Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aliyepiga hii picha ya Zele leo kwenye press Conference ashitakiwe kwa hujuma zake 😂.

IMG_20221010_144251_320.jpg
 
Ila wazee hua Kuna Raha flani hivi kuwaona wazungu nao wanakimbia kwenda kujificha huku wamebeba mfuko wa Rambo,Kama vile tunavyoonaga kwa watu wa Libya, Somalia,Iraq etc

Duh nimekumbuka Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kabisa MKUU rahha iliojeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu. Hata mimi roho inaniuma. Raia wanateseka (collateral damage) kwa sababu ya maamuzi mabovu ya wanasiasa wa mchongo.
Hawakujua maana ya operation, operation ni kuingiza jeshi na asiue hata mbu Ila ukizuia anakuua ,vita ikitangazwa mapigano mpaka serikali itolewe sasa tunasubiri hapo zelesky achague kutorokea uhamishoni au kufia katika ardhi ya mababu zake
 
Ila wazee hua Kuna Raha flani hivi kuwaona wazungu nao wanakimbia kwenda kujificha huku wamebeba mfuko wa Rambo,Kama vile tunavyoonaga kwa watu wa Libya, Somalia,Iraq etc

Duh nimekumbuka Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine 😄😄😄😄😄😄😄
😁😁😁😁 Yani hapa napiga vitu vyangu tu kwa furaha.. anayo nipa PUT IN..
 
Kikao kizito cha Baraza la Usalama la Urusi kinaendelea mda huu chini ya Mwenyekiti wake Rais Putin.

Inatarajiwa Rais Putin atatangaza vita rasmi na Ukraine baada ya kikao hicho.
Atapata na mfano wake, watu hawatarudi nyuma donbas mbele mbele kukomboa majimbo yaliyoibwa ni waasi toka russia
 
US EMBASSY IN KIEV:

"The U.S. Embassy urges US citizens to shelter in place and depart Ukraine now using privately available ground transportation options when it is safe to do so
Si USA ni super power na amejaza vikosi vyake huko ulaya magharibi, badala apeleke wanajeshi wake wakaokoe raia wake, cha ajabu nae analialia na kuacha raia wake wapambane na hali zao kama raia wa Zimbabwe. Kweli moto wa kisoviet ni balaa Zito ukiwakaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom