Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kuna sehem uliona kwenye katiba ya taifa lako wanahalalisha huo ujingaHawa nao walifundishwa kufira na wazungu??
![]()
Arusha: Mmiliki wa Madrasa adaiwa kulawiti wanafunzi 22
Mkuu wa wilaya ya Arusha ameingilia kati sakata la mmiliki wa madrasa kulawiti watoto 22 ambao ni wanafunzi kwenye madrasa yake kwani imeonekana analindwa na kukingiwa kifua na baadhi ya vigogo wa rushwa ili kuzima swala hilo. -- Mwalimu wa madrasa, Jumanne Ikungi anashikiliwa na Jeshi la...www.jamiiforums.com
![]()
Mwalimu wa Madrassa alawiti mwanafunzi wake..!
Muda huu napitia pitia hoja mbalimbali JF huku nasikiliza radia mlimani fm, Kuna habari imetangazwa kuwa ..maenea ya Kibada Kigamboni, mwalimu mmoja wa Madrassa anaeitwa Saidi Ramadhani anashikiliwa na jeshi la polisi Temeke kwa kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume ambaye pia ni mwanafunzi wa...www.jamiiforums.com
![]()
Mwalimu wa dini (Ustaadhi) ahukumiwa kifungo jela baada ya kumlawiti mtoto wa kiume
Mwalimu wa madrasa, Abdillah Sharifu, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 11. Sharifu (30), mkazi wa Gongo la Mboto eneo la Moshi Baa amehukumiwa kifungo leo Jumanne katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala. Mshtakiwa anadaiwa kumlawiti...www.jamiiforums.com
![]()
Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Februari 10, 2022 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi ACP, Ally Makame...www.jamiiforums.com
![]()
UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi
UPDATES: Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amesomewa mashtaka matatu katika Mahakama mbili tofauti. Padri huyo mwenye miaka 41, amesomeshwa mashataka hayo leo Jumatatu, Septemba 26, 2022 kwa nyakati...www.jamiiforums.com
![]()
Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga
Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi. Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu. Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida...www.jamiiforums.com
Huko kwahao shost zenu wanahalalisha huo upuuzi kikatiba
Alichokifanya huyo mwalimu nikubaka kwanza umeona kabaka watoto
Kwamaendeleo na ustawi wa dunia tuungane wote kuupongeza uvamizi wa PUY OUT nchini UKRAINE
Maana unaleta mafanikio mema mpaka sasa
Wanaokufa bila sababu walale pema peponi
Wale magidi wafe kwawingi
Sent using Jamii Forums mobile app