Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255]
1664104092681.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uingereza yasema kuwa leo giza totoro (kiza kinene) limetanda Ukraine kotee kufuatia makombora ya Urusi ya leo kuharibu miundombinu ya umeme😅🤣😆😇😇

Zelensky asema Ukraine haitaweza tena kuuza umeme nje ya nchi...maana wao wenyewe hawana umeme wa kutumia.

MK254 na Yoda njooni mshuhudie kichwa cha nyoka kilivyopondwa kwa mawe😅🤣😂😆😇😇

SmartSelect_20221010-202912_Chrome.jpg
 
Kutoka kwa wenzetu kwe TGChannel yao, Inatia huruma ila wapambane tu wameyatafuta wenyewe.

[emoji116]

Two days. Exactly so much was enough for a joyful cackle from Kyiv, thousands of posts on social networks and selfies against the backdrop of photos from Crimea with a burning train. On October 8, the official Ukrainian authorities decided on a direct terrorist attack, and already on Monday Russia responded to it in proportion.

The strikes are carried out on the critical infrastructure and buildings of the security services of Ukraine. The fighting fuse has dried up somewhere, Zelensky in a panic calls to gather for summits, Arestovich convinces that “we will win”, and the head of European diplomacy Borrell condemns something there.

At the same time, the Crimean bridge is almost restored. According to Sergei Aksyonov, the railway line is already operating as usual, and as for the automobile part of the bridge, at the moment, “until further notice”, cars are allowed to pass through it. Transportation of buses of all types and heavy vehicles is carried out by ferries, but this is only a matter of time. So it’s interesting - was this “masterpiece of sabotage” worth it?
 
Mkuu, ukweli waufahamu Ukraine haiwezi kupigana na Russia. Walifanya mauaji mengi ya kutisha wakiua warusi kule Crimea hadi Russia ilipoamua kuingilia kati mwaka 2014.

Achana na propaganda za nchi za magharibi.
Wewe ndio unayeandika propaganda za ovyo ,hebu onyesha hizo evidences hapa kwamba Ukraine walikuwa wanaua Russian speaking communities ndani ya Ukraine .
Mrusi anachofanya ni ubabe WA kipuuz WA kifashist ambao ulifanywa na Hitler Chini ya Nazi Germany ,kutumia visingio kwamba German speaking communities ndani ya Poland ,checslovakia , Yugoslavia , Hungary ,Austria , NK kuwa zinakandamizwa ili kuhalalisha uvamizi WA hizo territories ili kuwaokoa hao Germany speaking people na hakuishia hapo kavamia Greece ,Bulgaria ,Romania , kapiga Nedherland ,Belgium ,France ,kaenda Nordic Kule Denmark ,Sweden ,Finland ,Norway katembeza kipondo hakutosheka kaendelea kuvuka English channel kushambulia Britain akakutana na kizingiti Kwa mwingereza akaenda kuvamia slavic countries za Latvia ,Estonia na Russia huko kite alifanya mauaji ya kinyama na uharibifu wa miundo mbinu mpaka ulimwengu ukasema enough is enough ,Canada ,USA , Australia ,Britain,Russia ,France wakaunda umoja WA kuanza kumbonda na ndio iliyonusuru dunia kuingia katika disaster .
Hiki anachofanya Putin ni unjustified criminality na upuuz .Atakipata anachokitafuta

Alivamia Georgia 2008 akapiga akamega eneo akaja Crimea akamega akaona dunia imekaa kimya hakutosheka angeendelea kuescalate invasion na destruction hapo Ukraine Kwa visingizio vya kipuuzi kabisa , soon Atakipata anachokitafuta .Putin na genge lake ni mafashist na lugha ambayo mafashist wanaielewa huwa ni violence soon there will be reciprocal intensive actions za violence zikiekelezwa kwake naona ndio akili zitamkaa vizuri .
Dawa ya fashist ni kubondwa .
 
Urusi kaamua kumalizia hasira kwenye miundombinu ya raia ., huko front line kaona anachakazwa vibaya mno[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Daraja la Crimea ni front line?Leo Putin kasema katuma warning,iwapo Ukraine itarudia ilichokifanya basi kitakachomkuta ni kikubwa zaidi!
Kupanga ni kuchagua,Zele achague!Ama aendelee kupambana battle huko Frontline au ajaribu tena kushambulia ardhi ya Urusi!
 
Uingereza yasema kuwa leo giza totoro (kiza kinene) limetanda Ukraine kotee kufuatia makombora ya Urusi ya leo kuharibu miundombinu ya umeme[emoji28][emoji1787][emoji38][emoji56][emoji56]

Zelensky asema Ukraine haitaweza tena kuuza umeme nje ya nchi...maana wao wenyewe hawana umeme wa kutumia.

