Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Ndio. Kwani hujaona analipua na maroketi.Kwa hiyo Putin akikasirika ndiyo analipua masoko, maduka nk
Ndio. Kwani hujaona analipua na maroketi.Kwa hiyo Putin akikasirika ndiyo analipua masoko, maduka nk
Watatoka salama kweli maana tunasikia Vilio vya uchungu toka kwenye mianya ya mlango wa ghetto[emoji1][emoji1][emoji1] Wameingia Kwny geto la popobawa kinyumenyume
Ndivyo ilivyo kwenye vita hata Palesitna na nchi zingine ambazo raia huuawa.
Hii ni vita kati ya Russia na NATO akisaidiwa na Marakeni ambayo waitumia Ukraine.
Sababu na mengine yote tayari tumeyaeleza humu.
operation imeanza rasmi waulizeni IS syria walichofanywa na putin
Ukraine wadai wapo vitani lakini kwa Russia ni bado hii ni "special operation".Hii ni vita au SMO au opereshini tu??![emoji16]
Proputin hamueleweki mnaposimamia.
Kifungua kinywa cha mabomu[emoji1][emoji1] General Amargadon anawapa breakfast ya Kalibr missiles tu
Kwa hiyo Putin akikasirika ndiyo analipua masoko, maduka nk
Hii habari ya Belarus kutangaza vita na Ukraine sijaiona kwenye chanzo chochote Cha habari, sijui comred kaiokota wapi[emoji848]Lukashenko akitangaza vita ana uwezekano mkubwa wa kupinduliwa. Jeshi lake haliko na uwezo kununua ugomvi na raia wanamlia timing. Kashafanya vikao vingi na Putin ila anarudi anakuwa kimya. Yuko under pressure. Kuna foreign intelligence agencies zinatazama his moves
We ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] tushakudharau.Lukashenko akitangaza vita ana uwezekano mkubwa wa kupinduliwa. Jeshi lake haliko na uwezo kununua ugomvi na raia wanamlia timing. Kashafanya vikao vingi na Putin ila anarudi anakuwa kimya. Yuko under pressure. Kuna foreign intelligence agencies zinatazama his moves
Jibu linategemeana na mazingira. Ni kama mtu mwenye madeni anayepokea simu kwa namba mpya akaulizwa upo wapi. Location ya alipo inategeneana na mambo mengi.Hii ni vita au SMO au opereshini tu??![emoji16]
Proputin hamueleweki mnaposimamia.
Waliomshauri na kuchekelea wapo kwenye mapango wanakuna pumbu kama nguchiroUkrain wamefanya kosa kulipua daraja la Crimea maana kampa sababu Urusi kufanya chochote sasa kwa kisingizio cha Crimea bridge…it was a fatal mistake sijui nani alimshauri Zelensky hii approach.
Makombora yaliyorushwa hayafikii hata 90 hapa naona makombora karibia 200..,msitake kutufanya kama wote tuna mtindio wa ubongo hapa jukwaani [emoji848][emoji848]The number of missile hits in Ukraine at the moment:
47 in the Nikolaev region
60 were counted in Kyiv
15 in Lvov
27 in the Vinnitsa region
20 in Kharkov
15 in the Odessa region
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
coment zako za kinyonge hazita saidia chochote ingia kwenye mapango ufiche kiwiliwili hichoRussia wanashangilia kurusha makombora wakati ukraine wakiendelea kukomboa ardhi Yao..,mtu aliyekosa akili kakosa akili tu ., Ukraine wanazidi kuhimarika siku baada ya siku,View attachment 2382522
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Says a man from Tz......Lukashenko akitangaza vita ana uwezekano mkubwa wa kupinduliwa. Jeshi lake haliko na uwezo kununua ugomvi na raia wanamlia timing. Kashafanya vikao vingi na Putin ila anarudi anakuwa kimya. Yuko under pressure. Kuna foreign intelligence agencies zinatazama his moves
Sasa kulipua majengo ya makazi ya watu na kuua raia ndo u special wake ulipojikita?Janaa wakati naleta bandiko la kumuelezea jamaa na moto wake anapokabidhiwa operation ya kijeshi kutetea taifa lake, baadhi ya watu humu waliona kama naendeshwa na mahaba binafsi.
Nadhani sasa kila jicho limeona na kila sikio limesikia mziki wa Gen.Sergei Surovikin, huyu mwamba ni hatari mno kwenye utumiaji wa bombers na missiles na wanajeshi wa Urusi wanamkubali sana na huwa wanapata morali ya ajabu akiwa commander in charge wao.
Nafikiri ambae hakuelewa CV ya mwamba uliyoileta humu na lile bandiko langu, leo ndo ataanza kuelewa Gen.Surovikin ninani.
Mwamba haamini uwepo wa rehema kwenye uwanja wa mapigano. Bila Rais putin kumuomba apunguze moto wake ni suala la wiki kadhaa tu Kyiv anaigeuza Jivu.
Ni shobo zako tu sijakulazimisha kusoma. Kiherehere unaleta wewe, makasiriko unapata mwenyewe. Kwani huoni ignore ilipoWe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] tushakudharau.
Naona wewe unayepinga uko Belarus. Sawa, akipeleka majeshi yake Ukraine uniite. Akiondolewa madarakani nitakuita vilevileSays a man from Tz......
Unadhani yeye ni Mjinga au hana washauri.....
Hakuna wa kumpindua Rais mwenye Support ya Russia tuliona kwa Bashar Al Assad.