4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mpaka Sasa waukraine target yake ilikua ndani ya eneo lake lililovamiwa tu Sasa KWa Hali hii iikiendelea tuonaKungekuwa na huo uwezekano wangeshafanya mda sana....
Mpaka Sasa waukraine target yake ilikua ndani ya eneo lake lililovamiwa tu Sasa KWa Hali hii iikiendelea tuonaKungekuwa na huo uwezekano wangeshafanya mda sana....
Unalijua jeshi la lukashenko kumliko Lukashenko mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Lukashenko akitangaza vita ana uwezekano mkubwa wa kupinduliwa. Jeshi lake haliko na uwezo kununua ugomvi na raia wanamlia timing. Kashafanya vikao vingi na Putin ila anarudi anakuwa kimya. Yuko under pressure. Kuna foreign intelligence agencies zinatazama his moves
Ukraine pia ana silaha za kupiga hadi moscow, ila ni lazima uendane na sheria za Kimataifa kuhusu matumizi ya silaha hizo nzito.Urusi yuko Njema nyie, kujaribu kulipua Daraja tu, ametembeza kichapo kwa miji karibu 10. We unahisi Ukraine akirusha kombora lolote hata liwe blocked na system za Urusi, atakula kichapo mwanzo mwisho.
Hana hizo silaha, angeshatumia, asingeomba msaada wa silaha. Acha kuwaza kipimbi kiasi hiko.Ukraine pia ana silaha za kupiga hadi moscow, ila ni lazima uendane na sheria za Kimataifa kuhusu matumizi ya silaha hizo nzito.
Kwa hali hii mtu anaweza kupokea kichapo kingine heavy usiku huu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Nchi imekua kama Kijiji cha Ujamaa mnyama yupo kazini
[emoji1255]Up to 75% of Ukraine's Internet traffic has disappeared, according to the Netblocks service.
Subscribe to @Sputnik
Mambo Bado magum, Ukrein nae kama anaapa lipiza kisasi hatujui atalipiza katika mbinu zipi, nafikili wiki mbili zijazo WENDA Hali ikawa mbaya katika vita hiiUrusi yuko Njema nyie, kujaribu kulipua Daraja tu, ametembeza kichapo kwa miji karibu 10. We unahisi Ukraine akirusha kombora lolote hata liwe blocked na system za Urusi, atakula kichapo mwanzo mwisho.
Ukraine pia ana silaha za kupiga hadi moscow, ila ni lazima uendane na sheria za Kimataifa kuhusu matumizi ya silaha hizo nzito.
Alipize kisasi kwa nani?? Na umemsikia Putin amesema leo anaona UKRAINE wanahangaika wakati hata hao URUSI hawajaanza OP seriously.Mambo Bado magum, Ukrein nae kama anaapa lipiza kisasi hatujui atalipiza katika binu zipi, nafikili wiki mbili zijazo WENDA Hali ikawa mbaya katika vita hii B
Hawawezi maana kiranja wao mkuu aliwaambia juzi kuwa Putini hataniiZelensky alipata kiburi baada ya ile counter offensive kupiga maeneo yaliyo ndani ya referendum lakini Russia [emoji635] haikutoa response yoyote, hivyo wakaona Russia [emoji635] ni maneno tu, ndipo wakavuka red line iliyowekwa muda mrefu ya daraja la Crimea. Inaonekana Zelensky akilipua Moscow, Basi kuna uwezekano Mkubwa Russia [emoji635] akadondosha strategic nuclear attack.
Hawa naona wanaanza kuandaa kilainishi endapo itakuwa kweli[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
In Bulgaria, they are investigating the information that the truck that exploded on the Crimean Bridge came from the republic...
Hata wenzao bado Ndo maana hata silaha za masafa marefu Bado ajaanza zitumia, jinsi mrusi anavyopiga hesabu zake step by step ndivyo Ukrain na washirika wake wanapiga hesabu,Alipize kisasi kwa nani?? Na umemsikia Putin amesema leo anaona UKRAINE wanahangaika wakati hata hao URUSI hawajaanza OP seriously.
Jamaa kwa kamba huyointelligence service ya Russia ilimhakikishia Putin kwamba Ukraine ni wanyonge na watajisalimisha kama walivyofanya Crimea
Mmmh!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
U.S.A ni mandonga wa Dunia tu,Si USA ni super power na amejaza vikosi vyake huko ulaya magharibi, badala apeleke wanajeshi wake wakaokoe raia wake, cha ajabu nae analialia na kuacha raia wake wapambane na hali zao kama raia wa Zimbabwe. Kweli moto wa kisoviet ni balaa Zito ukiwakaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Putin hapigani na dunia bwana Putin anaipiga Ukraine.Ni Ujinga kufikiri Putin ataishinda Dunia, ku violet sheria za kimataifa kuhusu usalama ni kujipalia makaa, kutamba kwamba katika vita hii hajafanya chochote cha kushangaza ni dalili ya vitisho vya woga.