Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, ukweli waufahamu Ukraine haiwezi kupigana na Russia. Walifanya mauaji mengi ya kutisha wakiua warusi kule Crimea hadi Russia ilipoamua kuingilia kati mwaka 2014.

Achana na propaganda za nchi za magharibi.
Na Hawa wanaopigana na Russia ni wakina nani vileee[emoji848]

Urusi ni mwepesi sana tu,huo ndio ukweli mchungu..,ndio ma'ana kilanja wa dunia hambaye ni US kaona hakuna haja ya kupoteza resources ku-deal Naye, Ukraine tu anamtosha,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tusubili tu tuone, ila binafsi muelekeo wa vita hii tuendako mpaka naanza kuogopa
Maeneo aliyoyachukua sasa vita vinapiganwa frontiline, jeshi kwa jeshj, bomu kwa bomu... lakini ukraine atapoanza kufanya 'ugaidi' wa kuacha vita na kwenda kulipua miundombinu au watu wasiokua kwenye vita ilo litakua kosa.

Sasa daraja la cremea unalipiga la nini? Kwani urusi hakuona madaraja pale Ukraine? Tofautisha vitendo vya kigaidi na vita.

Ila nakuambia ukweli Ukraine akirudia tena..... naomb niweke akiba ya maneno.
Nb: subir uone kama Nato wana msaada wowote.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Tazameni video hiyo muone vitu vinavyotunguliwa hewani bila hivyo mengi yangeleta uharibufu

Hata hivyo Kiyv imechakazwa leo. Umeme hakuna. Na kwa jeuri Urusi kapiga karibu miji ya nchi nzima. Kuna video iliyotumwa hapa kwenye group Rais wa Ukraine anaomba msaada. Nafikiri hata kama wanakomboa miji yao, wawe makini sana. Urusi anaweza kuwatembezea pumzi ya moto mkali.
 
Huko ni kumuombea Ukraine amalizwe kbs. You people really think Ukraine can go toe to toe vs Russia even with american atacms!?

Kalipua daraja tu leo kanyeshewa mvua ya mizinga nchi nzima akipiga moscow hata kwa kombora moja unafikiri nini kitampata!?

Huyo US mwenyewe anapokataa kumpa hizo silaha sio mjinga anajua hiyo ni move ya hatari na inaweza kutrigger maafa
 
Urusi kaamua kumalizia hasira kwenye miundombinu ya raia ., huko front line kaona anachakazwa vibaya mno[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Haya mashambulizi ya mchongo yanazidi kuwaongezea molali vijana wakakamavu wa ukraine..,tutegemee kuona fashisti dikiteta akikanyagwa kisawasawa
1664291850396.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Massive Russian attacks in progress inside Ukraine.Zelenskys' office hit by missiles.

You can also follow the information in the following link.

Namnaaaaaaa hiiii PUT IN twanga hao kisawa sawa
 
Huko ni kumuombea Ukraine amalizwe kbs. You people really think Ukraine can go toe to toe vs Russia even with american atacms!?

Kalipua daraja tu leo kanyeshewa mvua ya mizinga nchi nzima akipiga moscow hata kwa kombora moja unafikiri nini kitampata!?

Huyo US mwenyewe anapokataa kumpa hizo silaha sio mjinga anajua hiyo ni move ya hatari na inaweza kutrigger maafa
Boss, Wale ni watu wazima, hawawezi lilia wembe bila kuwa na kazi nao.
 
Zelensky goo baba ,kwani nini basi wote si tunaingia 6 chini ya ardhi .Tunamarocket ,mabomu hatuna tu moyo .Mungu ni mwema Pro Russia watandale wamefurahi next week mafuta bei juu
 
Back
Top Bottom