Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
The head of Cyber Police Department of the National Police of Ukraine was killed in the early morning attacks on Kiev.
Hakuna cha kuongea, ni kuongeza silaha tu kumkomesha pootinIla sio hali ya kawaida ishu km hii kutokea na hadi sasaUSA hajatoa tamko,kuna nn kinaendelea!?
Huo uongoWamekatiwa mawasiliano halafu wakashushiwa mzigo
Ukraine wakipata defence systems tu mchezo kwisha kama leo wamedaka makombora 43/84Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aisee
Ona tunavyowakaanga video ni nyingi tuna songa mbele kukomboa mijiMbona sasa hivi huleti tu video mkuu[emoji848][emoji848][emoji38][emoji1787][emoji1787]
RIP.View attachment 2382824
The head of Cyber Police Department of the National Police of Ukraine was killed in the early morning attacks on Kiev.
Ni kweli hana, ndo maana anamuomba Marekani ampe atacms ila marekani hataki maana zitaenda umiza deep in russiaHana hizo silaha, angeshatumia, asingeomba msaada wa silaha. Acha kuwaza kipimbi kiasi hiko.
Atatumia neptunes missiles kulipizaMambo Bado magum, Ukrein nae kama anaapa lipiza kisasi hatujui atalipiza katika mbinu zipi, nafikili wiki mbili zijazo WENDA Hali ikawa mbaya katika vita hii
Ukraine wakipata defence systems tu mchezo kwisha kama leo wamedaka makombora 43/84
Drone 11/24
Ampe tu.Ni kweli hana, ndo maana anamuomba Marekani ampe atacms ila marekani hataki maana zitaenda umiza deep in russia
Hakuna cha kuongea, ni kuongeza silaha tu kumkomesha pootin
Leo wamekula kichapo cha kufa mtu ni baada ya Ukraine kupiga kombora daraja la Urusi. Leo miji mingi ya Ukraine imemiminiwa mvua za Makombora( Long Missiles), na safari hii Urusi imetuma salam hadi Mji Mkuu wa Kiyv umepigw na Makombora. Wametuma salam kuwa HIMARS nazo huwa zinazidiwa pia. Rais wa Urusi ameomba Jumuiya za Kimataifa kuwasaidia maana Urusi inataka kuwaangamiza. Umoja wa Ulaya umelaani shambulizi hilo.
Chanco: Dira ya Dunia- Idhaa ya Kiswahili ya BBC leo 10/10/2022