chai.Lukashenko, Rais wa Belarus katangaza kuingia vitani dhidi ya Ukraine, akiituhumu Ukraine kutaka ivamia...
Ataungana na UlUrusi kuunda jeshi la pamoja dhidi ya Ukraine
Kwa lile safara la km 65Back in July 2022
View attachment 2382553
Putin "We haven't started even anything serious there yet..."
Duuhh..sasa wakianza kitu serious si patachimbika sana!!Back in July 2022
View attachment 2382553
Putin "We haven't even started anything serious there yet..."
Sizani kama tunayoTuweke ushabiki pembeni
Hivi Tanzania tuna missile alert system?
Kwamba tunajua kabla makombora hayajaja?
Kama ipo kwanini wasitest siku moja kuona utayari wa raia?
Mambo yatakuwa mabaya sana kwetu, tusiposaidiwa leo, tutakuwa na hali mbaya.
Belarus kaingilia mchezo, kasema NATO wana mpango wa kumtoa.
Hadi sasa hatujasikia kutoka upande wa NATO, zaidi ni military assets ziko airbone
Ukrain wamefanya kosa kulipua daraja la Crimea maana kampa sababu Urusi kufanya chochote sasa kwa kisingizio cha Crimea bridge…it was a fatal mistake sijui nani alimshauri Zelensky hii approach.
Jidanganye hakuna wa kumgusa putin.marekani wenyewe wanaogopa kwenda moja kwa moja vitani na urusi.Uvamizi ulipoanza February Ukraine ilishambuliwa kutokea ardhini, angani na baharini kutokea mipaka yote ya Russia na Belarus. Putin na Russia yake watajibiwa kadri inavyostahili, West huwa hawakubali kabisa kuwa bullied au kutishwa na magaidi.
Kumbe hujui chochote?Crimea ni sehemu ya urusi ambayo walipewa Ukraine lakini urusi akaamua arudishe eneo lake.Crimea ni sehemu ya Ukraine
Lukashenko akitangaza vita ana uwezekano mkubwa wa kupinduliwa. Jeshi lake haliko na uwezo kununua ugomvi na raia wanamlia timing. Kashafanya vikao vingi na Putin ila anarudi anakuwa kimya. Yuko under pressure. Kuna foreign intelligence agencies zinatazama his movesLukashenko, Rais wa Belarus katangaza kuingia vitani dhidi ya Ukraine, akiituhumu Ukraine kutaka ivamia...
Ataungana na UlUrusi kuunda jeshi la pamoja dhidi ya Ukraine
Janaa wakati naleta bandiko la kumuelezea jamaa na moto wake anapokabidhiwa operation ya kijeshi kutetea taifa lake, baadhi ya watu humu waliona kama naendeshwa na mahaba binafsi.Duh [emoji3526]
The number of missile hits in Ukraine at the moment:
47 in the Nikolaev region
60 were counted in Kyiv
15 in Lvov
27 in the Vinnitsa region
20 in Kharkov
15 in the Odessa region
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Bro Mr Tyang sasa kama hali hiyo jamaa ndio kwanza anatest mitambo ase me na "log off Z" in Washawasha voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Acha uongoLukashenko akitangaza vita ana uwezekano mkubwa wa kupinduliwa. Jeshi lake haliko na uwezo kununua ugomvi na raia wanamlia timing. Kashafanya vikao vingi na Putin ila anarudi anakuwa kimya. Yuko under pressure. Kuna foreign intelligence agencies zinatazama his moves
Katika ujinga ambao USA hatakiwi kuufanya ni kukata mawasiliano na na nchi za kiarabu maana hao ndiyo wanaofanya dollar iendelee ku survive