MK254 na Yoda njooni mshuhudie kichwa cha nyoka kilivyopondwa kwa mawe[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji38][emoji56][emoji56]

View attachment 2382924
Hivi si tuliambiwa Russia kaishiwa silaha
20221010_204526.jpg
20221010_203620.jpg
 
Kichapo Kiko palepale.., endeleeni kujifariji kwa kulipua makazi ya raia,View attachment 2382885

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
😂😂😂,Mmeishiwa kweli mpaka mnaleta zilipendwa halafu mnasema kichapo kinaendelea😆!
Uzuri Russia anapiga,anawafukia kwenye kaburi Moja watu 400!
Sensa mtakuja kujifanyia wenyewe,hana mambo ya kuchukua picha!
 
Ila sio hali ya kawaida ishu km hii kutokea na hadi sasaUSA hajatoa tamko,kuna nn kinaendelea!?
Hakuna lolote kwasababu aliofanya sio LIBYA ni RUSSIA
Hakuna shida US anadeal na vijidagaa sio mapapa kama RUSSIA
Atalaani tu kwamaneno matupu nakashalaani
Hana lakufanya

us COWARD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unayeandika propaganda za ovyo ,hebu onyesha hizo evidences hapa kwamba Ukraine walikuwa wanaua Russian speaking communities ndani ya Ukraine .
Mrusi anachofanya ni ubabe WA kipuuz ambao ulifanywa na Hitler Chini ya Nazi Germany ,kutumia visingio kwamba German speaking communities ndani ya Poland ,checslovakia , Hungary ,Austria , NK kuwa zinakandamizwa ili kuhalalisha uvamizi WA hizo territories na hakuishia hapo kavamia Greece ,Bulgaria ,Romania , kapiga Nedherland ,Belgium ,France ,kaenda Nordic Kule Denmark ,Sweden ,Finland ,Norway katembeza kipondo hakutosheka kaendelea kuvuka English channel kushambulia Britain akakutana na kizingiti Kwa mwingereza akaenda kuvamia slavic countries za Latvia ,Estonia na Russia huko kite alifanya mauaji ya kinyama na uharibifu wa miundo mbinu mpaka ulimwengu ukasema enough is enough ,Canada ,USA , Australia ,Britain,Russia ,France wakaunda umoja WA kuanza kumbonda na ndio iliyonusuru dunia kuingia katika disaster .
Hiki anachofanya Putin ni unjustified criminality na upuuz .Atakipata anachokitafuta

Alivamia Georgia 2008 akapiga akamega eneo akaja Crimea akamega akaona dunia imekaa kimya hakutosheka angeendelea kuescalate invasion na destruction hapo Ukraine Kwa visingizio vya kipuuzi kabisa , soon Atakipata anachokitafuta .
Kwanza nikupe shule kuhusu WW2

Ni Russia ndo alikusanya majeshi yapatayo milioni 6 hivi na kuishambulia Ujerumani kisha kuwaua wanzai wote na baba yao Adolf Hitler.

Ni unazi huohuo ndo Ukraine ilikuwa ikiufanya kupitia kundi la Azov batalion ambapo raia wa Ukraine wenye kuzungumza kirusi walikuwa wakipewa shida na mateso.

Ni wale waasi (wazungumzao kirusi ) ndo walikuwa wakipewa msaada wa kijeshi na Russia kwa miaka nane.

Hivyo hali ilipokuwa imezidi Russia imeamua kuingia ili kuikomboa sehemu hiyo.

Ni kama vile pale Sudan ya kusini yenye mafuta ambayo ilikuwa ikipewa shida na Al Bashir alikuwa akiwatesa wasudani weusi wa sehemu hiyo huku akipora mali ambayo ni yao yaani mafuta na gesi.

Kule kaskazini Sudan hakuna mafuta sana na maliasili zingine isipokuwa kule kusini. Mimi nimefika Juba hivyo nafahamu nnachokiongea.

Hii ya Russia kuingia kufanya SMO ni mpango wa siku nyingi ambao umeratibiwa na Ukraine wenyewe.
 
