Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha ushabiki ndugu wasema US hana haja ya kupoteza resources?

Wafahamu US ametoa kiasi gani cha silaha na za thamani gani? - Resources

Wafahamu ni majeshi kiasi gani wa Ukraine wapo US pale Oregon wakipewa mafunzo?- resources

Wafahamu ni makampuni mangapi binafsi yasaidia shughuli za Marekani nchini Ukraine?- Resources

Wafahamu ni askari wa akiba kiasi gani wa Marekani (special Forces) wapo Ukraine wakitoa ushauri elekezi? - Resources.

Je wafahamu ni watu wangapi wapo kwenye kampeni hii kuanzia wale majasusi, vyombo vya kijasusi, na uchukuaji picha za satelites nazoi hizo zote ni resources.

Wamewekeza fedha nyingi pale Ukraine lakini sasa washindwa na ndo maana wameanza kufanya mashambuklizi ya mabomu.

Wao ndo wafundisha utumiaji wa mabomu walinza na pale Moscow na kisha wakahamia kutaka kubomoa daraja Crimea.

Watu wengi waelewa walionya juu ya hatua hiyo (reckless) ya kushambulia miundo mbinu ndani ya Russia lakini Ukraine vichwa ngumu hawakusikia.

Hivi, umesikia kauli yoyote kutoka huko NATO US au UN hadi mida hii baada ya mashambulizi haya ya Russia?
Hizo silaha anazotoa US [emoji1258] ni za miaka ya 90.., lakini zinamtoa kamasi urusi mpaka Sasa Ukraine imemuelemea..,kila siku vikosi vyake vinazidi kusukumwa nyuma..,Sasa Kuna haja gani us kuingia mzigoni kumchakaza??

Kaona asikuze tu mambo maana Ukraine kaonekana kumuweza sana urusi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ok

Basi tuendelee kushuhudia hii operesheni maalum ya Russia ikijipambanua kila kona.
 
Kama kawaida,Wala kichapo hakijapoa,Kiko palepale.., front line ni pa moto kweli,
1663764711030.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣 Urusi Hana silaha za kisasa,alafu anapiga kwa silaha za masafa mareeeefu😆😆
Sasa cha ajabu ni nini ? Napigana na wewe hapa afu wewe unarusha kibomu cha petrol kuchoma nyumba yangu...afu yu call it vita ..

Hicho ndicho anachofanya babako. Unafikiri Ukraine hawana silaha za masafa marefu ya kupiga hqdi Moscow? Umejiuliza kwa nini hawatumiii ?
 
NATO wameishiwa silaha za kuipa Ukraine

NATO does not have enough weapons for Ukraine - Bloomberg.

The alliance has asked arms companies to increase production to replenish weapons stocks due to supplies to Kiev.

The warehouses are running out of 155-mm shells for artillery. The United States has already provided Ukraine with more than a million rounds of ammunition.

Defense spending has not been a priority for European countries for a long time: now it will take Western contractors years to fill the deficit.

Subscribe to @Sputnik
IMG_20221010_195836_656.jpg
 
[emoji1200][emoji1044]The Polish Foreign Ministry recommends compatriots to leave Belarus.

This should be done "by commercial and private means."

The Ministry of Foreign Affairs warns that "in the event of a sharp deterioration in the security situation, border closures or other unforeseen situations, evacuation may be significantly difficult or even impossible."

Missiles karibia zote zimerushwa toka Belarus. Ni tatizo kwao tena kubwa
 
Huyu mzee kawaingiza warusi wenzake chaka sababu kashaishi maisha yake yote Hana cha kupoteza.

Watu wa sampli hizi ni hatari sana kwa usalama wa Dunia yetu.
Hakika..,ndio hasara ya kuishi na utawala wa kidkteta.., mawazo ya kichaa mmoja tu ndo yanaamua hatma ya taifa [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]

[emoji779]️26 Chinese Aircraft Reportedly Detected in Taiwan Air Defense Zone

According to the ROC’s Ministry of National Defense, 4 PLAN vessels were also detected in the island’s surrounding regions.

Taiwan has reportedly monitored the situation responding with aircraft, naval vessels and land-based missile systems.

Subscribe to RT
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji779]️President Putin Addresses Russia’s Security Council

Main points of the president’s speech:

[emoji830]Kiev regime has been using terrorist methods for a long time

[emoji830]Ukraine’s security services have committed three terrorist attacks against the Kursk Nuclear Power Plant

[emoji830]The president accused Kiev of acts of nuclear terrorism

[emoji830]Ukraine attempted to undermine TurkStream pipeline

[emoji830]Serious consequences of terrorist attacks against Kursk NPP were prevented

[emoji830]If Kiev continues its path of terrorist attacks against the Russian Federation, Moscow’s response will be tough

Subscribe to RT
 
Hakika..,ndio hasara ya kuishi na utawala wa kidkteta.., mawazo ya kichaa mmoja tu ndo yanaamua hatma ya taifa [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Very soon huyu jamaa atabakia kwenye vitabu vya historia...trust me...

Dunia hii ina intelligencia yake kubwa mno...kichaa mmoja hawezi kuamua upumbavu wa kutuletea vita kuu ya tatu sababu ya ujinga wake.

Vita vya nuclear inaweza kuirudisha nyuma dunia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watakaosalia

He will be fixed soon.
 
Back
Top Bottom