Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Afu kamejaladia manguo mengi ngoja kafinyweHAKA KAJAMAA NI KASNIPER KAKIUKRAINE KAMEDAKWA NA VIJANA WA SERGEI KANITIA HURUMA
View attachment 2384426
Afu kamejaladia manguo mengi ngoja kafinyweHAKA KAJAMAA NI KASNIPER KAKIUKRAINE KAMEDAKWA NA VIJANA WA SERGEI KANITIA HURUMA
View attachment 2384426
Na Hawa wanaotembeza kipigo kwa urusi ni akina nani vileee [emoji848],Hata wakipewa mafunzonna Alien's hawataweza kubato na Russia
Kuna aina ya tawala mtu mmoja kiongozi anakuwa mungu mtu na wengine wanatakiwa kumuabudu kwani yeye tu ndo tajiri mwenye fedha za kupambana na umasikini. Ukiibuka mtu una akili ya kuwa na fedha na kupambana na umasikini unakuwa muhujumu uchumi.Tena baba zao na mama zao waliyagombania kama ngedere kwenye Shamba la mahindi na nguo zao zilizoshonwa viraka makalioni ,enzi hizo wakifulia majani ya mpapai , Sera za kipumbav za kijamaa nchi ikawa ni failed state hata basic commodities Tu kama sukari na sabuni hamna , ukikamatwa na sukari au sabuni wewe ni mhujumu uchumi , how stupid and moronic that was
Ndio maana naona wote wanaoshabikia upuuzi unaofanywa na Putin ni watu wasiojitambua tu ..,Hawa hawana tofauti na mtu anayekata tawi huku amelikaliaTena baba zao na mama zao waliyagombania kama ngedere kwenye Shamba la mahindi na nguo zao zilizoshonwa viraka makalioni ,enzi hizo wakifulia majani ya mpapai , Sera za kipumbav za kijamaa nchi ikawa ni failed state hata basic commodities Tu kama sukari na sabuni hamna , ukikamatwa na sukari au sabuni wewe ni mhujumu uchumi , how stupid and moronic that was
Ongera zako.., lakini jitaihid kutumia lugha ya staha, wengine hatuna uwezo wa kuvumilia matusi,Nimewafuma wanamgambo wa Ukraine wakipiga majungu kwenye kijiwe chao mwenyekiti anajiita Kimbakilo na Katibu Kipanya Chizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe yanaumia sana kipindi hiki [emoji1787][emoji1787]View attachment 2384497
Hata Mie nashangaa,Hivi haya matusi ni KWa faida ya nani ,Kuna shida ,Yani watu wapigane kule , wewe upo tz unalipuka na matusi , huu ni ujinga ,mbona mtu anaweza elezea chochote bila matusi na kueleweka,very shame mkuuDah!
Jamaa wameanza kufanya ugaidi. Duh hii hatari sana.
Hata Mie Mtashangaa,Hivi haya matusi ni KWa faida ya nani ,Kuna shida ,Yani watu wapigane kule , wewe upo tz unalipuka na matusi , huu ni ujinga ,mbona mtu anaweza elezea chochote bila matusi na kueleweka,very shame mkuu
Tatizo linakuja pale wakosoaji wa lugha za kuhudhi mnapokuwa wanafiki na kukosoa Yale matusi yaliyo kinyume na upande wenu,huku mkiacha Yale matusi ya upande unaoukubali yakitamalaki..,hili ni tatizo kubwa sana kuliko hata matusi yenyeweHata Mie Mtashangaa,Hivi haya matusi ni KWa faida ya nani ,Kuna shida ,Yani watu wapigane kule , wewe upo tz unalipuka na matusi , huu ni ujinga ,mbona mtu anaweza elezea chochote bila matusi na kueleweka,very shame mkuu
Umeona waandamanaji wa huko France wanachoma matairi ya magari na kuzuia Barabara?Umeona jeshi au polisi wa Ufaransa wakizuia au kuua waandamanaji wanaotaka Macroni aondoke kuwa Rais kama ilivyo Iran ambapo waandamanaji wanaotaka Ma-Ayatollah waondoke na wasiwafundishe wanawake jinsi ya kuvaa wanavyoendelea kufa chini ya majeshi tiifu kwa Ayatollah??
Walikuwa wapi wakati Iraq,Afgan na Libya zikivamiwa?Wanafiki wakubwa!Ausralia kutoa mafunzo ya KIJEDA Ukraine .... Sababu yao kuu hii hapa !!
“This is a fight about the international rule of law, about whether sovereign borders will be respected and that is why the world is united in their support for Ukraine against this Russian aggression,” Albanese said.
Hapo wewe demokrasia imeishia hapo!Vp na huyo US anayetisha nchi kuchagua upande na kulazimisha sanctions anazoweka basi nchi ambayo haitacomply itawajibishwa na US!Halafu haya mavaa kobaz yalivyojificha Kwa kisingizio cha u pro Russia ni majinga Sana , eti jitu limevimbiwa kiporo cha maharage in the middle of nowhere linaandika humu eti NATO alliance ni undemocratic , how stupid and pathetic that is , out of all 30+ members of the alliance Kura ya member wawili Turkey na Hungary ndio imesababisha process ya kuadminister new members isimame , where on earth you can get that ? Kama huyo mmarekani wanaesema ndio ananguvu Kule si angeforce Sweden na Finland wajoin the alliance ?
Vp mbona media za Russia zimepigwa ban?Na hii Inadhihilisha kiwango kikubwa Cha democracy waliyonayo west.., maana fox news ni chombo rasmi Cha habari Cha west,
Lakini bado kina uhuru kutoa mahudhui yanayoegemea upande wa Russia na kwingineko,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyo USA hawezi pigana bila msaada wa NATO na EU plus mavikwazo. CowardKuna watu wanachukulia poa , hivi Ukrein ikishindwa serikali ya biden itawambia nini wapiga kura USA , KWa vita hii Marekani chini ya utawala wa Biden lazima moto kuwaka sawa sawa labda pawepo meza ya mazungumzo, narudia hizi nchi mbili zitawashiana moto husio na mchezo mda mwalim
No nafikiri alianzisha uzi huu, hakuamzisha KWa matusi, ni wewe tu waweza anzisha uzi wa matusi wewe, hivi ukijiuliza why mtukanane ?Tatizo linakuja pale wakosoaji wa lugha za kuhudhi mnapokuwa wanafiki na kukosoa Yale matusi yaliyo kinyume na upande wenu,huku mkiacha Yale matusi ya upande unaoukubali yakitamalaki..,hili ni tatizo kubwa sana kuliko hata matusi yenyewe
Unapoamua kuwa mkosoaji wa matusi na lugha za kuhudhi bas kosoa pande zote,sio unamkosoa mtu kisa mmetofautiana mtazamo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kupigana ni kupigana haijalishi unatumia ushirika GANI au zana zipiHuyo USA hawezi pigana bila msaada wa NATO na EU plus mavikwazo. Coward