Wewe ndio unayeandika propaganda za ovyo ,hebu onyesha hizo evidences hapa kwamba Ukraine walikuwa wanaua Russian speaking communities ndani ya Ukraine .
Mrusi anachofanya ni ubabe WA kipuuz ambao ulifanywa na Hitler Chini ya Nazi Germany ,kutumia visingio kwamba German speaking communities ndani ya Poland ,checslovakia , Hungary ,Austria , NK kuwa zinakandamizwa ili kuhalalisha uvamizi WA hizo territories na hakuishia hapo kavamia Greece ,Bulgaria ,Romania , kapiga Nedherland ,Belgium ,France ,kaenda Nordic Kule Denmark ,Sweden ,Finland ,Norway katembeza kipondo hakutosheka kaendelea kuvuka English channel kushambulia Britain akakutana na kizingiti Kwa mwingereza akaenda kuvamia slavic countries za Latvia ,Estonia na Russia huko kite alifanya mauaji ya kinyama na uharibifu wa miundo mbinu mpaka ulimwengu ukasema enough is enough ,Canada ,USA , Australia ,Britain,Russia ,France wakaunda umoja WA kuanza kumbonda na ndio iliyonusuru dunia kuingia katika disaster .
Hiki anachofanya Putin ni unjustified criminality na upuuz .Atakipata anachokitafuta

Alivamia Georgia 2008 akapiga akamega eneo akaja Crimea akamega akaona dunia imekaa kimya hakutosheka angeendelea kuescalate invasion na destruction hapo Ukraine Kwa visingizio vya kipuuzi kabisa , soon Atakipata anachokitafuta .
Kwanza nikupe shule kuhusu WW2

Ni Russia ndo alikusanya majeshi yapatayo milioni 6 hivi na kuishambulia Ujerumani kisha kuwaua wanazi wote na baba yao Adolf Hitler kuja kujiua baadae.

Ni unazi huohuo ndo Ukraine ilikuwa ikiufanya kupitia kundi la Azov batalion ambapo raia wa Ukraine wenye kuzungumza kirusi walikuwa wakipewa shida na mateso.

Ni wale waasi (wazungumzao kirusi ) ndo walikuwa wakipewa msaada wa kijeshi na Russia kwa miaka nane.

Hivyo hali ilipokuwa imezidi Russia imeamua kuingia ili kuikomboa sehemu hiyo.

Ni kama vile pale Sudan ya kusini yenye mafuta ambayo ilikuwa ikipewa shida na Al Bashir alikuwa akiwatesa wasudani weusi wa sehemu hiyo huku akipora mali ambayo ni yao yaani mafuta na gesi.

Kule kaskazini Sudan hakuna mafuta sana na maliasili zingine isipokuwa kule kusini. Mimi nimefika Juba hivyo nafahamu nnachokiongea.

Hii ya Russia kuingia kufanya SMO ni mpango wa siku nyingi ambao umeratibiwa na Ukraine wenyewe.
 
Kutoka kwa wenzetu kwe TGChannel yao, Inatia huruma ila wapambane tu wameyatafuta wenyewe.

[emoji116]

Two days. Exactly so much was enough for a joyful cackle from Kyiv, thousands of posts on social networks and selfies against the backdrop of photos from Crimea with a burning train. On October 8, the official Ukrainian authorities decided on a direct terrorist attack, and already on Monday Russia responded to it in proportion.

The strikes are carried out on the critical infrastructure and buildings of the security services of Ukraine. The fighting fuse has dried up somewhere, Zelensky in a panic calls to gather for summits, Arestovich convinces that “we will win”, and the head of European diplomacy Borrell condemns something there.

At the same time, the Crimean bridge is almost restored. According to Sergei Aksyonov, the railway line is already operating as usual, and as for the automobile part of the bridge, at the moment, “until further notice”, cars are allowed to pass through it. Transportation of buses of all types and heavy vehicles is carried out by ferries, but this is only a matter of time. So it’s interesting - was this “masterpiece of sabotage” worth it?
Ukraine hawatarudia tena kugusa maeneo ya Russia, hilo la Crimea bridge limewaonyesha kwamba Russia inaweza kuwafanya chochote wakabaki wanakimbia kutafuta hifadhi kwenye bomb shelters.

Wale waliokua wanasema Russia hawezi kuigusa Kyiv sijui leo wanaweka wapi sura zao, Russia leo amewadhihirishia kwamba anaweza kugusa popote pale Ukraine.

Ukraine wakitaka hii SMO iishe mapema basi waendelee kugusa terrirories za Russia, watapigwa kama ngoma.

Wale waliokua wanafurahia kuvunjwa kwa daraja juzi, leo wote wanapost picha za kutia huruma
 
Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aisee
Endeleeni kujifariji
UKRAINE akapige MOSCOW haitakaa itokee naikaja ikatokea lazma DUNIA itasimama kwamuda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu!

Yale mabishano ya hoja zenye mantiki yamerejea kama zamani humu?

Ama bado kuna muendelezo wa mashindano ya nani mwenye lugha chafu na porojo nyingi zaidi kuliko mwenzie?
Karibu mkuu mimi najitahidi kujibu hoja hapa watu wataka kuturudisha tena nyuma waanza kuuliza sababu za Russia kuivamia Ukraine.

Hizo sababu ziliwekwa kitambo sana kwenye mada na zaeleweka.

Najaribu kuzijibu lakini ntatoka muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom