Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Warusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu na kuwatisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.

Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.

Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..

He will be fixed...time.
Kama utakua unafanya upembuzi basi ungegundua tishio la kutumia nyuklia Putin analosema wala si kwa Ukraine kuna kitu analenga, Ukraine hawa ambao leo wamepigwa na missiles za kawaida tu na nchi nzima ikapoa ndio atumie nyuklia kwao? Ni sawa na kuua sisimizi kwa rungu, hao anawamudu wala hawamsumbui leo kawaonya na siku nyingine ataendelea kuwaonya.

Kama ungekua mfuatiliaji ungejiuliza swali moja kutokana na picha hii hapa chini,

Kama tishio la kutumia nyuklia ni kwa Ukraine, mbona US wananunua na kuweka stock kubwa ya drugs for nuclear emergency? Kwa nini US wanunue dawa hizo wakati wao hawako kwenye vita yoyote? Kuna tishio gani dhidi yao mpk wanunue kiasi kikubwa cha dawa hizo?

Kama nyuklia itashuka Ukraine ina maana radiations pengine zingeweza kuathiri nchi jirani, kwa nini nchi ambazo ziko jirani na Ukraine kama Slovakia, Poland, Romania, Moldova hazijaripotiwa kununua kiasi kikubwa cha dawa kwa ajili ya nuclear emergency ila US ambaye yuko mbali ndio ananunua?
20221010_214258.jpg
 
Ukraine wepesi sana...wamepigwa kwa less than 8 hours kwa makombola machache tayari nchi nzima inahaha..hakuna umeme etc...basi hazifanyi kazi, treni zimesimama..Hivi hawa wakipigwa siku tatu mfululizo si nchi inafutika...???
Putin akiamua hata leo kuimaliza uk anamaliza nimejifunza leo uwezo wake
 
Pentagon walikua sahihi, Russia inatumia 10% tu ya nguvu yake kijeshi Ukraine,
Hata hao Pentagon wame overestimate Urusi anatumia 2% tu ya nguvu zake-Mkuu MTU kuogopwa na Nchi 28+ zenye uwezo wote wa kiuchumi Duniani sio kitu kidogo.

Ni basi tu vichwani mwa watu wengi kumejaa propaganda za West,lakini hao West wanajua uhalisia wa huyo Mrusi!
 
Back
Top Bottom