Mambo ya kudanganyana kama haya ndio yanaiponza Ukraine, utakisika slava Ukraine, slava Ukraine. Au utasikia go Zelensky, go Zelensky. Mwisho wa siku wanajaa vichwa na kupigika kama watoto.
Kwa somo la leo, Ukraine hawezi kurudia ule ujinga wa kupiga tena Russia, na akirudia yatakayompata vita itaisha pale pale.
Ni lazima ukweli usemwe, hata iweje Ukraine hawez kuishinda Russia kijeshi, misaada uchwara inawatia viburi bure tu. Sasa kama kweli Nato ni watu sahihi tutaona msaada atakaoutoa sasa.
Sent from my SM-G955U using
JamiiForums mobile app